Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Hasa Hans Pope, hata baada ya kukwepa kodi, alikimbia nchi akarudi akiwa amajipanga vivyo na akamaliza kesi.Watu muhimu Simba ni Magori na Hans Pope,hawa jamaa awajawai kushindwa vita.
Mwaka wa nne huu shekhe tunajitekenya na kucheka wenyewe... usisahau tutanzia raundi ya pili kule kwingine...Mnajitekenya na kucheka wenyewe, Mikia buana
Unateseka ukiwa wapiMagori asitufokee mpira unachezwa uwanjani, Kama Simba wako vizuri tutawaona uwanjani huitaji kuongea mbaka misuli ya shingo ikaze ni swala la muda tu, Muda haujawahi kuongopa.
Tunajua Magori ni chawa wa MO anajitahidi kuongea ili Mambo yaonekane yako sawa Ila muda utasema ukweli.
Hao kwanza wana pesa sio kapuku mwenzangu manara eti nae anataka kuinua mabega, bora alivyotimuliwaWatu muhimu Simba ni Magori na Hans Pope, hawa jamaa awajawai kushindwa vita.
Kumbuka pia Magori kajibu watu ambao hawakutaka muda kuwa hakimuMuda ni msemaji makini kuliko Magoli tusubiri na tuone
Kumbuka Magori kajibu watu ambao hawakutaka muda uamueMagori asitufokee mpira unachezwa uwanjani, Kama Simba wako vizuri tutawaona uwanjani huitaji kuongea mbaka misuli ya shingo ikaze ni swala la muda tu, Muda haujawahi kuongopa.
Tunajua Magori ni chawa wa MO anajitahidi kuongea ili Mambo yaonekane yako sawa Ila muda utasema ukweli.
Ole wako Mo akusikie kauli yakoWatu muhimu Simba ni Magori na Hans Pope, hawa jamaa awajawai kushindwa vita.
Wazee wa figisuWatu muhimu Simba ni Magori na Hans Pope, hawa jamaa awajawai kushindwa vita.
Mnajitekenya na kucheka wenyewe, Mikia buana
Umemjibu vizuri sana π€£π€£π€£Mwaka wa nne huu shekhe tunajitekenya na kucheka wenyewe... usisahau tutanzia raundi ya pili kule kwingine...
πππ Rage aliwachoka kiasi cha kufikia kuwaita mbumbumbu!!Sijawahi ona mshabiki wa hii timu mwenye akili timam