Anaandika Mwabukusi (advocate)

Anaandika Mwabukusi (advocate)

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Kuna wakati ninajihoji na kujiuliza kuhusu mfumo wetu wa Haki Jinai najisikia Aibu sana kuwa Mwanasheria .

Ukijiuliza logic ya uwepo wa sheria inayokataza bayana kupelekwa kwa mashtaka Mahakamani kabla upelelezi haujakamilika na kwamba anaweza kuwepo mtu ambaye kasoma sheria ila anaamua kuinajisi na kuigeuza Mahakama kama Kokoro la kubeba kila aina ya takataka ..

Tunajidhalilisha na kudhalilisha mfumo wetu wa Haki jinai...Iam very ashamed personall
1737793772401.jpg
y.
 
Unafiki ni kitu kibaya walimdhihaki kwa majina mabaya na kumdhalilisha mkewe leo eti wanamlilia kilio cha mamba!
 
Kuna wakati ninajihoji na kujiuliza kuhusu mfumo wetu wa Haki Jinai najisikia Aibu sana kuwa Mwanasheria .

Ukijiuliza logic ya uwepo wa sheria inayokataza bayana kupelekwa kwa mashtaka Mahakamani kabla upelelezi haujakamilika na kwamba anaweza kuwepo mtu ambaye kasoma sheria ila anaamua kuinajisi na kuigeuza Mahakama kama Kokoro la kubeba kila aina ya takataka ..

Tunajidhalilisha na kudhalilisha mfumo wetu wa Haki jinai...Iam very ashamed personallView attachment 3213473y.
Hata mimi huwa najiuliza hivi hizi mahakama zetu zinaendeshwa na Watanzania wenzetu?
 
Hii nchi ni ya Ajabu sana, wanamfanyiaje huyu mzee aliyekuwa Balozi wetu huko Sweden? Yaani maana yake ni kwamba Raisi mstaafu (balozi muwakilishi) hana kinga ya mashtaka? Taaabu tupu.

NB: Balozi ni muwakilishi wa nchi kama alivyo Raisi ndio maana wana kinga ya mashtaka wakiwa na hadhi ya ubalozi.. sasa sijui, kama hiyo kinga huwa inavulika mtu akiacha kuwa balozi. kama kinga inavulika maana yake hata Raisi akistaafu, kinga yake pia haipo. Hawa prosecutors wanatengeneza precedent ya hatari sana kwa maraisi na mabalozi siku za mbeleni huko.
 
Alishavuliwa ubalozi mkuu
 
Muachieni sasa uchaguzi umeisha. lissu kashinda na CHADEMA imebaki salama na imara zaidi
Hatutaki. Na hatujapenda Chadema wamemchagua Lissu ataua chama. Tulimtaka Mbowe ndo angeweza kukiweka chama imara. Sisi CCM hatujapenda kabisa Lissu kushinda huyu anaropoka hajui kutunza siri. Ataua chama. Hasira zitaenda kwa Slaa amechangia naye
 
Alishavuliwa ubalozi mkuu
Nilimsikia Balozi Dr. Slaa anasema hajataarifiwa kimaandishi na serikali haifanyi kazi kwa mdomo bila taraifa ya maandishi. Pia maana yake ni kwamba Kinga za Maraisi wastaafu hazina maana yeyote, maana ni kutamka tu au kupitisha sheria huko Bungeni kwamba kinga imefutwa na wanapelekwa rumande... inabidi wawe makini sana kwa wanacho kifanya. Kina gharama siku za mbeleni huko kwa mtindo huu... Huyu mzee kachoka , hata tembea yake lakini bado wanaye... wamuache apumzike kwa kweli
 
Binafsi sio mwanasheria ila hili la kumkamata mtu na kumuweka mahabusu halafu unakuja kusema ushahidi haujakamiliki naliona ni jambo la ajabu sana, kipi kinapaswa kuanza kati ya kukamata au kuchunguza na kukusanya ushahidi wa kutosha halafu ndio ukamate.
 
Kuna haja yakuhakikisha Kinga za marais na baadhi ya viongozi wa serikali na taasisi za usalama zinaondolewa mara moja.

Kuwaondolea Kinga kutawafanya wawe makini na mfumo wa Sheria na matendo yao wawapo gerezani.
Nguvu ya Kinga inafanya baadhi ya viongozi kutumia mamlaka yao vibaya wakiamini hakuna chakuwafanya.
 
serikali yoyote hata akija kuingia lissu haya yatatokea huwezi kuona mtu anaigusa serikali umuangalie tu hakuna duniani
 
Kuna wakati ninajihoji na kujiuliza kuhusu mfumo wetu wa Haki Jinai najisikia Aibu sana kuwa Mwanasheria .

Ukijiuliza logic ya uwepo wa sheria inayokataza bayana kupelekwa kwa mashtaka Mahakamani kabla upelelezi haujakamilika na kwamba anaweza kuwepo mtu ambaye kasoma sheria ila anaamua kuinajisi na kuigeuza Mahakama kama Kokoro la kubeba kila aina ya takataka ..

Tunajidhalilisha na kudhalilisha mfumo wetu wa Haki jinai...Iam very ashamed personallView attachment 3213473y.
Inawezekana dogo yupo kazini. Ila sema kinachoshangaza ni kushughulika na mtu ambaye hana ushawishi. Ila ninvyojua hapa patachimbika. Nadhani CCM tumekuwa wajinga wajinga sana vitu ka hivi havituongezei kura kabisa zaidi ya kutuonesha sisi ni wajinga madikiteta na wauaji
 
Back
Top Bottom