Anaandika Edo Kumwembe Kuhusu Utambulisho Wa D Voice

Baba ake D Voice kasema, 1 ya sharti ktk mkataba wa mwanae, ni kutoonekana ktk Pub, club, bar etc.

WCB ktk ubora wao, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
sasa kama ni hivyo kuna maana gani ya dogo kuitwa msanii wa kizazi kipya
 
Ila kusema kweli huyu D -Voice bado napata wasiwasi kurejesha hizo hela…hivi wimbo gani kutoka kwake ni mzuri?
 
Bam bam, nimezama. Wape taarifa, nimejifunza zisikilize hizi kwanza
 
Baba ake D Voice kasema, 1 ya sharti ktk mkataba wa mwanae, ni kutoonekana ktk Pub, club, bar etc.

WCB ktk ubora wao, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio ,Ukiangalia kwa jicho pana wako sahihi...uwepo wake pale club unaweza kuitangaza club au bar na kuinufaisha club au bar..etc..

Na pili kumuongezea thamani na brand, mtu ukiwa adimu kuonekana kwenye kumbi za starehe ndio inatengeneza demand yako watu kuja kukuona kwenye show...
 
Yes ni sahihi
 
Back
Top Bottom