milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
Huyo Babu amekuwa na mdomo sana, kakafie hukoMuache akaozee gerezani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo Babu amekuwa na mdomo sana, kakafie hukoMuache akaozee gerezani
Kwa kesi za kutengeneza hata saa moja ni mateso tu..Anateseka siku 2? Kuna watu wapo mahabusu mwaka wa kumi Sasa kwa kesi za kubumba!
siasa za Africa n ngumu ukijifanya mwanaharakat watakufira mwisho wako ikawa mbaya mpaka utapokufa so mm nmejikita kweny mamb yang ya kulea famila yang na kupga bia moja mbili, kuliko kuishi kama digi digiHuwezi kusema wewe ni mtetezi wa haki, mwanademokrasia, mwanaharakati na muumini wa utawala bora lakini ukaona kuwa suala la Dkt. Wilbroad Slaa kukamatwa usiku wa manane na kunyimwa dhamana halikuhusu. Dkt. Slaa anateseka gerezani kutokana na ukatili uliopakwa manukato mazuri!
View attachment 3198339
KabisaHuyo Babu amekuwa na mdomo sana, kakafie huko
Haters mnaumia hila nyingi sana kujaribu kunshusha......mtashindwa kama walivyoshindwa wengine.Maza anatumia nguvu nyingi sana kupata kipindi cha pili.
Huwezi kusema wewe ni mtetezi wa haki, mwanademokrasia, mwanaharakati na muumini wa utawala bora lakini ukaona kuwa suala la Dkt. Wilbroad Slaa kukamatwa usiku wa manane na kunyimwa dhamana halikuhusu. Dkt. Slaa anateseka gerezani kutokana na ukatili uliopakwa manukato mazuri!
View attachment 3198339
Atajifunza kuongea mambo ambayo ana uhakika nayo
Umri wake Kwa sasa alitakiwa atulie Tu na wajukuu zake na sio mambo ya kwenda kulala segerea
Si kila mtu ni muoga boss.Ameyataka mwenyewe!
Kukosa wajukuu na vitukuu wa kuwalea huko nyumbani kwake,kunamfanya mdomo unawasha!
Kuna kula dalili atalamba mvua ya mawe
Siku Babako Akibinywa PUMBU ndo AKILI ZAKO zitakurudia 🤔🤔🤔 KENGE wewe!!Ameyataka mwenyewe!
Kukosa wajukuu na vitukuu wa kuwalea huko nyumbani kwake,kunamfanya mdomo unawasha!
Kuna kula dalili atalamba mvua ya mawe
Kwamba Mbowe ni mamluki au?CCM wanafanya yote haya ili tu mbowe aendelee kuwa mwenyekiti wa chadema