Anaandika Zuhura Yunus wa BBC

Anaandika Zuhura Yunus wa BBC

Lockdown inasaidia sana,nchi kama India imefanikiwa kwa kiasi kikubwa kutokana na lockdown,hebu fikiria Wahindi walivyo wengi na misongamano kwenye miji yao.
Ile ya kuchapana viboko?
 
Maskinii, Tulipofikia ni pagumu mno, hakuna tena kitu kinachoitwa Freedom of speech. Zuhura kaishia kutumia neno NAWAZA kwa kuogopa kashkash za uhujumu uchumi?
 
Keshakuwa brainwashed huyo mama, anaona Muingereza ndio kipimo cha kila kitu kwa kuwa tu wanamuwezesha kwenda chooni, mbona hasemi kuna za Ulaya kama Swedeni, Island hazijafanya lockdown, Wananchi walikuwa wanajiachia tu zaidi hata Bongo, Bars zote, migahawa, masoko, parks zipo wazi na maambukizi na waliokufa Sweden ni wachache kuliko huko kwa mataahira Uingereza walikofunga kila kitu na kubomoa Uchumi lkn bado wamekufa kwa wingi zaidi, ...
Je una uwakika kuwa Sweden hawapo lockdown?

Je una uwakika kuwa Sweden akuna vifo au ongezeko la wagonjwa na vifo vya Covid-19?

Usiwapotoshe watu kwa maneno ya kusikia kijiweni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni mambo mazuri aliyo waza Kwa sababu hata usipoweka lockdown uchumi umevurugika tu.
Matokeo ya kuudharau ugonjwa na kuwaaminisha watu wako kwamba hakuna ugonjwa na ukaendelea kuficha vifo hatimae utatengwa na dunia.
Pia kuna wazo linajengwa miongoni mwa wananchi kwamba basi TZ ni nchi yenye thank ya ajabu inayowindwa kila dakika huo ni upuuzi wa kiwango cha juu sana. Hili jambo linajengwa mpk kuhalarisha hata mauaji kwa waTZ wanaoonekana kuhesabiwa siyo wazalendo.
Wanasiasa hawa ndiyo siyo wazalendo... Marais wetu ... Wabunge mpk madiwani ndiyo siyo wazalendo ni wanasiasa ndiyo wauzaji wa rasilimali zetu wahujumu wakubwa.
Janga hili linaelekezwa kwenye siasa uchumi wameuvuruga siku nyingi kesho itakuwa Corona kila kitu.

Wenye kufa ni wananchi endeleeni kubebeshwa mzigo wa madeni yanasababishwa na Kiki za kisiasa hata mkifa wao wanaishi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Keshakuwa brainwashed huyo mama, anaona Muingereza ndio kipimo cha kila kitu kwa kuwa tu wanamuwezesha kwenda chooni, mbona hasemi kuna za Ulaya kama Swedeni, Island hazijafanya lockdown, Wananchi walikuwa wanajiachia tu zaidi hata Bongo, Bars zote, migahawa, masoko, parks zipo wazi na maambukizi na waliokufa Sweden ni wachache kuliko huko kwa mataahira Uingereza walikofunga kila kitu na kubomoa Uchumi lkn bado wamekufa kwa wingi zaidi, ...
Waingereza wamekukosea nini mpaka unawaita mataahira?
 
Na ndicho anachofanya huyo mama, analinganisha visivyolingana, eti sijui mbona prince Charles kafanya hivi kwa nini na sisi tusifanye, mbona prince Charles anakula nyama ya Nguruwe yeye hali/haruhusiwi ?
ana tofauti gani na wewe unayejilinganisha na Sweden na Island? hiviccm akili zenu zina mavi?
 
Ni mambo mazuri aliyo waza Kwa sababu hata usipoweka lockdown uchumi umevurugika tu.
Matokeo ya kuudharau ugonjwa na kuwaaminisha watu wako kwamba hakuna ugonjwa na ukaendelea kuficha vifo hatimae utatengwa na dunia.
Pia kuna wazo linajengwa miongoni mwa wananchi kwamba basi TZ ni nchi yenye thank ya ajabu inayowindwa kila dakika huo ni upuuzi wa kiwango cha juu sana. Hili jambo linajengwa mpk kuhalarisha hata mauaji kwa waTZ wanaoonekana kuhesabiwa siyo wazalendo.
Wanasiasa hawa ndiyo siyo wazalendo... Marais wetu ... Wabunge mpk madiwani ndiyo siyo wazalendo ni wanasiasa ndiyo wauzaji wa rasilimali zetu wahujumu wakubwa.
Janga hili linaelekezwa kwenye siasa uchumi wameuvuruga siku nyingi kesho itakuwa Corona kila kitu.

Wenye kufa ni wananchi endeleeni kubebeshwa mzigo wa madeni yanasababishwa na Kiki za kisiasa hata mkifa wao wanaishi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kutemgwa tayari kushaanza hapo UG na Rwanda pia,ni athari za mapema sana hizi.
Wao wanaelekea kushinda sisi ndio kwanza tunajificha tunavyopigwa
 
Ni wapi nimejilinganisha na Sweden au Island?
Keshakuwa brainwashed huyo mama, anaona Muingereza ndio kipimo cha kila kitu kwa kuwa tu wanamuwezesha kwenda chooni, mbona hasemi kuna za Ulaya kama Swedeni, Island hazijafanya lockdown, Wananchi walikuwa wanajiachia tu zaidi hata Bongo, Bars zote, migahawa, masoko, parks zipo wazi na maambukizi na waliokufa Sweden ni wachache kuliko huko kwa mataahira Uingereza
 
Back
Top Bottom