Pre GE2025 Anachofanya Mchungaji Msigwa ni kuibomoa CCM huku akiijenga CHADEMA. Kwanini anatumia akili ndogo badala ya kubwa kama alivyokuwa CHADEMA?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Mtizamo wangu kisiasa na ushauri wangu kwa chama cha Mapinduzi nikumwomba Msigwa asiendelee kuhojiwa kwenye vyombo vya habari.

Kadri anavyohojiwa ndivyo anawafanya wana CCM waonekane wana akili ndogo. Mkakati huu alionao kwa wachambuzi wanapaswa kujiuliza kwanini wanachama wa CCM wanampuuza hata kupost habari zake? Kwanini hakuna comments positive kwenye social media? Kwamba wana CCM awaoni uzuri mabaya yake?

Chama kinapompokea mgeni nakuona hana impact kinapaswa kumshukuru na kumpa maelekezo. Kushindwa kumweleza ukweli nikushindwa kuwathamini wana CCM.

Amehojiwa Leo star TV hadi unajiuliza yupo CCM kuisaidia au kulibomoa? Hawa wanaomlipa wananufaikaje na akili ndogo anayotumia? Kwanini wasimwelekeze atumie akili kubwa kama aliyokuwa nayo CHADEMA?JE NI KWELI KWAMBA UKIWA CCM INABIDI UONEKANE Huna akili?

Hoja hii hata ungeipeleka kwenye part cocus watashauri anyamaze kwanza na apunguze kuandika sana mitandaoni hadi upepo utulie.

Pia soma
- Kuelekea 2025 - Yaliyojiri kwenye mahojiano kati ya Chief Odemba na Peter Msigwa kwenye kipindi cha Medani za Siasa
 
Leo Kaonesha namna alivo mwepesi katika kujenga na kutetea hoja
 
Relax and calm down gentleman,
this is politics bana unampangia mtu cha kuongea? alaa 🐒

nawe si utafute chombo cha habari mahali ukaongee 🐒
 
Kwa wenye akili tumemuelewa Msigwa. Ila awe mwangalifu. Anapita kiasi.
 
Msigwa ni mithili ya Mwanamke aliekimbia ndoa yake kwa kebehi na majigambo baada ya kupata danga aliloamini lina pesa zaidi. Ila baada ya kuingia ndani ya nyumba ya danga anajikuta hana thamani.

Kurudi kwa mume hawezi maana anaona aibu jinsi alivyoondoka, kilichobaki ni kuongea shit kuhusu mtalaka wake ili tu kujirdhisha kuwa alifanya maamuzi sahihi kuondoka ila ndani ya nafsi anaugulia maumivu na kujuta.

Nina yakini pasi na shaka, Msigwa kila siku kabla ya kulala analia mpaka kamasi akilaani kuondoka kwake CHADEMA.

1725744940282.png
 
Acha aongee aweke wazi mambo ya nkurunzinza Mbowe mwenyekiti aliekaa muda mrefu sana madarakani
 
Mtizamo wangu kisiasa na ushauri wangu kwa chama cha Mapinduzi nikumwomba Msigwa asiendelee kuhojiwa kwenye vyombo vya habari.

Kadri anavyohojiwa ndivyo anawafanya wana CCM waonekane wana akili ndogo. Mkakati huu alionao kwa wachambuzi wanapaswa kujiuliza kwanini wanachama wa CCM wanampuuza hata kupost habari zake? Kwanini hakuna comments positive kwenye social media? Kwamba wana CCM awaoni uzuri mabaya yake?

Chama kinapompokea mgeni nakuona hana impact kinapaswa kumshukuru na kumpa maelekezo. Kushindwa kumweleza ukweli nikushindwa kuwathamini wana CCM.

Amehojiwa Leo star TV hadi unajiuliza yupo CCM kuisaidia au kulibomoa? Hawa wanaomlipa wananufaikaje na akili ndogo anayotumia? Kwanini wasimwelekeze atumie akili kubwa kama aliyokuwa nayo CHADEMA?JE NI KWELI KWAMBA UKIWA CCM INABIDI UONEKANE Huna akili?

Hoja hii hata ungeipeleka kwenye part cocus watashauri anyamaze kwanza na apunguze kuandika sana mitandaoni hadi upepo utulie.
Kwasababu ameahirisha kufikiri kwa nafsi a.k.a kujizima data
 
Makamanda sasa post zote ni kuhusu Mch Msigwa. Eti Makamanda wanaionea huruma ccm; hicho ni kioja cha mwaka, fisi kumwonea huruma mbuzi!
Inaelekea Msigwa amewashika pabaya Makamanda.
 
Mtizamo wangu kisiasa na ushauri wangu kwa chama cha Mapinduzi nikumwomba Msigwa asiendelee kuhojiwa kwenye vyombo vya habari.

Kadri anavyohojiwa ndivyo anawafanya wana CCM waonekane wana akili ndogo. Mkakati huu alionao kwa wachambuzi wanapaswa kujiuliza kwanini wanachama wa CCM wanampuuza hata kupost habari zake? Kwanini hakuna comments positive kwenye social media? Kwamba wana CCM awaoni uzuri mabaya yake?

Chama kinapompokea mgeni nakuona hana impact kinapaswa kumshukuru na kumpa maelekezo. Kushindwa kumweleza ukweli nikushindwa kuwathamini wana CCM.

Amehojiwa Leo star TV hadi unajiuliza yupo CCM kuisaidia au kulibomoa? Hawa wanaomlipa wananufaikaje na akili ndogo anayotumia? Kwanini wasimwelekeze atumie akili kubwa kama aliyokuwa nayo CHADEMA?JE NI KWELI KWAMBA UKIWA CCM INABIDI UONEKANE Huna akili?

Hoja hii hata ungeipeleka kwenye part cocus watashauri anyamaze kwanza na apunguze kuandika sana mitandaoni hadi upepo utulie.
Already used, now is misused, what follow is to be abused, eventually will be completely confused.
 
Attachments

  • IMG_20240904_154630.jpg
    IMG_20240904_154630.jpg
    40.5 KB · Views: 5
..
 
Attachments

  • IMG-20200403-WA0003~2.jpg
    IMG-20200403-WA0003~2.jpg
    18.8 KB · Views: 4
  • 20230630_184030.jpg
    20230630_184030.jpg
    49.6 KB · Views: 4
  • 20240824_025055.jpg
    20240824_025055.jpg
    34.7 KB · Views: 4
  • downloadfile-21~2.jpg
    downloadfile-21~2.jpg
    141.1 KB · Views: 3
Kwasababu ameahirisha kufikiri kwa nafsi a.k.a kujizima data
Nyie ndo mnajizima data mnajiita chama Cha demokrasia ila mna mwenyekiti asiye na ukomo ambaye anawatisha waziwazi wanaotaka kugombea uenyekiti chadema
 
Already used, now is misused, what follow is to be abused, eventually will be completely confused.
Already Used after Misused, what follows now is to be abused then eventually will be completely Confused 🫤 ?!
Then what next ???!!
Knowing that you didn’t Know 😅🤣

Sihasa ina vimbwanga vyake !
 
Nyie ndo mnajizima data mnajiita chama Cha demokrasia ila mna mwenyekiti asiye na ukomo ambaye anawayisha waziwazi wanaotaka kugombea uenyekiti chadema
Kisome ulicho kiandika halafu fanya marekebisho ili ukiwakilishe vizuri
 
Nyie ndo mnajizima data mnajiita chama Cha demokrasia ila mna mwenyekiti asiye na ukomo ambaye anawatisha waziwazi wanaotaka kugombea uenyekiti chadema
Mbona bosi wetu wa TANU/CCM alikaa kitini takribani miaka 30
 
Back
Top Bottom