Unafikiria Traore anafanya peke yake yote hayo? Haiwezekani ana watu wake ndio maana mpaka leo yuko pale ....Sio rahisi kwa kuongoza nchi hata kijij ukiwa alone .Kama africa ndo tuko hivo usemavyo mkuu, basi nchi zetu ni wafu wanaotembea.
Kwamba nchi nzima inakuwa na mwaminifu mmoja tuu? Vipi ikitokea afya ya akili ikiteteleka hawezi kuwamwaga damu za maelefu ya raia wake?.
Tunatakiwa kujua kila nchi inawema na wabaya ila tatizo huanza juu.
Wapumbavu na watoto wa mashoga kama wewe unastahili kila aina ya tusi, maana kichwani mwako umejaza kinyezi...Uliwahi ona wapi mtu aliyejaza matusi kichwani akawa na akili.
Kama huwezi kuzunguka kupata acceptable sampling usi draw conclusion inaonekana ni mpumbavu na shule ulienda kukua makalio tuu.
Liserikali linaleta uzembe then ndio liserikali lilipopaform kuliko zote ,hao wasio wazembe walikuwa wanafanya nini?
Ibrahim traore anayoyafanya yaendane na mifumo imara ya kuitawala nchi na sio one man show
Huna akili labda katikati ya wapumbavu wenzako wewe ndio una nafuu.Wapumbavu na watoto wa mashoga kama wewe unastahili kila aina ya tusi, maana kichwani mwako umejaza kinyezi...
Nina akili sana kuliko hata babu yako na baba yako wote wawili, kwenye ukoo wenu inaonekana mmejaza wajinga na wapumbavvu tu, maana wewe ni kielelezo tosha ungekuwa umetoka kwenye ukoo wa watu wenye akili usingekuwa chawa na mtetea mafisadi.
Kitendo cha kunilazimisha nizunguke nchi nzima hili kupata sample ya mamilion ya watu, kinaonesha ni jinsi gani ukivyokuwa ngumbaru na hujui chochote kuhusu statistics fala wewe.
Ndio hii serikali ya mama ako samia ndio serikali mbovu naya ovyo kuwahi kutokea ambayo tumeshuudia watumishi wa umma wakiwa wazembe kupindukia na hawana mtu wa kuwafuatilia.
Usiniambie habari ya perfomance maana najua hizo data za kuhusu perfomance zinapikwa na hao hao watumishi wazembe ambao wako kwenye system kwa ajili ya kufanya ufisadi.
Nimekuuliza kama kweli hi serikali ya mama ako ndio iliyoperform kuliko serikali zote, zile za hasara za mabilioni kutoka kwenye mashirika mbali mbali ya uma zinazosomwa kila siku na CAG mbona ndio zimezidi kuongezeka awamu hii ya bibi chura?
Mwaka wa fedha uliopita tu kuna upotevu wa zaidi ya trillion 1.2 na haijulikani zimepoteaje, halafu wewe mbwa kachoka huko hapa unaniambia eti hii serikali ndio imeperform kuliko zote? Nenda kawadanganye huko kijijini kwenu kimburu wewe, endelea kulamba makalio ya mafisadi huku ukirushiwa mifupa, wanaoifaidi nchi ni akina Abdul wewe utaendelea kuwa mlamba makalio.
subscribedKwa Afrika mtu kama Traore ndiye afaa kuongoza kwa kipindi fulani huku akiimarisha hizo taasisi unozidai.
Hadi sasa kuna machache ambayo Traore ameyafanya tangu ashike nchi:
1. Watoto wanasoma bure na kila shule yahakikisha mwalimu yupo na afanya kazi yake.
2. Kila shule watoto wavalia sare za shule ambazo zauzwa kutoka humohumo nchini hivyo kuwasiadia watengenezaji nguo wa ndani.
3. Sasa hivi Burkina Faso yajenga barabara zote ziwe za lami hadi kufikia 5000 kwa mwaka kutoka kwenye kusuasua kwa barabara 3000 kwa mwaka.
4. Chini ya uongozi wa Traore vipo viwanda karibia vinne vimejengwa vya kusindika nyanya na matunda na viwanda hivyo vimejengwa kwenye maeneo ya wakulima ili ilwe rahisi kutoa ajira na kuwasaidi wakulima.
5. Hadi sasa kuna magari ya aina tano (Models) yanoundwa nchini Burkina faso yenye kutumia umeme na yenye majina mbalimbali kama Sahel, Tqqaua na mengine.
6. Ili pia kwenda sambamba na wananchi wake wanomlinda usiku kwa zamu isi asidhuriwe, Traore amebadilisha majina ya barabara khasa ile kuu ya Charles Gore ambayo imekuwa ikikumbisha fikra za kikoloni na kuipa jina la Thomas Sankara.
Na traore amefanya hayo huku akikwepa majaribio yapatayo 19 ya kumuua yanoratibiwa kutoka nje ya nchi hiyo kwa wale ambao walidhani wangeweza kuitawala nchi hiyo kifikra milele.
Wananchi wengi wa Burkina faso wamejitambua na wajisikia furaha kuwa na kiongozi kama huyo ambae hujali nchi yake na wananchi wake kwanza kabla ya mengine.
Kwahiyo ukiangalia sana hii kitu demokrasia yaweza kuwa na matokeo mazuri endapo tu nchi imejengwa uzuri katika muktadha unousema wa taasisi imara ambazo pia kwa sasa nchin humo taasisi hizo zafanya kazi zake bila shida zilikuwepo kabla.
Hivyo, kutokana na yanoendelea Duniani kote kwa kila nchi kujitafakari na kuamua kuchukua maamuzi magumu ni jambo la uzuri pia kwa nchi za Afrika kujitafakari na kuamua ni njia ipi sahihi ya kuchukua ama ya kufuata uhuni wa CCM na mifumo yake kandamizi au kufuata akili ya kujitambua.
Umetumia akili sanaNi ukweli kwamba anachofanya Ibrahim Traore ni jambo zuri in term of mabadiliko ni jambo ambalo waburkinafaso wanafurahia na waafrika wote wanafurahia
Hawa viongozi wengi wa Afrika ambao ni charismatic wanachangamoto moja inayofanana wana-upeo na hesabu ndogo sana naweza sema hivyo wako ambao watakuwa supprise sana na hii statement bali ndio ukweli
Hawatengenezi taasisi imara mfano
Hata Sankara aliongoza nchi as if ataishi milele akasahau sisi ni wapitaji hapa duniani
- Mahakama huru
- Bunge huru
- Mamlaka ya kupambana na rushwa huru
- Ofisi ya mwendesha mashtaka (DPP) iliyokuwa huru jambo la kufahamu ni kwamba sisi kama binadamu tunapita ila ukitengeneza misingi imara inaweza dumu
- Tume huru ya uchaguzi ambayo traore hataki hata kukiongelea
Kilichotokea Libya kinaweza kuwa somo kwetu waafrika lakini sisi ni ngumu sana kujifunza Gaddafi aliitengeneza Libya sana ila ilikuwa ni one man show yaani hakutengeneza taasisi imara, kama Libya ingekuwa na taasisi imara basi hata bila uwepo wa Gaddafi nchi ingeendelea vizuri tu
Mimi kiongozi ambaye haamini kwenye strong system basi nakua nimeshamshusha sana kwa sababu hicho anachokifanya ni sawa na kujenga nyumba juu ya mchanga bila msingi siku ikija mvua kubwa na upepo basi myumba inabomoka sababu mfumo wowote lazima uje uwe tested kama ni imara au la
Ibrahim traore anayoyafanya yaendane na mifumo imara ya kuitawala nchi na sio one man show
MIMI NIKIWA RAIS WA TANZANIA NTATENGENEZA MISINGI IMARA YA UTAWALA HATA KAMA SITAKUWEPO BASI MAMBO YANAENDELEA KAMA KAWAIDA NA VIZURI ZAIDI
Support hustle zangu mimi Rais mtarajiwa wa Tanzania
Maandalizi na mchakato wa kuwa Rais wa Tanzania yanaendelea at the same time harakati za kutafuta rizki zinaendelea in-short maisha lazima yaendelee JAMANI NAOMBA MNIUNGISHE Historia nzuri ni ile inayoandikwa in an ugly way, and awkward way ππππππππ Kwenye historia ya Tanzania ntakumbukwa kuwa...www.jamiiforums.com
PamojaUmetumia akili sana
Acha kufikiri kwa kutumia ****** mpumbavu asilia wewe, hujui hata mantiki ya jambo unalobishia ni nini.Leta ushahidi wa huo upotevu na pia leta ushahidi wa CAG nk ukionesha Serikali zilizopita kulikuwa hakuna upotevu wa pesa na utoe maelezo unadhani Kwa nini CAG Assad alifukuzwa?
Je waliojitengebezea ulaji wa kampuni ya nguzo ya Qyihaya ni kina nani?
Punguani kama nyie ndio mtachitwa na w
Matapeli dizaini ya kina Traore and the likes Kwa sababu akili zenu ni za kuku.