Sijaregemea sincerity toka kwa mwanaccm kabisa. Kumbe wapo CCM wakweli kama Warioba na wewe? Hongera aiseeInawezekana dogo yupo kazini. Ila sema kinachoshangaza ni kushughulika na mtu ambaye hana ushawishi. Ila ninvyojua hapa patachimbika. Nadhani CCM tumekuwa wajinga wajinga sana vitu ka hivi havituongezei kura kabisa zaidi ya kutuonesha sisi ni wajinga madikiteta na wauaji
Nimeanza kujiuliza hapa, hv ukiwa chadema akili huwa inapatwa na nini'?!!!!! Mbona ni 'kulakachalakacha' tu mambo kama mahayawani?!!!Unafiki ni kitu kibaya walimdhihaki kwa majina mabaya na kumdhalilisha mkewe leo eti wanamlilia kilio cha mamba!
Mshana hata wewe unaamini silaa ni mtuhumiwa kweli?WaTz tukoje lakini?Silaa ni mamauruki wa ccm na yuko kazini kama alivyo mbowe,hiyo kesi ni zuga tu anapokea mshahara wake na marupurupu yake kama kawaida kutoka serikalini.Kuna wakati ninajihoji na kujiuliza kuhusu mfumo wetu wa Haki Jinai najisikia Aibu sana kuwa Mwanasheria .
Ukijiuliza logic ya uwepo wa sheria inayokataza bayana kupelekwa kwa mashtaka Mahakamani kabla upelelezi haujakamilika na kwamba anaweza kuwepo mtu ambaye kasoma sheria ila anaamua kuinajisi na kuigeuza Mahakama kama Kokoro la kubeba kila aina ya takataka ..
Tunajidhalilisha na kudhalilisha mfumo wetu wa Haki jinai...Iam very ashamed personallView attachment 3213473y.
Huwa nafurahi sana ninapoona uzushi kama huu sababu Mungu huwa anaubadili na kuwa Dua Moja nzuri sana na anaijibu hapo hapo.Muogopeni Samia, huyu mama ni cold blooded zaidi ya Magufuli nawaambia. Kwa mwanamke mama kuwa kimya kutekwa kwa vijana kama kina Soka yuko kimya, Sativa, Ali Kibao. Kesi aliyombambikia Mbowe ya uhaini ambayo adhabu yake ni kifungo cha muda mrefu au kifo kwa sababu ya kisiasa ni ukatili.
Haya yanafanyika mahakamani kwa directive zake, anaona raha kuumiza wanaopingana ni reincarnation ya Magufuli. Ila Magufuli alikuwa anajionyesha tofauti na huyu, CCM wamelewa madaraka wanafurahia lakini huyu mama anawapeleka pabaya
Alifutiwa hadhi ya ubalozi ndo MAANA hana kingaHii nchi ni ya Ajabu sana, wanamfanyiaje huyu mzee aliyekuwa Balozi wetu huko Sweden? Yaani maana yake ni kwamba Raisi mstaafu (balozi muwakilishi) hana kinga ya mashtaka? Taaabu tupu.
NB: Balozi ni muwakilishi wa nchi kama alivyo Raisi ndio maana wana kinga ya mashtaka wakiwa na hadhi ya ubalozi.. sasa sijui, kama hiyo kinga huwa inavulika mtu akiacha kuwa balozi. kama kinga inavulika maana yake hata Raisi akistaafu, kinga yake pia haipo. Hawa prosecutors wanatengeneza precedent ya hatari sana kwa maraisi na mabalozi siku za mbeleni huko.
Kazi ippNafikiri Samia anatoa onyo hata kwa watumishi wenye kinga, wasipokuwa machawa, wakatoa maoni ambayo hayapendi wanaweza kuishia jela.
Kosa la kumbambikizia, kosa lina dhamana, Mzee wa watu miaka 75 atakimbilia wapi? Wamtesa na kumkomoa tu. Hii serikali wamekosa utu kabisa na kulewa na madaraka.
Kama balozi mstaafu anavuliwa ubalozi ni kwa nini rais mstaafu akituhumiwa asivuliwe urais halafu aburuzwe ubaoni?Alishavuliwa ubalozi mkuu
Kweli ni Aibu Tena,mnaapa kwa Dini zenu huku mkijua kwamba Mungu hadhihakiwi!Kuna wakati ninajihoji na kujiuliza kuhusu mfumo wetu wa Haki Jinai najisikia Aibu sana kuwa Mwanasheria .
Ukijiuliza logic ya uwepo wa sheria inayokataza bayana kupelekwa kwa mashtaka Mahakamani kabla upelelezi haujakamilika na kwamba anaweza kuwepo mtu ambaye kasoma sheria ila anaamua kuinajisi na kuigeuza Mahakama kama Kokoro la kubeba kila aina ya takataka ..
Tunajidhalilisha na kudhalilisha mfumo wetu wa Haki jinai...Iam very ashamed personallView attachment 3213473
Hakuna mahakama tanzania zaid ya mawakala wa serikali, mahakama huwa inafuata sheria , ukisha ona mahakama inatekeleza maelekezo ya wakuu wa nchi ujue hiyo siyo mahakama ni takataka.Hata mimi huwa najiuliza hivi hizi mahakama zetu zinaendeshwa na Watanzania wenzetu?
Always ukiwa mpumbavu huwezi jibu hoja badala yake unaleta hisia. Kukimbilia kumtaja Mungu inategemea ni Mungu yupi maana hata mchawi anaporoga anamuomba Mungu wake.Huwa nafurahi sana ninapoona uzushi kama huu sababu Mungu huwa anaubadili na kuwa Dua Moja nzuri sana na anaijibu hapo hapo.
Hebu tuangaliehili, huyu Mama anashambuliwa na kuchukiwa sana na baadhi ya watu (la kufurahisha ni wachache)........ mpina na hawa nyumbu wakiongoza. Jitihada za kumkwamisha zimekuwa nyingi balaa. Lakini ajabu ndo kwanza neema zinatokea kipindi chake
Nadhani CCM tumekuwa wajinga wajinga sana vitu ka hivi havituongezei kura kabisa zaidi ya kutuonesha sisi ni wajinga madikiteta na wauaji💪🏿👌🏿Inawezekana dogo yupo kazini. Ila sema kinachoshangaza ni kushughulika na mtu ambaye hana ushawishi. Ila ninvyojua hapa patachimbika. Nadhani CCM tumekuwa wajinga wajinga sana vitu ka hivi havituongezei kura kabisa zaidi ya kutuonesha sisi ni wajinga madikiteta na wauaji
KooaKaf,,,***rwe huko na wachawi!
Kipara kipya. Nakuona kama mstaarabu hivi.. matusi ya nini ndugu.Kaf,,,***rwe huko na wachawi!
DuuhKwenye hukumu ya kesi moja ya kikatiba mwaka jana walisems WAMEFUNGWA MIKONO
Ndio mambo yenu hayo wadau wa kijaniKaf,,,***rwe huko na wachawi!