Hata mimi huwa najiuliza hivi hizi mahakama zetu zinaendeshwa na Watanzania wenzetu?Kuna wakati ninajihoji na kujiuliza kuhusu mfumo wetu wa Haki Jinai najisikia Aibu sana kuwa Mwanasheria .
Ukijiuliza logic ya uwepo wa sheria inayokataza bayana kupelekwa kwa mashtaka Mahakamani kabla upelelezi haujakamilika na kwamba anaweza kuwepo mtu ambaye kasoma sheria ila anaamua kuinajisi na kuigeuza Mahakama kama Kokoro la kubeba kila aina ya takataka ..
Tunajidhalilisha na kudhalilisha mfumo wetu wa Haki jinai...Iam very ashamed personallView attachment 3213473y.
Hasira zote za uchaguzi wa CHADEMA Zilizomuweka Lissu madarakani wanazimalizia kwa Mzee wa watu.. What a shame..!View attachment 3213477
Ni aibu kweli kwa mahakama ya Tanzania na wanasheria-wasomi.Hasira zote za uchaguzi wa CHADEMA Zilizomuweka Lissu madarakani wanazimalizia kwa Mzee wa watu.. What a shame..!View attachment 3213477
Inasikitisha sana. Na mahakama inakubali kabisa kubinya haki ya mtu huku wakijua.Ziko likizo
Alishavuliwa ubalozi mkuuHii nchi ni ya Ajabu sana, wanamfanyiaje huyu mzee aliyekuwa Balozi wetu huko Sweden? Yaani maana yake ni kwamba Raisi mstaafu (balozi muwakilishi) hana kinga ya mashtaka? Taaabu tupu.
NB: Balozi ni muwakilishi wa nchi kama alivyo Raisi ndio maana wana kinga ya mashtaka wakiwa na hadhi ya ubalozi.. sasa sijui, kama hiyo kinga huwa inavulika mtu akiacha kuwa balozi. kama kinga inavulika maana yake hata Raisi akistaafu, kinga yake pia haipo. Hawa prosecutors wanatengeneza precedent ya hatari sana kwa maraisi na mabalozi siku za mbeleni huko.
Ndio maana ccm inatesa raia.Unafiki ni kitu kibaya walimdhihaki kwa majina mabaya na kumdhalilisha mkewe leo eti wanamlilia kilio cha mamba!
Hatutaki. Na hatujapenda Chadema wamemchagua Lissu ataua chama. Tulimtaka Mbowe ndo angeweza kukiweka chama imara. Sisi CCM hatujapenda kabisa Lissu kushinda huyu anaropoka hajui kutunza siri. Ataua chama. Hasira zitaenda kwa Slaa amechangia nayeMuachieni sasa uchaguzi umeisha. lissu kashinda na CHADEMA imebaki salama na imara zaidi
Nilimsikia Balozi Dr. Slaa anasema hajataarifiwa kimaandishi na serikali haifanyi kazi kwa mdomo bila taraifa ya maandishi. Pia maana yake ni kwamba Kinga za Maraisi wastaafu hazina maana yeyote, maana ni kutamka tu au kupitisha sheria huko Bungeni kwamba kinga imefutwa na wanapelekwa rumande... inabidi wawe makini sana kwa wanacho kifanya. Kina gharama siku za mbeleni huko kwa mtindo huu... Huyu mzee kachoka , hata tembea yake lakini bado wanaye... wamuache apumzike kwa kweliAlishavuliwa ubalozi mkuu
Inawezekana dogo yupo kazini. Ila sema kinachoshangaza ni kushughulika na mtu ambaye hana ushawishi. Ila ninvyojua hapa patachimbika. Nadhani CCM tumekuwa wajinga wajinga sana vitu ka hivi havituongezei kura kabisa zaidi ya kutuonesha sisi ni wajinga madikiteta na wauajiKuna wakati ninajihoji na kujiuliza kuhusu mfumo wetu wa Haki Jinai najisikia Aibu sana kuwa Mwanasheria .
Ukijiuliza logic ya uwepo wa sheria inayokataza bayana kupelekwa kwa mashtaka Mahakamani kabla upelelezi haujakamilika na kwamba anaweza kuwepo mtu ambaye kasoma sheria ila anaamua kuinajisi na kuigeuza Mahakama kama Kokoro la kubeba kila aina ya takataka ..
Tunajidhalilisha na kudhalilisha mfumo wetu wa Haki jinai...Iam very ashamed personallView attachment 3213473y.