LGE2024 Anaandika Lyenda kutoka X: SHIDA ZA UCHAGUZI 2024

LGE2024 Anaandika Lyenda kutoka X: SHIDA ZA UCHAGUZI 2024

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
LYENDA (iamLyenda) posted at 5:57 PM on Wed, Nov 27, 2024:

Tunachukua fomu kwa SHIDA.

Tunarejesha fomu kwa SHIDA.

Tunateuliwa kwa SHIDA.

Tunafanya kampeni kwa SHIDA.

Tunapiga kura kwa SHIDA.

Mawakala wanasimamia kura kwa SHIDA.

Tunahesabu kura kwa SHIDA.

Tunatangazwa kwa SHIDA.

Yaani SHIDA SHIDA SHIDA.

CCM ni SHIDA

HALAFU MTU MTU NA AKILI ZAKE ANASEMA CHADEMA WAMESHINDWA!
 
Kwa hiyo chadema wameshinda?

Yani sisi tumsaidiaje labda?

Huyu ndio communication officer wa chama hapa kuna chama kweli?
 
Kwa hiyo chadema wameshinda?

Yani sisi tumsaidiaje labda?

Huyu ndio communication officer wa chama hapa kuna chama kweli?
Ndiyo maana mmeshindwa mitihani. Kwani lengo la post yake ni nini? umeona take home msg ni kuwa anataka kusaidiwa? au ni chdema kushinda?
 
Ndiyo maana mmeshindwa mitihani. Kwani lengo la post yake ni nini? umeona take home msg ni kuwa anataka kusaidiwa? au ni chdema kushinda?
Kwa nini hawakutangaza kama utaratibu ulivyoelekeza? Hata kama hakushinda, kwa nini kuweka mazingira yanayotia shaka?
 
Kwa hiyo chadema wameshinda?

Yani sisi tumsaidiaje labda?

Huyu ndio communication officer wa chama hapa kuna chama kweli?
Nani anataka umsaidie umeshindwa kusaidia wajinga wenzio huko ccm uje kusaidia chadema, wewe tulia mnachokitafuta siku kikikaa vizuri mtaelewa tu ni swala la muda tu.
 
Back
Top Bottom