CECAFA haipo, ila hadi inakufa ni Simba ndio imeyajaza kabatini.Hata la Cecafa tu.........lete nchini na kusema eti kufa Kiume ni mbinu ya kukwepa kusema tumefail
Mwisho wa siku ikawaje?Waulize waliocheza nao klabu bingwa Afrika au waliofungwa magoli ya fadhaa kutoka kwa Kibu De na Inonga Varane.[emoji12]
Hizo ni biashara za watu wanatafuta maisha huwezi kuzizingatia sana kama unajua mbinu za wahuni wa mjini wanaotembelea upepo wa jambo fulaniCECAFA haipo, ila hadi inakufa ni Simba ndio imeyajaza kabatini.
Mimi najiandaa na tamasha la kumcheka mtani kwenye ukumbi wa gharama kubwa wa JNICC
Upuuzi ni kuhangaika na mambo ya kijinga badala ya kutengeneza timu ziwe bora.......kila muda mnahangaika na historia tu,tengenezeni timu..........ni mbumbumbu pekee anahangaika na ujinga
Huu mzania umerahisishwa ila hautoi picha halisi ya jinsi Yanga imekuwa timu yenye matokeo mabovu kimataifa kwa miaka mingi. Ngoja niufanyie maboresho.
Kwahiyo hapo unaona umeongea point.Tukiwaambia mmeanza kushabikia mpira Baada ya Azam Tv , Instagrams, watsup, Facebook nk
Jedwali hapo juu linaelezea kwa kina Mafanikio ya Timu kubwa zaidi Tanzania , Timu yenye Mashabiki wengi zaidi, Ya kwanza kuvaa viatu, jezi, kupanda ndege, KULETA UBINGWA CECAFA ., VAR, Simba Day nk nk.
Timu inayoongoza kufuatiliwa Tanzania kwenye mitandao ya kijamii Hadi hapa JF.
HAO washamba wasiojua mpira wajinga wanadhani Simba ni Levo Yao.
HAKUNA KITU KIBAYA KAMA UMASIKINI WA FIKRA.
NA YULE ALIYESEMA WENYE AKILI NI WAWILI TU NDIO ANAZIDI KUPIGA NGOMA WAJINGA MNAICHEZA.
Alafu uyo Magori ndiye mshauri wa MO na hajui Lolote kuhusu soka, Ndio maana Muhimdi anapigwa daily na atapigwa mpaka achakae.
Yanga imecheza robo ya Caf Champion League 1969 ikacheza Tena robo ya Champion League 1970.
Yanga amecheza robo fainali ya Caf winners cup 1995 na alitolewa na Black pool ya Zimbabwe.
Yanga amecheza 1998 robo finali ikiwa imewekwa katika group, Mfumo mpya wa Caf ulioanzishwa 1997.
Kulikua na ma Group 2 , A na B yenye timu 4/4. Yanga alikua group B.
2016 Yanga amecheza Group stage ya Caf confederation.
2018 Yanga amecheza Group stage ya Caf Confederation.
2023 Yanga anacheza Nusu fainali ya Confederation cup na upo uwezekano akacheza fainali na kuwa Bingwa.
Mimi nilifikiri kauli ya Alhaji Ismail Ade Rage kuhusu umbumbumbu katika klabu ya Simba inawahusu baadhi tu kumbe mpaka walio wahi kuwa watendaji wakuu katika klabu ya Simba inawahusu.
Nahitimisha Kwa kuandika Rage apewe Maua yake.
aandike jinsi walivyomuibia kibu pesa za usajili,mo katoa 240m wao wakampa kibu 40m mo alivyogundua imebidi magori kuondolewa
Anza na kipa wa utopolo atakuelekeza.Mwisho wa siku ikawaje?
Sasa kama mmezaliwa mwaka 2005 mtasaidiwaje?Ina maana hamjavunja ungo na hamsadiki kama mlizaliwa na wazazi wenu.Muamini mnachokiamini.🤔TANGU WATU WAANZE KUUONA MPIRA WA TZ TIMU PEKEE ILIYOFIKA NUSU FAINALI YA CAF NI DAR YOUNG AFRICANS....
HAO WENGINE NI KWENYE ULIMWENGU WA KUSADIKIKA.
NIMEMALIZA [emoji28]
Mtafukua rekodi zote mwaka huu
Ndicho walichobakiwa nacho Cha kujifarijiUpuuzi ni kuhangaika na mambo ya kijinga badala ya kutengeneza timu ziwe bora.......kila muda mnahangaika na historia tu,tengenezeni timu..........ni mbumbumbu pekee anahangaika na ujinga
Kwa hiyo hii ndiyo faraja yenu kwa sasa! Kweli aliyewaita mbumbumbu hakukosea.
Jifariji mkuuTukiwaambia mmeanza kushabikia mpira Baada ya Azam Tv , Instagrams, watsup, Facebook nk
Jedwali hapo juu linaelezea kwa kina Mafanikio ya Timu kubwa zaidi Tanzania , Timu yenye Mashabiki wengi zaidi, Ya kwanza kuvaa viatu, jezi, kupanda ndege, KULETA UBINGWA CECAFA ., VAR, Simba Day nk nk.
Timu inayoongoza kufuatiliwa Tanzania kwenye mitandao ya kijamii Hadi hapa JF.
HAO washamba wasiojua mpira wajinga wanadhani Simba ni Levo Yao.
HAKUNA KITU KIBAYA KAMA UMASIKINI WA FIKRA.
NA YULE ALIYESEMA WENYE AKILI NI WAWILI TU NDIO ANAZIDI KUPIGA NGOMA WAJINGA MNAICHEZA.