Kwa hiyo chadema wameshinda?LYENDA (iamLyenda) posted at 5:57 PM on Wed, Nov 27, 2024:
Tunachukua fomu kwa SHIDA.
Tunarejesha fomu kwa SHIDA.
Tunateuliwa kwa SHIDA.
Tunafanya kampeni kwa SHIDA.
Tunapiga kura kwa SHIDA.
Mawakala wanasimamia kura kwa SHIDA.
Tunahesabu kura kwa SHIDA.
Tunatangazwa kwa SHIDA.
Yaani SHIDA SHIDA SHIDA.
CCM ni SHIDA
HALAFU MTU MTU NA AKILI ZAKE ANASEMA CHADEMA WAMESHINDWA!
Ndiyo maana mmeshindwa mitihani. Kwani lengo la post yake ni nini? umeona take home msg ni kuwa anataka kusaidiwa? au ni chdema kushinda?Kwa hiyo chadema wameshinda?
Yani sisi tumsaidiaje labda?
Huyu ndio communication officer wa chama hapa kuna chama kweli?
Kwa nini hawakutangaza kama utaratibu ulivyoelekeza? Hata kama hakushinda, kwa nini kuweka mazingira yanayotia shaka?Ndiyo maana mmeshindwa mitihani. Kwani lengo la post yake ni nini? umeona take home msg ni kuwa anataka kusaidiwa? au ni chdema kushinda?
Uchawa usikuondolee akili yako!!Umalaya wa kisiasa usikuondoleee utu wako.Kibri Cha Hela ya dhuluma unayopata isikuondolee Huruma ya kibidamu.Kwa hiyo chadema wameshinda?
Yani sisi tumsaidiaje labda?
Huyu ndio communication officer wa chama hapa kuna chama kweli?
Nani anataka umsaidie umeshindwa kusaidia wajinga wenzio huko ccm uje kusaidia chadema, wewe tulia mnachokitafuta siku kikikaa vizuri mtaelewa tu ni swala la muda tu.Kwa hiyo chadema wameshinda?
Yani sisi tumsaidiaje labda?
Huyu ndio communication officer wa chama hapa kuna chama kweli?