Always ukiwa mpumbavu huwezi jibu hoja badala yake unaleta hisia. Kukimbilia kumtaja Mungu inategemea ni Mungu yupi maana hata mchawi anaporoga anamuomba Mungu wake.
Nilitegemea ujibu hoja zangu ungeweza kunifundisha kitu ambacho sikijui kikanifungua akili zaidi badala yake unaleta ngonjera na hisia zako. Kama una akili hata za kuombea maji rudi kwenye hoja kwa nini mahakama na waendesha mashtaka wateule wake wanakiuka sheria akiwa kimya?
Pili nijibu kwa nini alimzushia Mbowe kesi ya uhaini? Ukishindwa kujibu usilete uchawa wako kakojoe ulale