Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Je umepoteza tsh ngapi kimya kimya? Share hii na Rafiki zako!
Biashara matangazo, kaanza kama anasaga kunguni ila lengo ni hilo. Usalama wa pesa sasa hivi wala sio kuweka kwenye dollar,Mantiki ipo kwenye kutuambia tupakue app yake! Juu kule hakuna mantiki.
Sawa; tutapakua app.
Biashara matangazo, kaanza kama anasaga kunguni ila lengo ni hilo. Usalama wa pesa sasa hivi wala sio kuweka kwenye dollar,