Anaandika Zuhura Yunus wa BBC



Hiyo ni Dunia nzima, nchi zimezuia wageni kuingia hata hao waliotuzuia kuingia kwao na wao wamezuiwa pia kuingia nchi nyingine karibia zote, hakuna zinazotoa viza wala Ndege haziruki, hivyo siyo kwamba sisi tumezuiwa kwa sababu hatuna lockdown, bali hata walioweka lockdown wamezuiwa pia.
 
Ungesoma taratibu ungemuelewa alafu usinge reply kwa muhemko na kupanic mkuu. Yeye amesema "nawaza" means ni mawazo yake sio ushauri wala mapendekezo kwamba tufanye!

Kila mmoja ana mawazo yake na si dhambi kuwaza.

Calm down ma'm


Hata mimi ni mawazo yangu pia, mbona kama unafanya kile kile unachonishutumu kukifanya?
 
wewe kiazi kweli yan...unamlazimisha mtu awaze unavyowaza wewe!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeshakwambia hata kama ,,likiwafyekea mbali“ hata wewe siyo immortal, kifo siyo cha kuchekana kwani ni swala la muda tu, kama siyo ugonjwa ni ajali au chochote kile, ...
Kumbe huwa mnajua kifo sio Cha kuchekeana ? Mbona mlitaka kumuuq Tundu lissu??


Nyie kiboko yenu ni covid pumbavu lazima iwafyeke, tunza hii comment .

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Aisee kifo nikibaya sana!Hata wewe mtukufu Malaika Mkuu,umeanza kuogopa!Jinsi ulivyo kuwa unamuombea kifo Lissu, sikuwahi kujua kama ipo siku utaugua wala Kufa! ...No kweli umeanza kuwa mpole hivi!
 
Ss tuliruhusu ndege za watalii kuingia mpaka ilipotokea kuwa hakuna nchi inaruhusu watu wake kutalii wakati huu.

Ni tumeingia kwe automatic lockdown bila kupanga. Hatukuchagua kufunga mipaka.

Na hata leo ikitokea nchi fulani inataka kuleta watalii, uwezekano ni mkubwa kuruhusiwa kwenda kutalii kwa utaratibu fulani hivi tutakaojiwekea kuhalalisha hilo. Ila ww nenda china saa hii kwamba unataka kutalii.
 


Yah hamna shida, sisi hatuna lockdown.
 
Ungesoma taratibu ungemuelewa alafu usinge reply kwa muhemko na kupanic mkuu. Yeye amesema "nawaza" means ni mawazo yake sio ushauri wala mapendekezo kwamba tufanye!

Kila mmoja ana mawazo yake na si dhambi kuwaza.

Calm down ma'm
Neno lake siyo sheria useme ni lazma ufuate
 
Lockdown inasaidia sana,nchi kama India imefanikiwa kwa kiasi kikubwa kutokana na lockdown,hebu fikiria Wahindi walivyo wengi na misongamano kwenye miji yao.
 
Waafrika kwa kufanya references za ughaibuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…