Anachofanya Waziri Mkuu sio sawa, sio haki, sio Good Governance! Ni udhalilishaji na kuaibishana!

Anachofanya Waziri Mkuu sio sawa, sio haki, sio Good Governance! Ni udhalilishaji na kuaibishana!

Ni mparaganyiko kwa kweda mbele.

Ila watu tukisema tunaonekana kana kwamba hatumpendi Magufuli wakati suala si kumpenda wala kumchukia.

Suala Ni Unafiki Wako Mkuu Haujui Unachosimamia,sasa Kama Haupendi Kazi Zake Na Hauzichukii Kazi Zake Unataka Tukuitaje, May Be Fungu La Kukosa Ndio Upande Wako
 
ni wakati wa mabadiliko ya kweli; machungu kwa wasiowajibika hayakosekani
 
Pasco
Watu wanafisadi nchi unaleta ubwege wa ustatarabu kama ulizoea kula vya bure sasa imekula kwako shame on you!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Pasco karma ipo ila kumrudia sio rahisi, kwasababu anayofichua yataokoa wengi sana, na kwasababu ameenda pale kutetea haki ya wengi basi Karma haiwezi kumuadhibu asilani.
 
Last edited by a moderator:
So unataka wawapeleke Serena au Lamada hotel kwenda kuwahoji kuhusu aya maswala? + nimependa hii style ya mhe. Majaliwa kutembea na kamanda Kova
 
Good governance ndio imetufikisha hapa tulipo.

Pasco get a life. Michuzi katimuliwa Ikulu ila amebuni dili nyingine anaendelea kutengeneza hela. Wewe kila siku tu upo mitandaoni kuponda!
 
Ukikamata sawasawa bandari ikalipa kodi na ushuru wote inavyotakiwa, serikali itapata hela za elimu na matibabu bure na pengine zaidi ya hapo. Muiache timu ifanye kazi kabla ya kuingiza mawaziri kwenye timu.
 
Mambo yaliharibika. Wacha wadhalilishwe. Wengine wamekula sana. Kama walifanya ubadhirifu kwa siri wacha wadhalilike
 
  • Thanks
Reactions: ffq
China haonyeshi karatasi wanabutuliwa risasi hadharani wahujumu uchumi.
 
Ni mparaganyiko kwa kweda mbele.

Ila watu tukisema tunaonekana kana kwamba hatumpendi Magufuli wakati suala si kumpenda wala kumchukia.

Mparaganyiko mkubwa
kaenda kwanza kagundua makontena 300
karudi tena kagundua mengine zaidi ya 2000

so inawezekana yakafika hata elfu 10 hajagundua bado
na hakuna namna ya kugundua hadi waziri mkuu aende mwenyewe..
ni kama system ime fail kabisa....waziri mkuu anafanya ukaguzi wa kontena
sio kujenga system mpya yasitokee haya tena
 
Hii ni post ya tatu anaikejeli serikali ya Magufuli.

Ila anawalamba viatu Ukawa...vibunge vibinti vya Ukawa vimemnunua.
Pasco Huwa Anakuwa Vizuri Ila Kwa Hili Kuna Jiwe Limetupwa Gizani Ukisikia Yowe La Namna Hii
 
Wht if Magufuli ndo kamuagiza?
inaitwa good cop na bad cop.....
mmoja awe mkali mwingine awe mpole....

Magufuli hata safari za nje haeni na hataki Makamu aende pia...

kua kitu very wrong na hii administration.....
Weeewe! acha kusema hayo, ni 'dhambi'
Wabeba njuga na manyanga labda wasione bandiko lako, watakushukia kama mpinga mabadiliko

Unatakiwa kuimba. hapa ndima tu, hapa shughuli, hapa kazi, pale mapigo tu. Hutakiwi kuhoji ni kosa
Shauri yako!
 
Hii ni njia tu ya kupeleka ujumbe ili automatically kila sector iwajibike ....kufanikisha mambo kwenye nchi zetu hizi sometimes unahitaji uwendawazimu ....
 
Back
Top Bottom