Dalton Elijah
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 968
- 1,978
Jana kwa mara ya kwanza zilifanyika tuzo za “TanzaniaCreators Awards” nchini.
Nashukuru kuwa mmoja wa washindi wa tuzo hizo
Ni hatua nzuri saaaana kwa watengeneza maudhui nchini.Kwa habari nyingine.. TZ itaanza kukusanya ada ya usajili Tsh 50,000 kwa content creators nchini.
Hii ni habari mbaya sana kwa content creators nchini. Kwanini?
Kwanza, 90% ya content creators nchini, hawatengenezi hela yoyote kutokana na kazi zao.
Ni sekta changa sana, ambayo vijana wameamua KUJISHIKIZA nayo. Kabla ya kuanza kukusanya ada ya usajili, ilitakiwa tuanze kwa kuweka sawa sera zetu kuhusu field hii mpya.
Kwa mfano; wenzetu serikali ya Kenya, imeingia makubaliano rasmi na Meta, Youtube, TikTok na X ili iweze kulipa content creators wao.
Hiyo imefanya Kenya kuwa kati ya nchi chache za Afrika ambazo wanaingiza hela nyingi kutokana na field hii. Inakadiliwa kwa mwaka wanaingiza hadi bilioni 71 tu kutoka kwa content creators.
Huku kwetu bado.. hatuna makubaliano hayo ya monetisation na hizi kampuni.
Pia, Kenya walipunguza Digital Services Tax kutoka 3% mpaka 1.5% ili kuchochea digital economy.
Kwetu, serikali imeanzisha 5% withholding Tax kwa content cteators hivyo kupelekea double taxation kwa maana Tz haina Tax Treaty na marekani hivyo content creators wanapoteza 35% ya mapato yao. Youtube wanachukua 30% na TRA 5%.
Tatu, Tupo mwaka 2026 na Tz hakuna digital wallet yoyote inayofanya kazi.Sio Paypal, Flutter or stripe.. zote hutoboi ukiwa Tz. Hii imepelekea Online freelencers wengi kukosa international gigs. Na wengine imebidi wawe na laini za simu kutoka Kenya ili waweze kufanya manuva ya kupata malipo online.Inafika hatua baadhi ya online freelencers na content creator kwenye baadhi ya platfoms wanajisajili wanatokea Kenya ili tu kuepuka msururu wa restrictions.Shida ni nini??
Kingine kanuni.. ukiangalia movie za Marekani au content creators wao.. ni kawaida sana kuwaona wakiwa na bendera za nchi yao.Kwa TZ.. ni rahisi sana kupata bendera ya marekani na ukaitumia kuliko ya TZ
Hapo nazungumzia bendera.. hujagusa sare za polisi au jeshi kutumika na watengeneza maudhui. Hapo bado kuna baadhi ya marneo kama Airport, Mwendokasi nk. heka heka zake za vibali mpaka ukashoot umevuja jasho
Tuna kanuni kali upande wa Online content na media regulations. Mwisho wa siku inapelekea kazi zetu kukosa ubora na uhalisia. Natamani kuongelea gharama za bando.. ila hili limeongelewa sana.. kuhusu Starlink, tusahauKuhusu fine.. cencorship na ban ya baadhi platfoms, kwa leo tuyaache.
Kabla hatujamalizana na haya.. tumerukia kuweka ada kwa content creators wa Tz.
Ni kama tunataka kuvuna shamba ambalo hatujalima.
Tupo 2026 jamani.. digital ndio kila kitu. Watunga sera tufungulieni dunia tafadhalini.
#DIWIInsights #DIWI