Webabu JF-Expert Member Joined Apr 29, 2010 Posts 8,870 Reaction score 14,258 Sep 22, 2024 Thread starter #21 Retired said: stupid as stpis is Click to expand... Acha kutukana viongozi wa dini.Vibaya hivyo ! cc Smart911
Retired said: stupid as stpis is Click to expand... Acha kutukana viongozi wa dini.Vibaya hivyo ! cc Smart911
K Kashishi yetu JF-Expert Member Joined Mar 22, 2014 Posts 3,509 Reaction score 3,741 Sep 22, 2024 #22 Webabu said: Kuna mdau wa JF karipoti kuwa kadinali Pengo amezungumzia habari za watu kuuwawa kupitia redio maria na zinazoshirikiana nao. Hii ni siku moja kabla ya tarehe iliyotangazwa na Chadema ya kutaka kufanya maandamano yenye anuwani mbaya. Jee mahubiri kama haya hayana madhara kwa taifa katika muda ambao kuna viongozi wa kisiasa wametoa matamko yasiyopendeza kwa uongozi wa nchi ? Click to expand... Kwani yeye anapangiwa Cha kusema?
Webabu said: Kuna mdau wa JF karipoti kuwa kadinali Pengo amezungumzia habari za watu kuuwawa kupitia redio maria na zinazoshirikiana nao. Hii ni siku moja kabla ya tarehe iliyotangazwa na Chadema ya kutaka kufanya maandamano yenye anuwani mbaya. Jee mahubiri kama haya hayana madhara kwa taifa katika muda ambao kuna viongozi wa kisiasa wametoa matamko yasiyopendeza kwa uongozi wa nchi ? Click to expand... Kwani yeye anapangiwa Cha kusema?
Webabu JF-Expert Member Joined Apr 29, 2010 Posts 8,870 Reaction score 14,258 Sep 23, 2024 Thread starter #23 Kashishi yetu said: Kwani yeye anapangiwa Cha kusema? Click to expand... Skh Mziwanda na Ponda nao pia hawapangiwi cha kusema
Kashishi yetu said: Kwani yeye anapangiwa Cha kusema? Click to expand... Skh Mziwanda na Ponda nao pia hawapangiwi cha kusema
F fazili JF-Expert Member Joined Jun 10, 2011 Posts 16,427 Reaction score 22,418 Sep 23, 2024 #24 Webabu said: Kuna mdau wa JF karipoti kuwa kadinali Pengo amezungumzia habari za watu kuuwawa kupitia redio maria na zinazoshirikiana nao. Hii ni siku moja kabla ya tarehe iliyotangazwa na Chadema ya kutaka kufanya maandamano yenye anuwani mbaya. Jee mahubiri kama haya hayana madhara kwa taifa katika muda ambao kuna viongozi wa kisiasa wametoa matamko yasiyopendeza kwa uongozi wa nchi ? Click to expand... CCM wamefanikiwa kukufanya zuzu.
Webabu said: Kuna mdau wa JF karipoti kuwa kadinali Pengo amezungumzia habari za watu kuuwawa kupitia redio maria na zinazoshirikiana nao. Hii ni siku moja kabla ya tarehe iliyotangazwa na Chadema ya kutaka kufanya maandamano yenye anuwani mbaya. Jee mahubiri kama haya hayana madhara kwa taifa katika muda ambao kuna viongozi wa kisiasa wametoa matamko yasiyopendeza kwa uongozi wa nchi ? Click to expand... CCM wamefanikiwa kukufanya zuzu.
Webabu JF-Expert Member Joined Apr 29, 2010 Posts 8,870 Reaction score 14,258 Sep 23, 2024 Thread starter #25 fazili said: CCM wamefanikiwa kukufanya zuzu. Click to expand... Sawa Fazili