Anaandika Crencetius Magori

Anaandika Crencetius Magori

Hata la Cecafa tu.........lete nchini na kusema eti kufa Kiume ni mbinu ya kukwepa kusema tumefail
CECAFA haipo, ila hadi inakufa ni Simba ndio imeyajaza kabatini.
Karibu kwenye tamasha la kumcheka mtani katika ukumbi wa gharama kubwa wa JNICC
 
CECAFA haipo, ila hadi inakufa ni Simba ndio imeyajaza kabatini.
Mimi najiandaa na tamasha la kumcheka mtani kwenye ukumbi wa gharama kubwa wa JNICC
Hizo ni biashara za watu wanatafuta maisha huwezi kuzizingatia sana kama unajua mbinu za wahuni wa mjini wanaotembelea upepo wa jambo fulani
 
Upuuzi ni kuhangaika na mambo ya kijinga badala ya kutengeneza timu ziwe bora.......kila muda mnahangaika na historia tu,tengenezeni timu..........ni mbumbumbu pekee anahangaika na ujinga

Wapumbavu wa Jangwani kwenye akili wawili.

Wakikosa UBINGWA kwa Miaka mi nne mi Tano wanaanza KUJIITA MABINGWA WA KIHISTORIA.
 
Sajilini mnalemba,sasa kuna Azam naye anamwaga mzigo.Mo anatoa hela nyie mnabania na kuwaletea wachezaji wa mafungu.

Hizo rekodi zinaweza kufutwa na timu yoyote (Azam au Yanga) ndani ya msimu mmoja na nyie mkawa mabingwa wa kushiriki kila siku.
 
Tukiwaambia mmeanza kushabikia mpira Baada ya Azam Tv , Instagrams, watsup, Facebook nk

Jedwali hapo juu linaelezea kwa kina Mafanikio ya Timu kubwa zaidi Tanzania , Timu yenye Mashabiki wengi zaidi, Ya kwanza kuvaa viatu, jezi, kupanda ndege, KULETA UBINGWA CECAFA ., VAR, Simba Day nk nk.
Timu inayoongoza kufuatiliwa Tanzania kwenye mitandao ya kijamii Hadi hapa JF.

HAO washamba wasiojua mpira wajinga wanadhani Simba ni Levo Yao.

HAKUNA KITU KIBAYA KAMA UMASIKINI WA FIKRA.
NA YULE ALIYESEMA WENYE AKILI NI WAWILI TU NDIO ANAZIDI KUPIGA NGOMA WAJINGA MNAICHEZA.
Kwahiyo hapo unaona umeongea point.
 
Alafu uyo Magori ndiye mshauri wa MO na hajui Lolote kuhusu soka, Ndio maana Muhimdi anapigwa daily na atapigwa mpaka achakae.
Yanga imecheza robo ya Caf Champion League 1969 ikacheza Tena robo ya Champion League 1970.
Yanga amecheza robo fainali ya Caf winners cup 1995 na alitolewa na Black pool ya Zimbabwe.

Yanga amecheza 1998 robo finali ikiwa imewekwa katika group, Mfumo mpya wa Caf ulioanzishwa 1997.
Kulikua na ma Group 2 , A na B yenye timu 4/4. Yanga alikua group B.

2016 Yanga amecheza Group stage ya Caf confederation.
2018 Yanga amecheza Group stage ya Caf Confederation.
2023 Yanga anacheza Nusu fainali ya Confederation cup na upo uwezekano akacheza fainali na kuwa Bingwa.

Mimi nilifikiri kauli ya Alhaji Ismail Ade Rage kuhusu umbumbumbu katika klabu ya Simba inawahusu baadhi tu kumbe mpaka walio wahi kuwa watendaji wakuu katika klabu ya Simba inawahusu.

Nahitimisha Kwa kuandika Rage apewe Maua yake.
 
20230502_150125.jpg
 
TANGU WATU WAANZE KUUONA MPIRA WA TZ TIMU PEKEE ILIYOFIKA NUSU FAINALI YA CAF NI DAR YOUNG AFRICANS....
HAO WENGINE NI KWENYE ULIMWENGU WA KUSADIKIKA.
NIMEMALIZA [emoji28]
 
Sasa kama mmezaliwa mwaka 2005 mtasaidiwaje?Ina maana hamjavunja ungo na hamsadiki kama mlizaliwa na wazazi wenu.Muamini mnachokiamini.🤔
 
Tukiwaambia mmeanza kushabikia mpira Baada ya Azam Tv , Instagrams, watsup, Facebook nk

Jedwali hapo juu linaelezea kwa kina Mafanikio ya Timu kubwa zaidi Tanzania , Timu yenye Mashabiki wengi zaidi, Ya kwanza kuvaa viatu, jezi, kupanda ndege, KULETA UBINGWA CECAFA ., VAR, Simba Day nk nk.
Timu inayoongoza kufuatiliwa Tanzania kwenye mitandao ya kijamii Hadi hapa JF.

HAO washamba wasiojua mpira wajinga wanadhani Simba ni Levo Yao.

HAKUNA KITU KIBAYA KAMA UMASIKINI WA FIKRA.
NA YULE ALIYESEMA WENYE AKILI NI WAWILI TU NDIO ANAZIDI KUPIGA NGOMA WAJINGA MNAICHEZA.
Jifariji mkuu
 
Back
Top Bottom