Anaandika Askofu Emmaus Mwamakula: Dkt. Slaa anateseka gerezani kutokana na ukatili uliopakwa manukato mazuri!

Anaandika Askofu Emmaus Mwamakula: Dkt. Slaa anateseka gerezani kutokana na ukatili uliopakwa manukato mazuri!

Dah naona hapa 2025 ngumu sana kwa SSH, sijui itakuwaje. Vitu kama hivi hakupaswa kabisa kuvishabikia. Ila tunachoamini hapa injini ni dogo siyo mama
 
Huwezi kusema wewe ni mtetezi wa haki, mwanademokrasia, mwanaharakati na muumini wa utawala bora lakini ukaona kuwa suala la Dkt. Wilbroad Slaa kukamatwa usiku wa manane na kunyimwa dhamana halikuhusu. Dkt. Slaa anateseka gerezani kutokana na ukatili uliopakwa manukato mazuri!

View attachment 3198339
siasa za Africa n ngumu ukijifanya mwanaharakat watakufira mwisho wako ikawa mbaya mpaka utapokufa so mm nmejikita kweny mamb yang ya kulea famila yang na kupga bia moja mbili, kuliko kuishi kama digi digi
 
Huwezi kusema wewe ni mtetezi wa haki, mwanademokrasia, mwanaharakati na muumini wa utawala bora lakini ukaona kuwa suala la Dkt. Wilbroad Slaa kukamatwa usiku wa manane na kunyimwa dhamana halikuhusu. Dkt. Slaa anateseka gerezani kutokana na ukatili uliopakwa manukato mazuri!

View attachment 3198339

Baba Askofu Bwana, mbona hukuandika wakati Boni Yai dhamana yake inapigwa danadana kwa wiki kadhaa kwa kosa la mtandaoni kama hilo??????
 
Tatizo tunaongozwa na viongozi wenye akili za kishetani. Kifo ni kifo tu.
 
Ameyataka mwenyewe!
Kukosa wajukuu na vitukuu wa kuwalea huko nyumbani kwake,kunamfanya mdomo unawasha!

Kuna kula dalili atalamba mvua ya mawe
Siku Babako Akibinywa PUMBU ndo AKILI ZAKO zitakurudia 🤔🤔🤔 KENGE wewe!!
 
Inategemea kakamatwa na kosa gani - hili la kuchochea mapinduzi haramu ndani ya chama ambacho yeye hata si mwanachama, Mzee aliyeikimbia CDM wiki noja kabla ya uchaguzi Mkuu, akaipaka tope na hatimaye akaibuka na Ubalozii akaacha wana CDM wakitaambika enzi za mwendazake kesi za mauaji zao, kufungwa kwao, kuporwa mali, kutishwa nk

Kwa sasa apambane tu na mambo yake.
 
Mbona wale wanaoteka watu na hadi kusahau na pingu hawakamatwi au sheria ni za upande mmoja tu.
 
Back
Top Bottom