Sifa zinaenda kwake lakini mfumo wa utendaji ni shirikisho na unaozinhatia sheria badala ya matamko kama ya kina Traore.Mama anaupiga mwingi , ng'ombe wa mama kila kitu cha mama , hizi kumbe ni sifa jumuishi😅
Sio tofauti , mifumo yote ya hovyo huzalisha sekta ya uchawa bwasheeSifa zinaenda kwake lakini mfumo wa utendaji ni shirikisho na unaozinhatia sheria badala ya matamko kama ya kina Traore.
Hakuna nchi yeyote afrika inayofuata demokrasia hili ni vizuri ukalifahamu nyingi zinaigiza demokrasiaHuwezi kutengeneza misingi ya kiuongozi kwenye mataifa yenye njaa na yaliyojaa wezi na wabinafsi na uchumi tegemezi kama ya Afrika...
Wengi mnaonglea theory fikirika ambazo hamna popote zinapofanya kazi kwa nchi kama zetu..
Ndo maana hakuna nchi yoyote ya Afrika yenye utawala na uongozi ulio kwenye mstari...
Uchawa Kwa Kiongozi lakini sio kwenye utendaji ,ndio maana akiondoka anasepa nao.Sio tofauti , mifumo yote ya hovyo huzalisha sekta ya uchawa bwashee
OKUchawa Kwa Kiongozi lakini sio kwenye utendaji ,ndio maana akiondoka anasepa nao.
Wee wacha tushikwe akili ata wakitaka watushike hadi mbupuzWewe ni mjinga na utakua na kulishwa ujinga Kwa maslahi ya Slowslow.
Slow Slow hana tofauti na Kigogo,Mange na wajinga wengine ambao wanatumia Lindi kubwa la nyie mbumbumbu kupata hela Kwa njia ya views, comments etc huki nyie mkiambulia matangopori Kwa sababu za kukosa na kushikiwa akili.
Hata hao wengine unaowafahamu wanaigiza tu hiyo demokrasia ndo maana Rais Samia alilalamikia masharti ya mikopo na misaada...Hakuna nchi yeyote afrika inayofuata demokrasia hili ni vizuri ukalifahamu nyingi zinaigiza demokrasia
Kwa Afrika mtu kama Traore ndiye afaa kuongoza kwa kipindi fulani huku akiimarisha hizo taasisi unozidai.Ni ukweli kwamba anachofanya Ibrahim traore ni jambo zuri in term of mabadiliko ni jambo ambalo waburkinafaso wanafurahia ma waafrika wote wanafurahia
Hawa viongozi wengi wa afrika ambao ni charismatic wanachangamoto moja inayofanana wana-upeo na hesabu ndogo sana naweza sema hivyo wako ambao watakuwa supprise sana na hii statement bali ndo ukweli
Hawatengenezi taasisi imara mfano
- Mahakama huru
- Bunge huru
- Mamlaka ya kupambana na rushwa huru
- Ofisi ya mwendesha mashtaka (DPP) iliyokuwa huru jambo la kufahamu ni kwamba sisi kama binadamu tunapita ila ukitengeneza misingi imara inaweza dumu
- Tume huru ya uchaguzi ambayo traore hataki hata kukiongelea
Hata sankara aliongoza nchi as if ataishi milele akasahau sisi ni wapitaji hapa duniani
Kilichotokea Libya kinaweza kuwa somo kwetu waafrika lakini sisi ni ngumu sana kujifunza gaddafi aliitengeneza Libya sana ila ilikuwa ni one man show yaani hakutengeneza taasisi imara, kama Libya ingekuwa na taasisi imara basi hata bila uwepo wa gaddafi nchi ingeendelea vizuri tu
Mimi kiongozi ambaye haamini kwenye strong system basi nakua nimeshamshusha sana kwa sababu hicho anachokifanya ni sawa na kujenga nyumba juu ya mchanga bila msingi siku ikija mvua kubwa na upepo basi myumba inabomoka sababu mfumo wowote lazima uje uwe tested kama ni imara au la
Ibrahim traore anayoyafanya yaendane na mifumo imara ya kuitawala nchi na sio one man show
MIMI NIKIWA RAIS WA TANZANIA NTATENGENEZA MISINGI IMARA YA UTAWALA HATA KAMA SITAKUWEPO BASI MAMBO YANAENDELEA KAMA KAWAIDA NA VIZURI ZAIDI
Support hustle zangu mimi Rais mtarajiwa wa Tanzania
Maandalizi na mchakato wa kuwa Rais wa Tanzania yanaendelea at the same time harakati za kutafuta rizki zinaendelea in-short maisha lazima yaendelee JAMANI NAOMBA MNIUNGISHE Historia nzuri ni ile inayoandikwa in an ugly way, and awkward way 👇👇👇👇👇👇👇👇 Kwenye historia ya Tanzania ntakumbukwa kuwa...www.jamiiforums.com
Unafananisha demokrasia ya nchi za Western na za Afrika seriousHata hao wengine unaowafahamu wanaigiza tu hiyo demokrasia ndo maana Rais Samia alilalamikia masharti ya mikopo na misaada...
Traore kwa Dunia ya leo hana faida na mfumo anaoutumia ni ule wa 1300 wa Uingereza "Monarchism" ambao watu wengi hawatoi maoni yao na Maendeleo yanafanyika as a favour.Ni ukweli kwamba anachofanya Ibrahim traore ni jambo zuri in term of mabadiliko ni jambo ambalo waburkinafaso wanafurahia ma waafrika wote wanafurahia
Hawa viongozi wengi wa afrika ambao ni charismatic wanachangamoto moja inayofanana wana-upeo na hesabu ndogo sana naweza sema hivyo wako ambao watakuwa supprise sana na hii statement bali ndo ukweli
Hawatengenezi taasisi imara mfano
- Mahakama huru
- Bunge huru
- Mamlaka ya kupambana na rushwa huru
- Ofisi ya mwendesha mashtaka (DPP) iliyokuwa huru jambo la kufahamu ni kwamba sisi kama binadamu tunapita ila ukitengeneza misingi imara inaweza dumu
- Tume huru ya uchaguzi ambayo traore hataki hata kukiongelea
Hata sankara aliongoza nchi as if ataishi milele akasahau sisi ni wapitaji hapa duniani
Kilichotokea Libya kinaweza kuwa somo kwetu waafrika lakini sisi ni ngumu sana kujifunza gaddafi aliitengeneza Libya sana ila ilikuwa ni one man show yaani hakutengeneza taasisi imara, kama Libya ingekuwa na taasisi imara basi hata bila uwepo wa gaddafi nchi ingeendelea vizuri tu
Mimi kiongozi ambaye haamini kwenye strong system basi nakua nimeshamshusha sana kwa sababu hicho anachokifanya ni sawa na kujenga nyumba juu ya mchanga bila msingi siku ikija mvua kubwa na upepo basi myumba inabomoka sababu mfumo wowote lazima uje uwe tested kama ni imara au la
Ibrahim traore anayoyafanya yaendane na mifumo imara ya kuitawala nchi na sio one man show
MIMI NIKIWA RAIS WA TANZANIA NTATENGENEZA MISINGI IMARA YA UTAWALA HATA KAMA SITAKUWEPO BASI MAMBO YANAENDELEA KAMA KAWAIDA NA VIZURI ZAIDI
[URL
demokrasia ni kitu cha kufikirika, kimeanzishwa na wanasiasa kwa ajili yao hao hao wanasiasa.. hivi we kama mwananchi demokrasia una nguvu nayo vipi bila nguvu ya hao wanasiasa?Unafananisha demokrasia ya nchi za Western na za Afrika serious
Taasisi ni Muhimu sana maana ikitokea akaondoka hayo mazuri yote yatatoeka.Kwa Afrika mtu kama Traore ndiye afaa kuongoza kwa kipindi fulani huku akiimarisha hizo taasisi unozidai.
Hadi sasa kuna machache ambayo Traore ameyafanya tangu ashike nchi:
1. Watoto wanasoma bure na kila shule yahakikisha mwalimu yupo na afanya kazi yake.
2. Kila shule watoto wavalia sare za shule ambazo zauzwa kutoka humohumo nchini hivyo kuwasiadia watengenezaji nguo wa ndani.
3. Sasa hivi Burkina Faso yajenga barabara zote ziwe za lami hadi kufikia 5000 kwa mwaka kutoka kwenye kusuasua kwa barabara 3000 kwa mwaka.
4. Chini ya uongozi wa Traore vipo viwanda karibia vinne vimejengwa vya kusindika nyanya na matunda na viwanda hivyo vimejengwa kwenye maeneo ya wakulima ili ilwe rahisi kutoa ajira na kuwasaidi wakulima.
5. Hadi sasa kuna magari ya aina tano (Models) yanoundwa nchini Burkina faso yenye kutumia umeme na yenye majina mbalimbali kama Sahel, Tqqaua na mengine.
6. Ili pia kwenda sambamba na wananchi wake wanomlinda usiku kwa zamu isi asidhuriwe, Traore amebadilisha majina ya barabara khasa ile kuu ya Charles Gore ambayo imekuwa ikikumbisha fikra za kikoloni na kuipa jina la Thomas Sankara.
Na traore amefanya hayo huku akikwepa majaribio yapatayo 19 ya kumuua yanoratibiwa kutoka nje ya nchi hiyo kwa wale ambao walidhani wangeweza kuitawala nchi hiyo kifikra milele.
Wananchi wengi wa Burkina faso wamejitambua na wajisikia furaha kuwa na kiongozi kama huyo ambae hujali nchi yake na wananchi wake kwanza kabla ya mengine.
Kwahiyo ukiangalia sana hii kitu demokrasia yaweza kuwa na matokeo mazuri endapo tu nchi imejengwa uzuri katika muktadha unousema wa taasisi imara ambazo pia kwa sasa nchin humo taasisi hizo zafanya kazi zake bila shida zilikuwepo kabla.
Hivyo, kutokana na yanoendelea Duniani kote kwa kila nchi kujitafakari na kuamua kuchukua maamuzi magumu ni jambo la uzuri pia kwa nchi za Afrika kujitafakari na kuamua ni njia ipi sahihi ya kuchukua ama ya kufuata uhuni wa CCM na mifumo yake kandamizi au kufuata akili
Kwa hiyo ulitaka nizunguke Tanzania nzima nichunguze tabia za walimu wote kisha ndio nije na coclusion? Hivi una elewa hata statistical sampling inavyofanyika mbwa wewe?Mwalimu mmja ndio kielelezo Cha Taaluma nzima ya walimu?
Utawala thabiti ni matokeo Sasa kina kipi Cha maana ambacho kinafanyika Burkinafaso na Tzn hakifanyiki?
Saba sana hao kina Traore ndio wanakuja kujifunza au unabisha nikupe.ushahidi?
Wewe ni mpumbavu unaropoka tuu
Ndio maana nikakwambia wewe ni mpumbavu huwezi hitimisha hoja Kwa poor samplings,shule ulienda kukuza nywele.Kwa hiyo ulitaka nizunguke Tanzania nzima nichunguze tabia za walimu wote kisha ndio nije na coclusion? Hivi una elewa hata statistical sampling inavyofanyika mbwa wewe?
Ulitaka nipite kwenye kila ofisi ya uma hili nibaina wazembe ni wapi na wachapa kazi ni wapi na wako wangapi? Kwani hata huyo kafulila wenu hizo data anazotoaga huwa anazunguka tanzania nzima kama sio kufanya sampling?
Kwa hiyo unakataa hapa Tanzani watumishi wa uma ni wachapa kazi na sio wazembe?
Wewe jamaa ni kumer sana tena mpumbav wa kuzaliwa haya kama nyie watanzania sio wazembe na ni wazalendi mko makini na kazi yale mabilioni ambayo kila mara yanasomwa na CAG yanapoteleaga wapi?
Eti nini hao kina Traore wanakuja kujifunza hapa kwenu?
Aisee una mzaa sana fala wewe, Traore aje ajifunze nini kwa huyu mama ako wa kizmkazi dalali wa rasilimali za taifa?
Yaan Traore kabisa aje ajifunze kwa Samia? Ajifunze nini sasa? kufuga mafisadi na wazembe serikalini au?
Traore kwanza akisikia yaliyofanyika kwenye mkataba wa DP world hawezi hata kukaa meza moja na huyo bibi yako wa kizanzibari maana atamdharau sana.
Utawala thabiti unaonekana kwa matokeo ndio, na kwa mambo aliyofanya Traore kule Burikinafaso(zaman Upper Volta) ni makubwa sana kulinganisha na muda aliokaa madarakani.
Ndio maana ni dhambi kubwa sana kumlinganisha Traore na taka taka zingine hapa afrika ikiwemo ya taka taka ya kizimkazi.
Atafuata mtu mwingine mwenye hulka,akilo na mzalendo wa aina yake...Taasisi ni Muhimu sana maana ikitokea akaondoka hayo mazuri yote yatatoeka.
NYIE MSIFIENI TU BAADAE AKINGANGANIA KAMA WAKINA MUSEVENI NDO MTAJUA MLIKUWA MNAKURUPUKA KUSIFIA NGOZI NYEUSI SISI SIO WAKUAMINIANA SANANi ukweli kwamba anachofanya Ibrahim Traore ni jambo zuri in term of mabadiliko ni jambo ambalo waburkinafaso wanafurahia na waafrika wote wanafurahia
Hawa viongozi wengi wa Afrika ambao ni charismatic wanachangamoto moja inayofanana wana-upeo na hesabu ndogo sana naweza sema hivyo wako ambao watakuwa supprise sana na hii statement bali ndio ukweli
Hawatengenezi taasisi imara mfano
Hata Sankara aliongoza nchi as if ataishi milele akasahau sisi ni wapitaji hapa duniani
- Mahakama huru
- Bunge huru
- Mamlaka ya kupambana na rushwa huru
- Ofisi ya mwendesha mashtaka (DPP) iliyokuwa huru jambo la kufahamu ni kwamba sisi kama binadamu tunapita ila ukitengeneza misingi imara inaweza dumu
- Tume huru ya uchaguzi ambayo traore hataki hata kukiongelea
Kilichotokea Libya kinaweza kuwa somo kwetu waafrika lakini sisi ni ngumu sana kujifunza Gaddafi aliitengeneza Libya sana ila ilikuwa ni one man show yaani hakutengeneza taasisi imara, kama Libya ingekuwa na taasisi imara basi hata bila uwepo wa Gaddafi nchi ingeendelea vizuri tu