Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Pasco Leo Sijui Umekunywa Nini? Kwa Hiyo Ulitaka Mh Waziri Wetu Mkuu Mpendwa Ndugu Kassim Majaliwa Aache Kurudisha Heshima Mahala Pa Kazi, Tunahitaji Viongozi Kama Hawa Kuleta Nidhamu Mahala Pa Kazi
Wewe peke yako ndiye umeweza kujenga hoja dhidi ya hoja ya Pasco. Maana kuna watu wamemrukia Pasco bila hata ya kujua nini kinaongelewa. Hakuna mtu anayependa kulea uovu lakini lazima kuwe na mfumo endelevu na unaojitegemea unaoweza kupambana na uovu bila ya kuwepo kwa uonevu!!Mkuu Pasco Labda tungeanzia hapa "What is Good Governance?"
Huwezi fix system kwa mwezi mmoja,especially system iliyojengwa for 50 years,so kipindi hiki ambacho system mpya itakuwa inajengwa,wacha njia za muda mfupi zenge kuleta results zitumike.Theory ya hili ni sawa na theory ya uchumi tu,kukiwa na mdororo wa kiunchumi Solution ni kujenga msingi imara wa kuimarisha uchumi kwa muda mrefu,lakini hilo sio jambo la overnight,so wakati unajenga msingi huo imara ndipo utakuta kuna njia za muda mfupi lakini very effective ktk kuuokoa uchumi zinatumika mfano kutoa `Economic Stimulus'Naipenda hii kasi ya magufuli lakini naona kwenye management kidogo something is lacking. sio kazi ya majaliwa kukagua makontena. Fix the system ifanye kazi yenyewe hata ukiwa umelala nyumban!!!
kwani kwenye jamii yetu hakuna jinsi ya kushghulika na wabakaji?? Hii tabia ya majaaliwa mnayoipogeza ni dalili kwamba nchi inaendeshwa kiporini porini!!
hahaa msemaji wa mstaafu polen sana njoon na kirma yenu hapakazi pasco polen kama nondo limewashukia lakini amkujiandaa.mapema tangu anachaguliwa wengine.waliomba kustaafu mapema na leo wala awaguswi.mlijua.mzee.wa.mtwara anakujakamata.nchi.nn..wanabodi,
kwanza naomba kukiri, kuwa ninaunga mkono kwa asilimia 100% juhudi za serikali awamu ya 5 kupambana na rushwa, ufisadi, uzembe na ukwepaji kodi, ili mtindo unaotumiwa na waziri mkuu, wetu, mhe. Majaliwa, kassim majaliwa, sio!.
Baada ya kukisikia kisanga cha tra kilichomng'oa kamishna mkuu na maofisa kadhaa kufuatia sakata la makontena, leo amerudi tena bandarini na nimekishuhudia kitu anachokifanya, japo anashangiliwa na umati wa watu, lakini anachokifanya ni kuviziana, kutishana, kudhalilishana na kunakwenda kinyume cha utawala bora, yaani good governance!.
Waziri mkuu anafanya ziara za kushtukiza mahali, huku akiwa na karatasi lenye tuhuma specific, lakini amelificha!, anakwenda kumuuliza mhusika wa pale kuhusu utendaji wa mfumo fulani, anaelezwa kuwa mfumo uko perfect, kisha analiibua hilo karatasi lenye tuhuma na kuanza kumsomea mhusika mbele ya kadamnasi ya watu, abcd!, mhusika anashindwa kujibu, atasimamishwa kazi, na kama yuko juu ya mamlaka yake, atamchongea kwa rais!.
Hata tra siku hiyo alikwenda na nondo za makontena, alipomuuliza bade, akamjibu details ziko kwa maofisa wangu, ndipo akaibua nondo lake na kumsomea kwenye kadamnasi ili aonekane mjinga!, huku ni kuaibishana, kudhalilishana na kinyume cha good governance!.
Baada ya kutoka bandaini, akaenda trl na kumuuliza mkurugenzi mkuu, mlikopa bilioni 3 tib za kufanyia nini?!, kwa nini hamkufanya kile mlichokopea?, akaambiwa tumelipia mishahara, nani aliwapa idhini ya kukopa?!, mkurugenzi hana jibu na naamini kesho atatangazwa hana kazi!.
Top management angekaa nao ofisini na kuulizana kistaarabu ndio good governance!. Mimi hata home, wife alikuwa na tabia ya kuwafokea ma tx home, mbele ya watoto, nikamkataza!, nikamsisitiza if things are not right, muite pembeni ndipo umseme, sio kumdhalilisha mbele ya watoto!.
Anachofanya waziri mkuu, wetu, mhe. Majaliwa, kasim majaliwa ni kuviziana, kudhalilishana na kuabishana bila sababu za msingi!, hili la kuitana na kuanza kuhojiana mbele ya waandishi ili watu wamuone alivyo mkali, ni tabia za ma populist leaders!, leo nimemuona magufuli akiongea na wafanyabiashara yuko very humble even cracking some jokes!.
Kama kuna watu wako karibu na waziri mkuu, wetu, mhe. Majaliwa, kasim majaliwa, wamwambie anavyofanya sio vizuri, sio sawa, sio haki, sio good governance!, ni udhalilishaji na kuaibishana tuu!. Akumbushwe kuna kitu kinatwa 'karma' kisije kumshukia!.
Au wewe unaonaje?!, toa maoni yako ni sawa au sio sawa!.
Pasco
Wanabodi,
Kwanza naomba kukiri, kuwa ninaunga mkono kwa asilimia 100% juhudi za serikali awamu ya 5 kupambana na rushwa, ufisadi, uzembe na ukwepaji kodi, ili mtindo unaotumiwa na Waziri Mkuu, wetu, Mhe. Majaliwa, Kassim Majaliwa, sio!.
Baada ya kukisikia kisanga cha TRA kilichomng'oa Kamishna Mkuu na maofisa kadhaa kufuatia sakata la makontena, leo amerudi tena bandarini na nimekishuhudia kitu anachokifanya, japo anashangiliwa na umati wa watu, lakini anachokifanya ni kuviziana, kutishana, kudhalilishana na kunakwenda kinyume cha utawala bora, yaani good governance!.
Waziri Mkuu anafanya ziara za kushtukiza mahali, huku akiwa na karatasi lenye tuhuma specific, lakini amelificha!, anakwenda kumuuliza mhusika wa pale kuhusu utendaji wa mfumo fulani, anaelezwa kuwa mfumo uko perfect, kisha analiibua hilo karatasi lenye tuhuma na kuanza kumsomea mhusika mbele ya kadamnasi ya watu, abcd!, mhusika anashindwa kujibu, atasimamishwa kazi, na kama yuko juu ya mamlaka yake, atamchongea kwa Rais!.
Hata TRA siku hiyo alikwenda na nondo za makontena, alipomuuliza Bade, akamjibu details ziko kwa maofisa wangu, ndipo akaibua nondo lake na kumsomea kwenye kadamnasi ili aonekane mjinga!, huku ni kuaibishana, kudhalilishana na kinyume cha good governance!.
Baada ya kutoka bandaini, akaenda TRL na kumuuliza mkurugenzi mkuu, mlikopa bilioni 3 TIB za kufanyia nini?!, kwa nini hamkufanya kile mlichokopea?, akaambiwa tumelipia mishahara, nani aliwapa idhini ya kukopa?!, Mkurugenzi hana jibu na naamini kesho atatangazwa hana kazi!.
Top management angekaa nao ofisini na kuulizana kistaarabu ndio good governance!. Mimi hata home, wife alikuwa na tabia ya kuwafokea ma tx home, mbele ya watoto, nikamkataza!, nikamsisitiza if things are not right, muite pembeni ndipo umseme, sio kumdhalilisha mbele ya watoto!.
Anachofanya Waziri Mkuu, wetu, Mhe. Majaliwa, Kasim Majaliwa ni kuviziana, kudhalilishana na kuabishana bila sababu za msingi!, hili la kuitana na kuanza kuhojiana mbele ya waandishi ili watu wamuone alivyo mkali, ni tabia za ma populist leaders!, Leo nimemuona Magufuli akiongea na wafanyabiashara yuko very humble even cracking some jokes!.
Kama kuna watu wako karibu na Waziri Mkuu, wetu, Mhe. Majaliwa, Kasim Majaliwa, wamwambie anavyofanya sio vizuri, Sio Sawa, Sio Haki, Sio Good Governance!, Ni Udhalilishaji na Kuaibishana tuu!. Akumbushwe kuna kitu kinatwa 'karma' kisije kumshukia!.
Au wewe unaonaje?!, toa maoni yako ni sawa au sio sawa!.
Pasco
Hawa sio viongozi nadhani hawajui wanataka kuifanyia nchi hii yaani majaliwa anauliza makontena 2431 ya January to December 2014 kwenye serikali waliyokuwemo kwa kweli nimeamini hawana plan yakutuvusha haya mambo yakupachikwa kwenye uongozi tabu tupu