Anachofanya Waziri Mkuu sio sawa, sio haki, sio Good Governance! Ni udhalilishaji na kuaibishana!

Na aendelee tu,kama unawaheshimu waliofanya yanayoleta shida kwa watanzania uanze kuzungumza approach hapa,sidhan kama ni vyema,ungeona madhara ya ufisadi huo kwa mtu wa kawaida,angesema majaliwa akimaliza kuzungumza nao awapige na kichwa.kikubwa waiheshimu Tanzania na watu wake na haki za watu,basi,diplomasia zilishatumika sana Tanzania hii sasa kama mbwayi mbwayi tu
 
PASCO Wewe ulikuwa unataka atumie good governance ya enzi za JK kisha wampige changa la macho waendelee na kuifisidi Nchi? ENDELEA MAJAALIWA HAPA KAZI TUU
 
Wakati mwingine liwalo na liwe maana hii nchi ilifikia pabaya na tukamuomba Mungu tupate rais dikteta na tumepewa na sasa tumuombee aendelee na kazi vzr.
 
This is not the time to be soft. We can not afford to be soft. Hata kama ni mimi wacha nipewe za uso tu kwa manufaa mapana ya taifa.

The message has to be sent louder and clear. No nonsense!
 
Awaite pembeni wakaongee nini!? Tunaimba kilasiku "ukweli na uwazi" kama mambo yako sawa muhusika atoe maelezo mbele ya waandishi wananchi tujiridhishe, kama kuna madudu haina haja ya kumficha muovu.
 
Mkuu Pasco hebu soma bandiko hili la:-

Ben Saanane 12:15 3rd March 2010
JK nimegundua ni mfuasi mkubwa wa 48 laws of power alizoandika Robert Greene.Na hasa law namba7,ya let people work for you,take credit always
Pia Magufuli ni mchapakazi sana.Nadhani pia ukaribu wake na Urafiki8 wake mkubwa na Raila Amolo Odinga wa kenya umechangia mfanano wao wa kiutendaji
Nakumbuka ile kashfa ya kumuuzia nyumba kimada,sijui ni kweli au ilitengenezwa na mtandao ktk harakati zao?
Huyu akiwa Rais Tanzania basi tutakua tumepiga hatua maanake ana kaudikteta flani hivi ambako watanzania wanakahitaji ili wafanye kazi

Haya mambo yalisemwa mwaka 2010 !!!
 
 

Mfumo endelevu ni kuunda tume kuchunguza?
 
Mkuu Pasco nimekuelewa sana ila nasikitika waliotoa kitufe cha like ,ninachoona kwa PM na rais wake ni kutafuta umaarufu((sifa) kwa nguvu huku wakitaka watu wasahau kwamba tuhuma za uwizi wa kura ktk uchaguzi mkuu hasa nafasi ya urais . Hata kama mtu amefanya kosa unaweza kumuondoa baada ya kumsikiliza bila hata kumuaibisha mbele ya umma, hekima inatakiwa sana katika uongozi.
 
he is good sa7b walipopewa fursa ya kujadili haya b4 walikuwa wakifanya ubabaishaji

tucsahau kuwa uzembe wa makusudi ndo uloturudsha nyuma kwa nusu karne sasa....
 

chekacheka nyumban na mkeo, ivi mtu miaka 10 anaiba tu, unakuta mtu ana nyumba 73 yaani hakuwa na sumile alipokuwa anatafuna fedha za umma na bado unataka aitwe pembeni kwa vikao vya ndani abembelezweee kila kitu?

Izo zilikuwa siasa za JK mwache jamaa afanye kazi, good governance inategemea na utayari wa watendaji kwa mfano mtu ameshikwa na vipolo vya hela nyumbani kwake kama njugu unataka kutumike busara ya kushikwa na kuhojiwa? mwache aaibike it is nothing.
 
Pasco don't be ridiculous, we are facing extraordinary circumstance extraordinary measures need to be put in place.
 

Pasco Muda wa kubembelezana uliisha 5 Nov 2015 hao unao waonea huruma natamani wangepigwa risasi iweje wewe ofisi yako usijue kinachoendelea? hayo ni matokeo ya uzembe na kutokujali ile aibu wanayoipata itakuwa fundisho kwenye ofisi zote watakuwa standby na majibu ya kila kitu ofisini mwao hadthi za utawala bora sijui kufuata sheria hakuna muda huo kwa sasa kwani hizo taratibu na sheria ndiyo zimetufikisha hapa watu wanakufa mnataka kufuata taratibu za manunuzi wakati kipindu pindu kinatafuna watu vijana wanakosa mkopo mnasema taratibu na sheria mpaka lini mimi natamani angekuwa anatembea na pistol ukijigonga unakula shabaPasco umetoka jamhuri gani wewe mpaka unawaonea huruma wajinga na wazembe hawa????? Kuanzia sasa nakuchukia kama kifo watoto wetu wanakosa mikopo kwa kupigwa danadana halafu wewe unatetea ujinga ningekutuka lakini bahati yako ila umeniudhi sanaaaa tena wewe ni mjinga kabisa hufai hata kidogo jambo dogo tu hilo umeshika bango!!!!!! Tena nasema huna shukrani mjinga mkubwa wewe tulikuwa tunahitaji mtu wa kuitibu Tanzania na sasa amepatikana wewe unalalamika kama na wewe ni mmoja wao kufeni tu na ufisadi wenu.
Majaliwa shambulia kaka yangu popote ulipo wengi tunakuunga mkono ikiwezekana walambe na makofi wametuchosha wezi wakubwa hao, uchumi unajengwa kijeshi na siyo kubembelezana, mfano iliyokuwa USSR NA UJERUMANI.
 

,
pasco nakuchukia kama kifo, familia yako haina mafisadi.
Mwache majaliwa afanye kazi tumeshachoka na tume, sheria haki za binadamu ni upuuzi na aina nyingine ya wizi ukimkamata mlipue palepale hakuna kuitana chumbani. Hapa kama unaweza fanya kazi huwezi kaa pembeni, aliwaambia wakati wa kampeni mkadhani maigizo siyo ???? Hakuna ustaarabu pasipo ustaarabu kama wewe hutaki kupigwa tanganyika jeki fuata sheria vinginevyo usilalamike wapigwe tu mpaka wafe hakuna namna.
 
Pasco, haya maoni ya kumpinga waziri mkuu juu ya utendaji wake wa kazi yanapaswa kutolewa na mafisadi. Kama na wewe ni mmoja wa mafisadi mliozoea kula vya kunyonga ukome kabisa kumdhalilisha waziri mkuu. Nchi ilikwishakwenda mrama na wananchi tulikwishakata tamaa, wamepatikana watu wenye uchungu halafu unawapinga. Narudia kusema ukome kabisa tena usirudie kupinga utendaji kazi uliotukuka wa Rais na Waziri Mkuu
 

Alichofanya Waziri mkuu ni sawa kabisa...TPA na TRL ni MALI ZA UMMA...Umma ni sisi wananchi na viongozi wanatawala kwa niaba yetu.Kitu alichofanya ni kutuonye hadharani sisi(UMMA) ambao ndio mabosi wao namna wanavyowajibika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…