Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani yeye anapangiwa Cha kusema?Kuna mdau wa JF karipoti kuwa kadinali Pengo amezungumzia habari za watu kuuwawa kupitia redio maria na zinazoshirikiana nao.
Hii ni siku moja kabla ya tarehe iliyotangazwa na Chadema ya kutaka kufanya maandamano yenye anuwani mbaya.
Jee mahubiri kama haya hayana madhara kwa taifa katika muda ambao kuna viongozi wa kisiasa wametoa matamko yasiyopendeza kwa uongozi wa nchi ?
CCM wamefanikiwa kukufanya zuzu.Kuna mdau wa JF karipoti kuwa kadinali Pengo amezungumzia habari za watu kuuwawa kupitia redio maria na zinazoshirikiana nao.