Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Wanabodi,
Kwanza naomba kukiri, kuwa ninaunga mkono kwa asilimia 100% juhudi za serikali awamu ya 5 kupambana na rushwa, ufisadi, uzembe na ukwepaji kodi, ili mtindo unaotumiwa na Waziri Mkuu, wetu, Mhe. Majaliwa, Kassim Majaliwa, sio!.
Baada ya kukisikia kisanga cha TRA kilichomng'oa Kamishna Mkuu na maofisa kadhaa kufuatia sakata la makontena, leo amerudi tena bandarini na nimekishuhudia kitu anachokifanya, japo anashangiliwa na umati wa watu, lakini anachokifanya ni bullying, kuviziana, kutishana, kudhalilishana na kunakwenda kinyume cha utawala bora, yaani good governance!.
Waziri Mkuu anafanya ziara za kushtukiza mahali, huku akiwa na karatasi lenye tuhuma specific, lakini amelificha!, anakwenda kumuuliza mhusika wa pale kuhusu utendaji wa mfumo fulani, anaelezwa kuwa mfumo uko perfect, kisha analiibua hilo karatasi lenye tuhuma na kuanza kumsomea mhusika mbele ya kadamnasi ya watu, abcd!, mhusika anashindwa kujibu, atasimamishwa kazi, na kama yuko juu ya mamlaka yake, atamchongea kwa Rais!.
Hata TRA siku hiyo alikwenda na nondo za makontena, alipomuuliza Bade, akamjibu details ziko kwa maofisa wangu, ndipo akaibua nondo lake na kumsomea kwenye kadamnasi ili aonekane mjinga!, huku ni kuaibishana, kudhalilishana na kinyume cha good governance!, this is bullying.
Baada ya kutoka bandaini, akaenda TRL na kumuuliza mkurugenzi mkuu, mlikopa bilioni 3 TIB za kufanyia nini?!, kwa nini hamkufanya kile mlichokopea?, akaambiwa tumelipia mishahara, nani aliwapa idhini ya kukopa?!, Mkurugenzi hana jibu na naamini kesho atatangazwa hana kazi!.
Top management angekaa nao ofisini na kuulizana kistaarabu ndio good governance!. Mimi hata home, wife alikuwa na tabia ya kuwafokea ma tx home, mbele ya watoto, nikamkataza!, nikamsisitiza if things are not right, muite pembeni ndipo umseme, sio kumdhalilisha mbele ya watoto!.
Anachofanya Waziri Mkuu, wetu, Mhe. Majaliwa, Kasim Majaliwa ni kuviziana, kudhalilishana na kuabishana bila sababu za msingi!, hili la kuitana na kuanza kuhojiana mbele ya waandishi ili watu wamuone alivyo mkali, ni tabia za ma populist leaders!, Leo nimemuona Magufuli akiongea na wafanyabiashara yuko very humble even cracking some jokes!.
Kama kuna watu wako karibu na Waziri Mkuu, wetu, Mhe. Majaliwa, Kasim Majaliwa, wamwambie anavyofanya sio vizuri, Sio Sawa, Sio Haki, Sio Good Governance!, Ni Udhalilishaji na Kuaibishana tuu!. It is simple bullying!. Akumbushwe kuna kitu kinatwa 'karma' kisije kumshukia!.
Au wewe unaonaje?!, toa maoni yako ni sawa au sio sawa!.
Paskali
Tuna tatizo kubwa la uelewa humu, ila pia kufuatia wengi kuchoshwa na kukinaishwa na rushwa na ufisadi, wamekata tamaa na kuhamaniko na mihemuko ya kuchukuliwa hatua kali sana na ikibidi hata wanyongwe!.
Nimenote wengi humu hawakunielewa!, japo nimeanza kwa utangulizi wa kuunga mkono hatua zozote zinazochukuliwa na awamu ya 5 kupiga vita rushwa na ufisadi, siungi mkono the means kwa kutumia populistic approach ya kufanya ili watu waone unafanya!.
Tanzania ni nchi inayofuata mfumo wa haki wa Uingereza, wa presumed innocent until proven guilt beyond reasonable doubt by the court of competant juisdiction!, kinachofanyia ni media trial kumuonyesha mtu ni mkosaji mbele ya camera!.
Sio wengi humu wanaojua kuwa hata mhalifu anahaki!, hata mlaushwa, fisadi, mwizi, pia ana haki!. Hata muuaji aliyehukumiwa kifo kwa kunyongwa naye pia ana haki zake, ananyongwa kwa heshima yake, na kabla hajanyongwa, anaitwa daktari kumpima afya yake, akikutwa na maadhi yoyote, hanyongwi!, bali anatibiwa mpaka apone ndipo adhabu hiyo itekelezwe!.
Japo kisheria hairuhusiwi kamera za waandishi kuingizwa mahakamani, Tanzania tunaingiza kamera mahakamani!, polisi nao wanawaparade wahalifu kwa waandishi wa habari ili hali wako mikononi mwa polisi!, ni kama kuwahukumu kabla!. Kama Kova kila uchao, kwenye screen!, hilo baraza jipya likiishateuliwa, kama kila waziri nae atatembea na media team ili watu waone si itakuwa chaos?!.
Nilichokiona jana anachokifanya PM pia kinakwenda against the principles of Natural Justice
Paskali
Update.
Huwezi kumrepremand boss infront of his subordinates let alone infront of the media, mtu anaulizwa swali, hajapewa muda wa kujibu, linafuata na lingine na lingine!. Mimi sijasema mafisadi na wala rushwa wasishughulikiwe kikamilifu, nimesisitiza tuu, kuwepo fairness, respect, ustaarabu na sio kutegeana, kuumbuana na kuaibishana!. Wote walioangalia jinsi boss wa TRL alivyokuwa anahojiwa, kiukweli yule bosi amedhaaulika anaonekana ni li bosi lijinga ajabu!, limeshindwa kujibu simple questions kutoka kwa PM, wamekopa kwa idhini ya nani?!, baada ya tukio lile, kweli bosi kama huyu ana any respect left kwa wafanyakazi wake wa chini!, nahisi hata akipita, wananchungulia madirishani na kujisemea kimoyo moyo, angalia lijinga lile linapita!, ni huku tuu Afrika tunafanyiana mambo kama yale ile ni bullying of some kind!.

Wht if Magufuli ndo kamuagiza?
inaitwa good cop na bad cop.....
mmoja awe mkali mwingine awe mpole....
Magufuli hata safari za nje haeni na hataki Makamu aende pia...
kua kitu very wrong na hii administration.....
Ni mparaganyiko kwa kweda mbele.
Ila watu tukisema tunaonekana kana kwamba hatumpendi Magufuli wakati suala si kumpenda wala kumchukia.
Jana niliiona video kupitia ITV ikimwonesha Waziri Mkuu akimhoji Mtendaji Mkuu TRL kuhusu walichofanyia Tsh. 3 billion walizokopa kutoka TIB. Na kwa nilichokiona, Waziri Mkuu hakumpa nafasi Bosi wa TRL kutoa maelezo ya kina. Bosi huyo alidokeza tu kwamba walitumia pesa zile kulipa mishahara. Asingeweza kutoa maelezo ya kina mbele ya camera kuhusu ilikuwaje akafanya hivyo badala ya kuzitumia pesa hizo kwa malengo yaliyokusudiwa. Kwa mfano, asingeweza kusema mbele ya camera kwamba alilazimishwa na Mwakyembe au Sitta kutumia pesa za mkopo kulipa mishahara badala ya kutekeleza miradi iliyokusudiwa. Pamoja na ukweli kwamba maswali ya Waziri Mkuu kwa Bosi wa TRL ni ya msingi, hakukuwa na haja ya kuuliza maswali hayo mbele ya camera. Angepaswa kutafuta kilichotokea kwa hizo pesa za mkopo na kuchukua hatua. Then, tutangaziwe hatua zilizochukuliwa ikiwa ni pamoja na kuwataja watuhumiwa, kama wapo. Hakuna justification yoyote ya kumhoji mtu mbele ya camera kuhusu mkopo uliochukuliwa na shirika kwa kuwa mazingira yatambana kueleza ukweli. Waziri Mkuu anazidiwa na dhamira ya kutaka kuonekana akifanya kazi/akipambana na rushwa/ubadhilifu (to be seen fighting corruption). Ninamuunga mkono katika jitihada anazofanya kupambana na uchafu mwingi na uzembe katika utendaji serikalini. Lakini ajitahidi kuidhibiti "urge" ya kutaka kuonekana akifanya. Yeye ajielekeze zaidi katika kufanya kazi yake kwa ufasaha, kama ni sifa atazipata tu kwa kuwa Watanzania tutaona matokeo.
Leo umeongea Pumba Pasco Waache waibishwe wameyataka wenyewe. Kusoma hujui hata picha uioni? Wawe wa kweli na wajiandae kuwa na taarifa sahihi za kazi zao. Dought yangu ni kwenye misemo ya Mh. Waziri Mkuu, anauliza swali halafu anapotakiwa kujibiwa ana mkatisha mtu na kumuambia nimekuja kujifunza. Hiyo lugha si nzuri kwa cheo chake ni kama mipasho fulani Nilimuona kwenye TV alipokuwa anamuuliza Mkuu wa Taasisi ya Reli.
Barbarosa Pasco hajalazimisha maoni yake ndiyo yawe ya watanzania wote, kama wewe unaona maoni yako hayafanani na ya kwake siyo mbaya ukayapinga kwani ndiyo demokrasia. Kwa bahati mbaya sana Afrika kuna fikra mufulisi kwamba mtu akiwa madarakani apingwi kwani busara za kuongoza huzitoa kwa mungu!!
Maoni ya Pasco yanaungwa mkono na watanzania wenzako ambao wanaona Majaaliwa kama waziri Mkuu wetu anadhalilisha utu wa wale anaowahoji kwa lengo la kuujua ukweli wa ukwepwaji kodi. Hakuna anayepinga wanaokwepa kodi kufuatiliwa, lakini kama njia zinazotumika zinadhalilisha utu wa wengine ni lazima zipingwe!
My Take:Mkuu Pasco,
Watu bado wanaendelea na mfumo uleule wa kushabikia bila kujua kama tumefanikiwa kulenga tatizo au la.
Kwa mfano huyo meneja wa bandari hakupewa nafasi muafaka ya kuelezea yaliyotokea kiutendaji.
Kama kingekuwa kikao cha ndani angepata majibu muafaka zaidi. Lazima mtu apewe muda wa kuweza kuja na majibu yanayojibu swali.
Huyu ndugu wa bandari amechukua nafasi hiyo muda mfupi tu uliopita. Sawa yeye ndio mkuu, ili aweze kujibu kwa mambo yaliyofanywa na watangulizi wake anahitaji muda.
Tutaumiza watu wadogo wadogo, wakati mambo haya , haiingii akilini yangeweza kufanya bila utawala wa juu kabisa kujua .
Tuna tatizo kubwa la uelewa humu, ila pia kufuatia wengi kuchoshwa na kukinaishwa na rushwa na ufisadi, wamekata tamaa na kuhamaniko na mihemuko ya kuchukuliwa hatua kali sana na ikibidi hata wanyongwe!.
Nimenote wengi humu hawakunielewa!, japo nimeanza kwa utangulizi wa kuunga mkono hatua zozote zinazochukuliwa na awamu ya 5 kupiga vita rushwa na ufisadi, siungi mkono the means kwa kutumia populistic approach ya kufanya ili watu waone unafanya!.
Tanzania ni nchi inayofuata mfumo wa haki wa Uingereza, wa presumed innocent until proven guilt beyond reasonable doubt by the court of competant juisdiction!, kinachofanyia ni media trial kumuonyesha mtu ni mkosaji mbele ya camera!.
Sio wengi humu wanaojua kuwa hata mhalifu anahaki!, hata mlaushwa, fisadi, mwizi, pia ana haki!. Hata muuaji aliyehukumiwa kifo kwa kunyongwa naye pia ana haki zake, ananyongwa kwa heshima yake, na kabla hajanyongwa, anaitwa daktari kumpima afya yake, akikutwa na maadhi yoyote, hanyongwi!, bali anatibiwa mpaka apone ndipo adhabu hiyo itekelezwe!.
Japo kisheria hairuhusiwi kamera za waandishi kuingizwa mahakamani, Tanzania tunaingiza kamera mahakamani!, polisi nao wanawaparade wahalifu kwa waandishi wa habari ili hali wako mikononi mwa polisi!, ni kama kuwahukumu kabla!. Kama Kova kila uchao, kwenye screen!, hilo baraza jipya likiishateuliwa, kama kila waziri nae atatembea na media team ili watu waone si itakuwa chaos?!.
Nilichokiona jana anachokifanya PM pia kinakwenda against the principles of Natural Justice
Vita dhidi ya uzembe, rushwa, ufisadi, na ukwepaji kodi yes!, means no!, haki sio tuu itendeke bali pia ionekane kutendeka!.Natural justice is based on two fundamental rules: (1) Audi alteram partem (Latin for, hear the other side): no accused, or a person directly affected by a decision, shall be condemned unless given full chance to prepare and submit his or her case and rebuttal to the opposing party's arguments; (2) Nemo judex in causa sua (Latin for, no man a judge in his own case): no decision is valid if it was influenced by any financial consideration or other interest or bias of the decision maker.
Paskali
Update.
Mkuu Kiranga, sio kila kitu ni sheria, vingine ni taratibu tuu na kanuni!, ndio maana kwenye ofisi za kizamani kuna vyumba vnawatenganisha ma bosi na wafanyakazi wao!, kuna chumba kinamtenganisha waziri na secretary wake, kuna ofisi ya boss, lengo ya yote hayo ni kuweka heshima na privacy!, nimefanya kazi na wazungu fulani nchini Uswiss, wenzetu wako kwenye full open government initiative, no secrets zozote ofisini, partition zote ni za kioo transparent, computers zote ziko linked kwenye network, desktop zote ni shared, ukipint chochote kuna back copy iko saved, all public communications ni shared.Kama Waziri Mkuu kakosea, ashitakiwe.
Tuambiwe kavunja sheria ipi, apelekwe mahakamani, walioonewa waje hapa kutoa data zao, kama hawana fedha za kuendesha kesi tutawasaidia.
Sio mtu analaumu "mtindo" bila kuongelea sheria.
Mimi nilivyo m blast rais Magufuli kuingilia tafrija ya bunge, niliongelea "checks and balances" za kutoka katika katiba.
Pasco anapom critique PM, atupe msingi wa kisheria.
Kama hana msingi wa kisheria, asimlaumu PM. Ampigie simu mbunge wake sheria ibadilishwe.