magnifico
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 11,075
- 24,634
KITU AMBACHO HAKITAHOJIWA KWA SASA....
Mamilioni Yanayotumika Kumpaisha Leo Ukianzia Shughuli Yenyewe
Ukumbini Pesa Imezama mule, Halafu Kwenda Studio Na Pia Video
Kali, Mavazi Ya Kufa Mtu, Location Za South Africa etc... Promotion ya
kufa mtu Anaelekea kuwa staa mkubwa.
Baadae Akiamua Kujitoa Katika Lebo Akadaiwa Milioni 600 Za Kuvunja
Mkataba Utasikia "anaonewa".."Si Wamuache Tu Aende Hiyo Pesa
Ataitoa Wapi Jamani"..."Wanataka Kumdhulumu Tu Kwa Sababu
Amekuwa Staa"....
Tatizo Letu Watanzania Ni Ujamaa Uliopitiliza.
Tunaamini Katika Kusaidiana Kuliko Biashara.