Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Mtizamo wangu kisiasa na ushauri wangu kwa chama cha Mapinduzi nikumwomba Msigwa asiendelee kuhojiwa kwenye vyombo vya habari.
Kadri anavyohojiwa ndivyo anawafanya wana CCM waonekane wana akili ndogo. Mkakati huu alionao kwa wachambuzi wanapaswa kujiuliza kwanini wanachama wa CCM wanampuuza hata kupost habari zake? Kwanini hakuna comments positive kwenye social media? Kwamba wana CCM awaoni uzuri mabaya yake?
Chama kinapompokea mgeni nakuona hana impact kinapaswa kumshukuru na kumpa maelekezo. Kushindwa kumweleza ukweli nikushindwa kuwathamini wana CCM.
Amehojiwa Leo star TV hadi unajiuliza yupo CCM kuisaidia au kulibomoa? Hawa wanaomlipa wananufaikaje na akili ndogo anayotumia? Kwanini wasimwelekeze atumie akili kubwa kama aliyokuwa nayo CHADEMA?JE NI KWELI KWAMBA UKIWA CCM INABIDI UONEKANE Huna akili?
Hoja hii hata ungeipeleka kwenye part cocus watashauri anyamaze kwanza na apunguze kuandika sana mitandaoni hadi upepo utulie.
Pia soma
- Kuelekea 2025 - Yaliyojiri kwenye mahojiano kati ya Chief Odemba na Peter Msigwa kwenye kipindi cha Medani za Siasa