Anachofanya Ibrahim Traore ni kizuri ila kinakosa misingi ya utawala yaani ni one man show

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
5,559
Reaction score
8,747
Ni ukweli kwamba anachofanya Ibrahim Traore ni jambo zuri in term of mabadiliko ni jambo ambalo waburkinafaso wanafurahia na waafrika wote wanafurahia

Hawa viongozi wengi wa Afrika ambao ni charismatic wanachangamoto moja inayofanana wana-upeo na hesabu ndogo sana naweza sema hivyo wako ambao watakuwa supprise sana na hii statement bali ndio ukweli

Hawatengenezi taasisi imara mfano
  • Mahakama huru
  • Bunge huru
  • Mamlaka ya kupambana na rushwa huru
  • Ofisi ya mwendesha mashtaka (DPP) iliyokuwa huru jambo la kufahamu ni kwamba sisi kama binadamu tunapita ila ukitengeneza misingi imara inaweza dumu
  • Tume huru ya uchaguzi ambayo traore hataki hata kukiongelea
Hata Sankara aliongoza nchi as if ataishi milele akasahau sisi ni wapitaji hapa duniani

Kilichotokea Libya kinaweza kuwa somo kwetu waafrika lakini sisi ni ngumu sana kujifunza Gaddafi aliitengeneza Libya sana ila ilikuwa ni one man show yaani hakutengeneza taasisi imara, kama Libya ingekuwa na taasisi imara basi hata bila uwepo wa Gaddafi nchi ingeendelea vizuri tu

Mimi kiongozi ambaye haamini kwenye strong system basi nakua nimeshamshusha sana kwa sababu hicho anachokifanya ni sawa na kujenga nyumba juu ya mchanga bila msingi siku ikija mvua kubwa na upepo basi myumba inabomoka sababu mfumo wowote lazima uje uwe tested kama ni imara au la

Ibrahim traore anayoyafanya yaendane na mifumo imara ya kuitawala nchi na sio one man show

MIMI NIKIWA RAIS WA TANZANIA NTATENGENEZA MISINGI IMARA YA UTAWALA HATA KAMA SITAKUWEPO BASI MAMBO YANAENDELEA KAMA KAWAIDA NA VIZURI ZAIDI

Ni ukweli kwamba anachofanya Ibrahim traore ni jambo zuri in term of mabadiliko ni jambo ambalo waburkinafaso wanafurahia ma waafrika wote wanafurahia

Hawa viongozi wengi wa afrika ambao ni charismatic wanachangamoto moja inayofanana wana-upeo na hesabu ndogo sana naweza sema hivyo wako ambao watakuwa supprise sana na hii statement bali ndo ukweli

Hawatengenezi taasisi imara mfano
  • Mahakama huru
  • Bunge huru
  • Mamlaka ya kupambana na rushwa huru
  • Ofisi ya mwendesha mashtaka (DPP) iliyokuwa huru jambo la kufahamu ni kwamba sisi kama binadamu tunapita ila ukitengeneza misingi imara inaweza dumu
  • Tume huru ya uchaguzi ambayo traore hataki hata kukiongelea

Hata sankara aliongoza nchi as if ataishi milele akasahau sisi ni wapitaji hapa duniani

Kilichotokea Libya kinaweza kuwa somo kwetu waafrika lakini sisi ni ngumu sana kujifunza gaddafi aliitengeneza Libya sana ila ilikuwa ni one man show yaani hakutengeneza taasisi imara, kama Libya ingekuwa na taasisi imara basi hata bila uwepo wa gaddafi nchi ingeendelea vizuri tu

Ni muendelezo wa ujinga ule ule na kujitafutia sifa binafsi bila kujali kesho.
 
Huu ujinga hata Magufuli aliuleta hapa nchini, tena kibaya zaidi alikuwa na dalili zote za kutaka kubadili ili atawale atakavyo.
 
Wewe unaamini ktk Demokrasia kumbuka Demokrasia ilikuja kulingana na utawala wa kifalme kuwa wa wachache

Sasa hivi Demokrasia imeanza kupitwa na wakati inatoa mianya ya wizi na rushwa plus ukoloni mamboleo mfano unakuwa na Tume, mahakama na serikali jina

Huo ni mfumo mpya unaouanzisha kama alivyo anzisha Demokrasia Abraham Lincoln

Kavunja Tume ya uchaguzi juzi tu
Hiyo nchi inaendeshwa tofauti na nchi zingine

Zamani walikuwa na hiyo mifumo wakawa watumwa kwa mfaransa ndicho kilichofanya Traore awe Traore unayemsema wewe kwenye huu uzi
 
Wewe unaamini ktk Demokrasia kumbuka Demokrasia ilikuja kulingana na utawala wa kifalme kuwa wa wachache

Sasa hivi Demokrasia imeanza kupitwa na wakati inatoa mianya ya wizi na rushwa plus ukoloni mamboleo

Huo ni mfumo mpya unaanza kama alivyo anzisha Demokrasia Abraham Lincoln
Kwamba mfumo wa one man show ni mfumi mpya unaijua historia vizuri
Nchi ni ya watu wote na sio ya kikundi cha watu wachache
 
Ni ukweli kwamba anachofanya Ibrahim traore ni jambo zuri in term of mabadiliko ni jambo ambalo waburkinafaso wanafurahia ma waafrika wote wanafurahia

Hawa viongozi wengi wa afrika ambao ni charismatic wanachangamoto moja inayofanana wana-upeo na hesabu ndogo sana naweza sema hivyo wako ambao watakuwa supprise sana na hii statement bali ndo ukweli

Hawatengenezi taasisi imara mfano
  • Mahakama huru
  • Bunge huru
  • Mamlaka ya kupambana na rushwa huru
  • Ofisi ya mwendesha mashtaka (DPP) iliyokuwa huru jambo la kufahamu ni kwamba sisi kama binadamu tunapita ila ukitengeneza misingi imara inaweza dumu
  • Tume huru ya uchaguzi ambayo traore hataki hata kukiongelea

Hata sankara aliongoza nchi as if ataishi milele akasahau sisi ni wapitaji hapa duniani

Kilichotokea Libya kinaweza kuwa somo kwetu waafrika lakini sisi ni ngumu sana kujifunza gaddafi aliitengeneza Libya sana ila ilikuwa ni one man show yaani hakutengeneza taasisi imara, kama Libya ingekuwa na taasisi imara basi hata bila uwepo wa gaddafi nchi ingeendelea vizuri tu

Mimi kiongozi ambaye haamini kwenye strong system basi nakua nimeshamshusha sana kwa sababu hicho anachokifanya ni sawa na kujenga nyumba juu ya mchanga bila msingi siku ikija mvua kubwa na upepo basi myumba inabomoka sababu mfumo wowote lazima uje uwe tested kama ni imara au la

Ibrahim traore anayoyafanya yaendane na mifumo imara ya kuitawala nchi na sio one man show

MIMI NIKIWA RAIS WA TANZANIA NTATENGENEZA MISINGI IMARA YA UTAWALA HATA KAMA SITAKUWEPO BASI MAMBO YANAENDELEA KAMA KAWAIDA NA VIZURI ZAIDI

Tunakusubiri uje utuwekee misingi imara. Chukua fomu kupitia CHAUMMA
 
Back
Top Bottom