Anaandika Zuhura Yunus wa BBC

Weka kielelezo hapa kinachoonyesha kwamba hali ni mbaya zaidi kwetu TZ kulinganisha na nchi za Kiafrika zilizoweka lockdown.
Pole sana naona kama mtandao unaoujua ni JF pekee
 
Wewe ni zezeta samahani lakini kwa kutumia neno hilo
 
NAWAZA serikali hazina mifuko maalum ya maafa na dharura kuweza kugawa chakula kwa familia ambazo hazitoweza kumudu chakula wakati wa PARTIAL LOCKDOWN....She nailed it
 
Reactions: THT
Bahati nzuri wabunge wa ccm ndio wanaongoza kwa ukimwi, presha, vusukari, makansa, .... Lazima hii covid iwatafune ni suala la muda ... Subiri uone

Sent using Jamii Forums mobile app

Hata wewe, Wazazi wako ni Binadamu pia kama ,, Wabunge wa CCM“, hivyo wewe au Wazazi wako siyo immortal ni swala la muda tu!
 
Hata wewe, Wazazi wako ni Binadamu pia kama ,, Wabunge wa CCM“, hivyo wewe au Wazazi wako siyo immortal ni swala la muda tu!
Mjinga wewe Tena chizi ... Wazazi wangu hawadharau corona kama misukule ya CCM inayosema Ni ka ugonjwa kadogo ndio maana mnaipata fresh... Tena na wewe usipoangalia itakufyeka ...

Baada ya miezi 6 ijayo naamini robo ya wabunge wako itakuwa kaburini ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata wewe, Wazazi wako ni Binadamu pia kama ,, Wabunge wa CCM“, hivyo wewe au Wazazi wako siyo immortal ni swala la muda tu!
Naona mnaanza kuwa wapole mkisikia vifo , hili dubwana lazima liwafyekelee mbali kudadadeki ... Utanikumbusha hii meseji nimeandika leo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atafute mme kwanza.
 
Zuhura, Africa na hasa E Africa viongozi ni kila kitu. Akiwaza anavyowaza inakuwa msimamo wa nchi. Katiba za Africa ni kikwazo kwa ustawi wa jamii hii ya ki Africa .

Odhis *
 
Ya, na kwasababu hiyo ss tuendelee tu na maisha kwa sababu wengine wanaochukua hatua nao wana dead.

Hakuna ushahidi wowote kama lockdown inazuia maambukizi ambao unahalalisha kubomoa Uchumi wa nchi, hata walioweka lockdown wameondoa, Wananchi wamechola na hali ya uchumi wao ni mbaya.
 
Haijalishi kama wewe au Wazazi wako mnadharau au hamdharau wewe umesema Wabunge wanaokufa na makansa, korona ni wa CCM, nimeshangaa kauli kama hiyo itoke kwa binadamu ambaye hajui kesho yake, kansa hata wewe au Wazazi wako mnaweza kuwa nayo pia kama hao ,,Wabunge wa CCM“ , ...
 
Naona mnaanza kuwa wapole mkisikia vifo , hili dubwana lazima liwafyekelee mbali kudadadeki ... Utanikumbusha hii meseji nimeandika leo

Sent using Jamii Forums mobile app

Nimeshakwambia hata kama ,,likiwafyekea mbali“ hata wewe siyo immortal, kifo siyo cha kuchekana kwani ni swala la muda tu, kama siyo ugonjwa ni ajali au chochote kile, ...
 
Hakuna ushahidi wowote kama lockdown inazuia maambukizi ambao unahalalisha kubomoa Uchumi wa nchi, hata walioweka lockdown wameondoa, Wananchi wamechola na hali ya uchumi wao ni mbaya.
Ss ni sawa na tupo kwe lockdown. Maana hakuna raia wa Tz anaweza vuka mpaka akapokelewa nchi nyingine, Watumishi tu wa serikali ndo wapo makazini ila private sector nyingi tayari hakuna biashara. Ss hivi tukazane na kilimo, kuuza vyakula na matunda nje sababu tukitegemea kodi itakula. Lockdown tunayoishadadia isitolewe ni ya kwenda kununua samaki na mboga labda na ya kuabudu.
 
Ungesoma taratibu ungemuelewa alafu usinge reply kwa muhemko na kupanic mkuu. Yeye amesema "nawaza" means ni mawazo yake sio ushauri wala mapendekezo kwamba tufanye!

Kila mmoja ana mawazo yake na si dhambi kuwaza.

Calm down ma'm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…