Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni zezeta samahani lakini kwa kutumia neno hiloKeshakuwa brainwashed huyo mama, anaona Muingereza ndio kipimo cha kila kitu kwa kuwa tu wanamuwezesha kwenda chooni, mbona hasemi kuna za Ulaya kama Swedeni, Island hazijafanya lockdown, Wananchi walikuwa wanajiachia tu zaidi hata Bongo, Bars zote, migahawa, masoko, parks zipo wazi na maambukizi na waliokufa Sweden ni wachache kuliko huko kwa mataahira Uingereza walikofunga kila kitu na kubomoa Uchumi lkn bado wamekufa kama wadudu, ...
Nchi yetu hali ni shwari. Ni tuvifo tu vya hapa na pale sababu ya kushindwa kupumua.
Bahati nzuri wabunge wa ccm ndio wanaongoza kwa ukimwi, presha, vusukari, makansa, .... Lazima hii covid iwatafune ni suala la muda ... Subiri uone
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana naona kama mtandao unaoujua ni JF pekee
Wewe ni zezeta samahani lakini kwa kutumia neno hilo
Ya, na kwasababu hiyo ss tuendelee tu na maisha kwa sababu wengine wanaochukua hatua nao wana dead.Hilo linatokea hata kwa walioweka lockdown!
Mjinga wewe Tena chizi ... Wazazi wangu hawadharau corona kama misukule ya CCM inayosema Ni ka ugonjwa kadogo ndio maana mnaipata fresh... Tena na wewe usipoangalia itakufyeka ...Hata wewe, Wazazi wako ni Binadamu pia kama ,, Wabunge wa CCM“, hivyo wewe au Wazazi wako siyo immortal ni swala la muda tu!
Naona mnaanza kuwa wapole mkisikia vifo , hili dubwana lazima liwafyekelee mbali kudadadeki ... Utanikumbusha hii meseji nimeandika leoHata wewe, Wazazi wako ni Binadamu pia kama ,, Wabunge wa CCM“, hivyo wewe au Wazazi wako siyo immortal ni swala la muda tu!
Atafute mme kwanza.NAWAZA kwa nini baadhi ya nchi za AFRIKA zinaona tabu kufanya LOCKDOWN au hata PARTIAL LOCKDOWN katika kupambana na janga la COVID-19?
NAWAZA inakuwaje baadhi ya nchi nyingine za kimagharibi na hata za Afrika Mashariki na Kati zimefanikiwa vipi kukabiliana na janga hili hata wasiwe na kifo hata kimoja.
NAWAZA iwapo mabasi ya masafa marefu, yaani mikoani yanaweza kuzuiwa ili kupunguza kasi ya kusambaza virusi vya korona.
NAWAZA kama safari za ndege za kuingia nchi za Afrika pamoja na safari zozote mipakani zisitishwe kwa muda mpaka nchi ziweze kudhibiti kusambaa kwa virusi vya korona.
NAWAZA kuhusu nchi zenye kutumia usafiri wa maji kusitisha safari hizo kwa muda.
NAWAZA kwani nikiswali nyumbani bila ya kwenda msikitini/kanisani dua yangu haitopokelewa?
NAWAZA hivi Mungu mwingi wa Rehema ataniadhibu au kunipa madhambi kwa sababu sijaenda kufanya maombi kwenye nyumba ya ibada na badala yake nikasali nyumbani?
NAWAZA ili watu wasikose rizki, hatuwezi kuwa wabunifu na kutumia bodaboda kununua vitu na kutuachia nje ya nyumba.
NAWAZA Hawawezi watu wakapanga foleni na kuingia mmoja mmoja madukani kuepusha kusambaa kwa virusi vya korona.
NAWAZA mama lishe, wauza vitafunio asubuhi kama vitumbua n.k, hawawezi kwenda kwenye maeneo yao kwa muda maalum na kwa zamu na kuondoka haraka baada tu ya kumaliza kuuza vyakula hivyo.
NAWAZA nchi za Afrika haziwezi kusitisha kudai bili za maji au angalau kupunguza gharama za kulipia.
NAWAZA wauza bidhaa masokoni hawawezi kukaa mita mbili baina ya muuzaji na muuzaji.
NAWAZA serikali hazina mifuko maalum ya maafa na dharura kuweza kugawa chakula kwa familia ambazo hazitoweza kumudu chakula wakati wa PARTIAL LOCKDOWN.
NAWAZA pesa za makusanyo ya kodi haziwezi kutumika kugawa kwa kila familia simu moja ya mkononi angalau wanafunzi waweze kudurusu kwa njia ya kidijitali.
NAWAZA mabadiliko na ubunifu muhimu hasa kununua vitu mtandaoni na kwa njia za simu.
NAWAZA kuna ubaya gani kujua takwimu za watu wote waliopimwa, walioathirika na kufa kutokana na virusi ili niweze kujikinga zaidi.
NAWAZA Mwana Mfalme na Waziri Mkuu wa Uingereza walijitangaza walipoathirika ila kuna usiri mkubwa miongoni mwa viongozi.
Zuhura, Africa na hasa E Africa viongozi ni kila kitu. Akiwaza anavyowaza inakuwa msimamo wa nchi. Katiba za Africa ni kikwazo kwa ustawi wa jamii hii ya ki Africa .NAWAZA kwa nini baadhi ya nchi za AFRIKA zinaona tabu kufanya LOCKDOWN au hata PARTIAL LOCKDOWN katika kupambana na janga la COVID-19?
NAWAZA inakuwaje baadhi ya nchi nyingine za kimagharibi na hata za Afrika Mashariki na Kati zimefanikiwa vipi kukabiliana na janga hili hata wasiwe na kifo hata kimoja.
NAWAZA iwapo mabasi ya masafa marefu, yaani mikoani yanaweza kuzuiwa ili kupunguza kasi ya kusambaza virusi vya korona.
NAWAZA kama safari za ndege za kuingia nchi za Afrika pamoja na safari zozote mipakani zisitishwe kwa muda mpaka nchi ziweze kudhibiti kusambaa kwa virusi vya korona.
NAWAZA kuhusu nchi zenye kutumia usafiri wa maji kusitisha safari hizo kwa muda.
NAWAZA kwani nikiswali nyumbani bila ya kwenda msikitini/kanisani dua yangu haitopokelewa?
NAWAZA hivi Mungu mwingi wa Rehema ataniadhibu au kunipa madhambi kwa sababu sijaenda kufanya maombi kwenye nyumba ya ibada na badala yake nikasali nyumbani?
NAWAZA ili watu wasikose rizki, hatuwezi kuwa wabunifu na kutumia bodaboda kununua vitu na kutuachia nje ya nyumba.
NAWAZA Hawawezi watu wakapanga foleni na kuingia mmoja mmoja madukani kuepusha kusambaa kwa virusi vya korona.
NAWAZA mama lishe, wauza vitafunio asubuhi kama vitumbua n.k, hawawezi kwenda kwenye maeneo yao kwa muda maalum na kwa zamu na kuondoka haraka baada tu ya kumaliza kuuza vyakula hivyo.
NAWAZA nchi za Afrika haziwezi kusitisha kudai bili za maji au angalau kupunguza gharama za kulipia.
NAWAZA wauza bidhaa masokoni hawawezi kukaa mita mbili baina ya muuzaji na muuzaji.
NAWAZA serikali hazina mifuko maalum ya maafa na dharura kuweza kugawa chakula kwa familia ambazo hazitoweza kumudu chakula wakati wa PARTIAL LOCKDOWN.
NAWAZA pesa za makusanyo ya kodi haziwezi kutumika kugawa kwa kila familia simu moja ya mkononi angalau wanafunzi waweze kudurusu kwa njia ya kidijitali.
NAWAZA mabadiliko na ubunifu muhimu hasa kununua vitu mtandaoni na kwa njia za simu.
NAWAZA kuna ubaya gani kujua takwimu za watu wote waliopimwa, walioathirika na kufa kutokana na virusi ili niweze kujikinga zaidi.
NAWAZA Mwana Mfalme na Waziri Mkuu wa Uingereza walijitangaza walipoathirika ila kuna usiri mkubwa miongoni mwa viongozi.
Ya, na kwasababu hiyo ss tuendelee tu na maisha kwa sababu wengine wanaochukua hatua nao wana dead.
Mjinga wewe Tena chizi ... Wazazi wangu hawadharau corona kama misukule ya CCM inayosema Ni ka ugonjwa kadogo ndio maana mnaipata fresh... Tena na wewe usipoangalia itakufyeka ...
Baada ya miezi 6 ijayo naamini robo ya wabunge wako itakuwa kaburini ...
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona mnaanza kuwa wapole mkisikia vifo , hili dubwana lazima liwafyekelee mbali kudadadeki ... Utanikumbusha hii meseji nimeandika leo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ss ni sawa na tupo kwe lockdown. Maana hakuna raia wa Tz anaweza vuka mpaka akapokelewa nchi nyingine, Watumishi tu wa serikali ndo wapo makazini ila private sector nyingi tayari hakuna biashara. Ss hivi tukazane na kilimo, kuuza vyakula na matunda nje sababu tukitegemea kodi itakula. Lockdown tunayoishadadia isitolewe ni ya kwenda kununua samaki na mboga labda na ya kuabudu.Hakuna ushahidi wowote kama lockdown inazuia maambukizi ambao unahalalisha kubomoa Uchumi wa nchi, hata walioweka lockdown wameondoa, Wananchi wamechola na hali ya uchumi wao ni mbaya.
Ungesoma taratibu ungemuelewa alafu usinge reply kwa muhemko na kupanic mkuu. Yeye amesema "nawaza" means ni mawazo yake sio ushauri wala mapendekezo kwamba tufanye!Keshakuwa brainwashed huyo mama, anaona Muingereza ndio kipimo cha kila kitu kwa kuwa tu wanamuwezesha kwenda chooni, mbona hasemi kuna za Ulaya kama Swedeni, Island hazijafanya lockdown, Wananchi walikuwa wanajiachia tu zaidi hata Bongo, Bars zote, migahawa, masoko, parks zipo wazi na maambukizi na waliokufa Sweden ni wachache kuliko huko kwa mataahira Uingereza walikofunga kila kitu na kubomoa Uchumi lkn bado wamekufa kwa wingi zaidi, ...