Muogopeni Samia, huyu mama ni cold blooded zaidi ya Magufuli nawaambia. Kwa mwanamke mama kuwa kimya kutekwa kwa vijana kama kina Soka yuko kimya, Sativa, Ali Kibao. Kesi aliyombambikia Mbowe ya uhaini ambayo adhabu yake ni kifungo cha muda mrefu au kifo kwa sababu ya kisiasa ni ukatili.
Haya yanafanyika mahakamani kwa directive zake, anaona raha kuumiza wanaopingana ni reincarnation ya Magufuli. Ila Magufuli alikuwa anajionyesha tofauti na huyu, CCM wamelewa madaraka wanafurahia lakini huyu mama anawapeleka pabaya