Baba ake D Voice kasema, 1 ya sharti ktk mkataba wa mwanae, ni kutoonekana ktk Pub, club, bar etc.
WCB ktk ubora wao, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naked truth.KITU AMBACHO HAKITAHOJIWA KWA SASA....
Mamilioni Yanayotumika Kumpaisha Leo Ukianzia Shughuli Yenyewe
Ukumbini Pesa Imezama mule, Halafu Kwenda Studio Na Pia Video
Kali, Mavazi Ya Kufa Mtu, Location Za South Africa etc... Promotion ya
kufa mtu Anaelekea kuwa staa mkubwa.
Baadae Akiamua Kujitoa Katika Lebo Akadaiwa Milioni 600 Za Kuvunja
Mkataba Utasikia "anaonewa".."Si Wamuache Tu Aende Hiyo Pesa
Ataitoa Wapi Jamani"..."Wanataka Kumdhulumu Tu Kwa Sababu
Amekuwa Staa"....
Tatizo Letu Watanzania Ni Ujamaa Uliopitiliza.
Tunaamini Katika Kusaidiana Kuliko Biashara.
Hapo inatengenezwa brand .Baba ake D Voice kasema, 1 ya sharti ktk mkataba wa mwanae, ni kutoonekana ktk Pub, club, bar etc.
WCB ktk ubora wao, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ChaiIla yule dogo nawasiwasi nae. Kuna picha kapiga kavaa chupi ya kike.
Hivi umewahi kumuona diamond club yoyote?Baba ake D Voice kasema, 1 ya sharti ktk mkataba wa mwanae, ni kutoonekana ktk Pub, club, bar etc.
WCB ktk ubora wao, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa ufupi hatakiwi kujichanganya popote kwenye tamasha lolote, sherehe wala kuhudhiria mkutano wa ACT bila kuwa na ruhusa ya WCB
Zaidi ya mipasho kuna unachokijua kwenye huu ulimwengu? Unajua hata mantiki ya appearance?Baba ake D Voice kasema, 1 ya sharti ktk mkataba wa mwanae, ni kutoonekana ktk Pub, club, bar etc.
WCB ktk ubora wao, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa kutotaka kuonekana sehem za umma, ili mashabiki wawe na kiu ya kumuona, ndo nisijue hili mie?Zaidi ya mipasho kuna unachokijua kwenye huu ulimwengu? Unajua hata mantiki ya appearance?
Kigagula kichwa cheupe sana wewe [emoji28]
Nimewahii.Hivi umewahi kumuona diamond club yoyote?
Najua sana.Hapo inatengenezwa brand .
Naelewaa.Kwa ufupi hatakiwi kujichanganya popote kwenye tamasha lolote, sherehe wala kuhudhiria mkutano wa ACT bila kuwa na ruhusa ya WCB