Anachofanya Waziri Mkuu sio sawa, sio haki, sio Good Governance! Ni udhalilishaji na kuaibishana!

Wht if Magufuli ndo kamuagiza?
inaitwa good cop na bad cop.....
mmoja awe mkali mwingine awe mpole....

Magufuli hata safari za nje haeni na hataki Makamu aende pia...

kua kitu very wrong na hii administration.....

Makamu yupo SA leo, kumwakilisha Rais
 
Kweli dunia ina mambo! Pasco wewe ina onesha hujasoma uongozi.na ndio maana unaleta hoja ambazo hazina mashiko.Nchi hii imeoza na ilihitaji viongozi wenye ujuzi wa kufufua kanuni,taratibu na sheria.wapi kwa kuanzia ni KWENYE ENGENE YA UCHUMI WA NCHI YAANI BANDARI NA TRA.Viongozi wa idara hizi hawakuta kuwa wa wazi na kumweleza mheshimiwa waziri mkuu ukweli! Kama wao wangekuwa wastaarabu wangesema ukweli bila kuficha jambo na hayo mengine yasinge wakuta!! Hiyo good governance ipi unayo itaka?

Kimsingi kama kweli tumedhamiria kujitegemea katika kukuza uchumi ni lazima tuimarishe ukusanyaji kodi.Kazi wanayo fanya viongozi wetu ni nzuri na ina baraka siyo tu za watanzania bali pia Nchi nyingi duniani wanawaombea viongozi hawa mafanikio katika kila wanalo fanya.

Mwisho, watu kama PASCO ni lazima wapuuzwe kwani hawalitakii mema Taifa letu.Tulipo kuwa na kiongozi mzembe na mzururaji kuliko watu wote duniani walikaa kimya huku wakifaidika na mfumo mbovu wa uongozi. hata siku moja Pasco hakuwahi kuandika kutofurahishwa na uzembe ule.

Katika mapambano kila aina ya mbinu ambayo itasaidia kuleta ushindi ni lazima itumike.Tukianza kuangalia demokrasia na ujinga wa good governance hatuta fika haraka tunako taka kuelekea. kiongozi anajua kabisa makontena 2000 yamepita bila kulipa ushuru na hivyo kuikosesha serikali tshs bil 400 halafu unataka wabembelezwe!!! unajua KAGAME ANGEWAFANYA NINI? Acha hizo pasco!

Wanabodi,

Kwanza naomba kukiri, kuwa ninaunga mkono kwa asilimia 100% juhudi za serikali awamu ya 5 kupambana na rushwa, ufisadi, uzembe na ukwepaji kodi, ili mtindo unaotumiwa na Waziri Mkuu, wetu, Mhe. Majaliwa, Kasim Majaliwa, sio!.

Baada ya kukisikia kisanga cha TRA kilichomngoa Kamishna Mkuu na maofisa kadhaa kufuatia sakata la makontena, leo amerudi tena bandarini, na nimekishuhudia kitu anachokifanya, japo anashangiliwa na umati wa watu, lakini anachokifanya ni kuviziana, kutishana, kudhalilishana na kunakwenda kinyume cha utawala bora, yaani good governance!.

Waziri Mkuu anafanya ziara za kushtukiza mahali, huki akiwa na karatasi lenye tuhuma specific, lakini amelificha!, anakwenda kumuuliza mhusika wa pale kuhusu utendaji wa mfumo fulani, anaelezwa kuwa mfumo uko perfect, kisha analiibua hilo kaatasi lenye tuhuma na kuanza kumsomea mhusika mbele ya kadamnasi ya watu, abcd!, mhusika anashindwa kujibu, atasimamishwa kazi, na kama yuko juu ya mamlaka yake, atamchongea kwa rais!.

Hata TRA siku hiyo alikwenda na nondo za makomtena, alipomuuliza Bade, akamjibu details ziko kwa maofisa wangu, ndipo akaibua nondo lake na kumsomea kwenye kadamnasi ili aonekane mjinga!, huku ni kuaibishana, kudhalilishana na kinyume cha good governance!.

Baada ya kutoka bandaini, akaenda TRL na kumuuliza mkurugenzi mkuu, mlikopa bilioni 3 TIB za kufanyia nini?!, kwa nini hamkufanya kile mlichokopea?, akaambiwa tumelipia mishahara, nani aliwapa idhini ya kukopa?!, Mkuugenzi hana jibu na naamini kesho atatangazwa hana kazi!.

Top management angekaa nao ofisini na kuulizana kistaarabu ndio good governance!. Mimi hata home, wife alikuwa na tabia ya kuwafokea ma tx home, mbele ya watoto, nikamkataza!, nikamsisitiza if things are not right, muite pembeni ndipo umseme, sio kumdhalilisha mbele ya watoto!.

Anachofanya Waziri Mkuu, wetu, Mhe. Majaliwa, Kasim Majaliwa ni kuviziana, kudhalilishana na kuabishana bila sababu za msingi!, hili la kuitana na kuanza kuhojiana mbele ya waandishi ili watu wamuone alivyo mkali, ni tabia za ma populist leaders!, Leo nimemuona Magufuli akiongea na wafanyabiashara yuko very humble even cracking some jokes!.

Kama kuna watu wako karibu na Waziri Mkuu, wetu, Mhe. Majaliwa, Kasim Majaliwa, wamwambie anavyofanya sio vizuri, Sio Sawa, Sio Haki, Sio Good Governance!, Ni Udhalilishaji na Kuaibishana tuu!. Akumbushwe kuna kitu kinatwa 'karma' kisije kumshukia!.
Au wewe unaonaje?!, toa maoni yako ni sawa au sio sawa!.
Pasco

Hatutaki GOOD GOVERNANCE TUNATAKA DEVELOPED GOVERNANCE ACHA WAPAMBANE NA RUSHWA NA UFISAD KWA NJIA ZOZOTE WALIZONAZO.
 
Unawaonea huruma walaji?? Nchi hii ni masikini kwa sababu ya wapigaji wengi tena kwa kushindana.. Good governance kwa sasa ikae pembeni washazoea hao jamaa
 
Wanabodi,

Kwanza naomba kukiri, kuwa ninaunga mkono kwa asilimia 100% juhudi za serikali awamu ya 5 kupambana na rushwa, ufisadi, uzembe na ukwepaji kodi, ili mtindo unaotumiwa na Waziri Mkuu, wetu, Mhe. Majaliwa, Kasim Majaliwa, sio!.

Baada ya kukisikia kisanga cha TRA kilichomngoa Kamishna Mkuu na maofisa kadhaa kufuatia sakata la makontena, leo amerudi tena bandarini, na nimekishuhudia kitu anachokifanya, japo anashangiliwa na umati wa watu, lakini anachokifanya ni kuviziana, kutishana, kudhalilishana na kunakwenda kinyume cha utawala bora, yaani good governance!.

Waziri Mkuu anafanya ziara za kushtukiza mahali, huki akiwa na karatasi lenye tuhuma specific, lakini amelificha!, anakwenda kumuuliza mhusika wa pale kuhusu utendaji wa mfumo fulani, anaelezwa kuwa mfumo uko perfect, kisha analiibua hilo kaatasi lenye tuhuma na kuanza kumsomea mhusika mbele ya kadamnasi ya watu, abcd!, mhusika anashindwa kujibu, atasimamishwa kazi, na kama yuko juu ya mamlaka yake, atamchongea kwa rais!.

Hata TRA siku hiyo alikwenda na nondo za makomtena, alipomuuliza Bade, akamjibu details ziko kwa maofisa wangu, ndipo akaibua nondo lake na kumsomea kwenye kadamnasi ili aonekane mjinga!, huku ni kuaibishana, kudhalilishana na kinyume cha good governance!.

Baada ya kutoka bandaini, akaenda TRL na kumuuliza mkurugenzi mkuu, mlikopa bilioni 3 TIB za kufanyia nini?!, kwa nini hamkufanya kile mlichokopea?, akaambiwa tumelipia mishahara, nani aliwapa idhini ya kukopa?!, Mkuugenzi hana jibu na naamini kesho atatangazwa hana kazi!.

Top management angekaa nao ofisini na kuulizana kistaarabu ndio good governance!. Mimi hata home, wife alikuwa na tabia ya kuwafokea ma tx home, mbele ya watoto, nikamkataza!, nikamsisitiza if things are not right, muite pembeni ndipo umseme, sio kumdhalilisha mbele ya watoto!.

Anachofanya Waziri Mkuu, wetu, Mhe. Majaliwa, Kasim Majaliwa ni kuviziana, kudhalilishana na kuabishana bila sababu za msingi!, hili la kuitana na kuanza kuhojiana mbele ya waandishi ili watu wamuone alivyo mkali, ni tabia za ma populist leaders!, Leo nimemuona Magufuli akiongea na wafanyabiashara yuko very humble even cracking some jokes!.

Kama kuna watu wako karibu na Waziri Mkuu, wetu, Mhe. Majaliwa, Kasim Majaliwa, wamwambie anavyofanya sio vizuri, Sio Sawa, Sio Haki, Sio Good Governance!, Ni Udhalilishaji na Kuaibishana tuu!. Akumbushwe kuna kitu kinatwa 'karma' kisije kumshukia!.
Au wewe unaonaje?!, toa maoni yako ni sawa au sio sawa!.
Pasco
Good governance aliitumia kikwete na matokeo yake umeyaona. Staili hii mpya ya utawala ndo stahiki ya tanzania tuliyonayo. Bila kujali nani anaumia au kukerwa lakini wengi tunafurahi, basi ujue hilo ni jema kutendwa. Soma UTILITALIANISM THEORY ya uongozi utajua usahii wa kile kinachofanyika. By the way yupo mwanasheria msomi wa serikali kuliko wewe uliyesoma IT, kila jambo analiangalia kisheria kabla halijatendwa.
 
Wanabodi,

Kwanza naomba kukiri, kuwa ninaunga mkono kwa asilimia 100% juhudi za serikali awamu ya 5 kupambana na rushwa, ufisadi, uzembe na ukwepaji kodi, ili mtindo unaotumiwa na Waziri Mkuu, wetu, Mhe. Majaliwa, Kasim Majaliwa, sio!.

Baada ya kukisikia kisanga cha TRA kilichomngoa Kamishna Mkuu na maofisa kadhaa kufuatia sakata la makontena, leo amerudi tena bandarini, na nimekishuhudia kitu anachokifanya, japo anashangiliwa na umati wa watu, lakini anachokifanya ni kuviziana, kutishana, kudhalilishana na kunakwenda kinyume cha utawala bora, yaani good governance!.

Waziri Mkuu anafanya ziara za kushtukiza mahali, huki akiwa na karatasi lenye tuhuma specific, lakini amelificha!, anakwenda kumuuliza mhusika wa pale kuhusu utendaji wa mfumo fulani, anaelezwa kuwa mfumo uko perfect, kisha analiibua hilo kaatasi lenye tuhuma na kuanza kumsomea mhusika mbele ya kadamnasi ya watu, abcd!, mhusika anashindwa kujibu, atasimamishwa kazi, na kama yuko juu ya mamlaka yake, atamchongea kwa rais!.

Hata TRA siku hiyo alikwenda na nondo za makomtena, alipomuuliza Bade, akamjibu details ziko kwa maofisa wangu, ndipo akaibua nondo lake na kumsomea kwenye kadamnasi ili aonekane mjinga!, huku ni kuaibishana, kudhalilishana na kinyume cha good governance!.

Baada ya kutoka bandaini, akaenda TRL na kumuuliza mkurugenzi mkuu, mlikopa bilioni 3 TIB za kufanyia nini?!, kwa nini hamkufanya kile mlichokopea?, akaambiwa tumelipia mishahara, nani aliwapa idhini ya kukopa?!, Mkuugenzi hana jibu na naamini kesho atatangazwa hana kazi!.

Top management angekaa nao ofisini na kuulizana kistaarabu ndio good governance!. Mimi hata home, wife alikuwa na tabia ya kuwafokea ma tx home, mbele ya watoto, nikamkataza!, nikamsisitiza if things are not right, muite pembeni ndipo umseme, sio kumdhalilisha mbele ya watoto!.

Anachofanya Waziri Mkuu, wetu, Mhe. Majaliwa, Kasim Majaliwa ni kuviziana, kudhalilishana na kuabishana bila sababu za msingi!, hili la kuitana na kuanza kuhojiana mbele ya waandishi ili watu wamuone alivyo mkali, ni tabia za ma populist leaders!, Leo nimemuona Magufuli akiongea na wafanyabiashara yuko very humble even cracking some jokes!.

Kama kuna watu wako karibu na Waziri Mkuu, wetu, Mhe. Majaliwa, Kasim Majaliwa, wamwambie anavyofanya sio vizuri, Sio Sawa, Sio Haki, Sio Good Governance!, Ni Udhalilishaji na Kuaibishana tuu!. Akumbushwe kuna kitu kinatwa 'karma' kisije kumshukia!.
Au wewe unaonaje?!, toa maoni yako ni sawa au sio sawa!.
Pasco

Moja ya nguzo kuu kwenye GG ni uwajibikaki. Sasa kama watumishi wa umma hawawajibiki na unataka wasichukuliwe hatua, sijui unaongelea GG ipi?
 
yaan napendaje neno tume litakufa kabisa ilifika mahal wa tz wakazoea tume ,tume,tume,tume leo hakuna tume wala bibi yake na tume ni kaz tu, naona hii adhab kisaikolojia ni nzr sana wakafanya hiv kwa watu lak 1 itaamsha ari ya uadilifu makazini kwa asilimia nying sana Mungu katukumbuka wanyonge mafisad kunyooka ni lazima....hapa kaz tu
 
Nchi hii ilisha fanywa shamba la bibi na kila aliye kwenye kitengo. Ngoja tunyooke kwanza ndipo hiyo good governance ifuate! Keki ya taifa imekuwa ikitafunwa na wakubwa hao kwa kushirikiana na wakwepa kodi mapapa! Huruma hizi kama za mleta uzi ndizo zimelifikisha taifa kwenye mkwamo huu wa aibu! Go Magufuli, Go Majaliwa! We need changes in everything! Majibu yatumbuke na damu itoke taifa lipone.
 
Wanabodi,

Kwanza naomba kukiri, kuwa ninaunga mkono kwa asilimia 100% juhudi za serikali awamu ya 5 kupambana na rushwa, ufisadi, uzembe na ukwepaji kodi, ili mtindo unaotumiwa na Waziri Mkuu, wetu, Mhe. Majaliwa, Kasim Majaliwa, sio!.

Baada ya kukisikia kisanga cha TRA kilichomngoa Kamishna Mkuu na maofisa kadhaa kufuatia sakata la makontena, leo amerudi tena bandarini, na nimekishuhudia kitu anachokifanya, japo anashangiliwa na umati wa watu, lakini anachokifanya ni kuviziana, kutishana, kudhalilishana na kunakwenda kinyume cha utawala bora, yaani good governance!.

Waziri Mkuu anafanya ziara za kushtukiza mahali, huki akiwa na karatasi lenye tuhuma specific, lakini amelificha!, anakwenda kumuuliza mhusika wa pale kuhusu utendaji wa mfumo fulani, anaelezwa kuwa mfumo uko perfect, kisha analiibua hilo kaatasi lenye tuhuma na kuanza kumsomea mhusika mbele ya kadamnasi ya watu, abcd!, mhusika anashindwa kujibu, atasimamishwa kazi, na kama yuko juu ya mamlaka yake, atamchongea kwa rais!.

Hata TRA siku hiyo alikwenda na nondo za makomtena, alipomuuliza Bade, akamjibu details ziko kwa maofisa wangu, ndipo akaibua nondo lake na kumsomea kwenye kadamnasi ili aonekane mjinga!, huku ni kuaibishana, kudhalilishana na kinyume cha good governance!.

Baada ya kutoka bandaini, akaenda TRL na kumuuliza mkurugenzi mkuu, mlikopa bilioni 3 TIB za kufanyia nini?!, kwa nini hamkufanya kile mlichokopea?, akaambiwa tumelipia mishahara, nani aliwapa idhini ya kukopa?!, Mkuugenzi hana jibu na naamini kesho atatangazwa hana kazi!.

Top management angekaa nao ofisini na kuulizana kistaarabu ndio good governance!. Mimi hata home, wife alikuwa na tabia ya kuwafokea ma tx home, mbele ya watoto, nikamkataza!, nikamsisitiza if things are not right, muite pembeni ndipo umseme, sio kumdhalilisha mbele ya watoto!.

Anachofanya Waziri Mkuu, wetu, Mhe. Majaliwa, Kasim Majaliwa ni kuviziana, kudhalilishana na kuabishana bila sababu za msingi!, hili la kuitana na kuanza kuhojiana mbele ya waandishi ili watu wamuone alivyo mkali, ni tabia za ma populist leaders!, Leo nimemuona Magufuli akiongea na wafanyabiashara yuko very humble even cracking some jokes!.

Kama kuna watu wako karibu na Waziri Mkuu, wetu, Mhe. Majaliwa, Kasim Majaliwa, wamwambie anavyofanya sio vizuri, Sio Sawa, Sio Haki, Sio Good Governance!, Ni Udhalilishaji na Kuaibishana tuu!. Akumbushwe kuna kitu kinatwa 'karma' kisije kumshukia!.
Au wewe unaonaje?!, toa maoni yako ni sawa au sio sawa!.
Pasco
Umesahau lowassa wako alivyokua anafukuza watu kwenye mikutano ya hadhara.kumbuka ya kigoma na mbeya.mkuu hii ni vita,acha majipu yatumbuliwe,kama hao watumishi wameweza kuidabganya na kuidhalilisha serikali miaka yote hiyo sioni tatizo mtu kuulizwa mbele ya hadhara,tungejuaje kama wanasema uongo
 
Mkuu Pasco, sasa na wewe hii siyo sawa kabisa, huu siyo utawala bora na wewe yaani unamsema PM mbele ya kadamnasi kwamba hajui uongozi? Sasa na wewe si ungempenyezea pembeni kuliko kuja kumwanika hapa JF? Ila nakubaliana na wewe kwamba PM hafanyi vizuri hivyo, lakini napingana na wewe kuja kumvua nguo hapa hadharani mpaka watoto wadogo wanamwona kwamba ni mvivu katika "modern management". Hawa jamaa waangalie wasije wakawa madikteta!!

Hata na wewe Manjagata unavyofanya sio poa kabisa. Why unamsema Pasco hadharani eti kwa kua yeye Pasco amemsema PM hadharani?

Nawe si ungemuendea chemba tu kuliko kusema hapa? SI HAKI, SI SAWA na SI GOOD GOVERNANCE.
 
Last edited by a moderator:
Wanabodi,

Kwanza naomba kukiri, kuwa ninaunga mkono kwa asilimia 100% juhudi za serikali awamu ya 5 kupambana na rushwa, ufisadi, uzembe na ukwepaji kodi, ili mtindo unaotumiwa na Waziri Mkuu, wetu, Mhe. Majaliwa, Kasim Majaliwa, sio!.

Baada ya kukisikia kisanga cha TRA kilichomngoa Kamishna Mkuu na maofisa kadhaa kufuatia sakata la makontena, leo amerudi tena bandarini, na nimekishuhudia kitu anachokifanya, japo anashangiliwa na umati wa watu, lakini anachokifanya ni kuviziana, kutishana, kudhalilishana na kunakwenda kinyume cha utawala bora, yaani good governance!.

Waziri Mkuu anafanya ziara za kushtukiza mahali, huki akiwa na karatasi lenye tuhuma specific, lakini amelificha!, anakwenda kumuuliza mhusika wa pale kuhusu utendaji wa mfumo fulani, anaelezwa kuwa mfumo uko perfect, kisha analiibua hilo kaatasi lenye tuhuma na kuanza kumsomea mhusika mbele ya kadamnasi ya watu, abcd!, mhusika anashindwa kujibu, atasimamishwa kazi, na kama yuko juu ya mamlaka yake, atamchongea kwa rais!.

Hata TRA siku hiyo alikwenda na nondo za makomtena, alipomuuliza Bade, akamjibu details ziko kwa maofisa wangu, ndipo akaibua nondo lake na kumsomea kwenye kadamnasi ili aonekane mjinga!, huku ni kuaibishana, kudhalilishana na kinyume cha good governance!.

Baada ya kutoka bandaini, akaenda TRL na kumuuliza mkurugenzi mkuu, mlikopa bilioni 3 TIB za kufanyia nini?!, kwa nini hamkufanya kile mlichokopea?, akaambiwa tumelipia mishahara, nani aliwapa idhini ya kukopa?!, Mkuugenzi hana jibu na naamini kesho atatangazwa hana kazi!.

Top management angekaa nao ofisini na kuulizana kistaarabu ndio good governance!. Mimi hata home, wife alikuwa na tabia ya kuwafokea ma tx home, mbele ya watoto, nikamkataza!, nikamsisitiza if things are not right, muite pembeni ndipo umseme, sio kumdhalilisha mbele ya watoto!.

Anachofanya Waziri Mkuu, wetu, Mhe. Majaliwa, Kasim Majaliwa ni kuviziana, kudhalilishana na kuabishana bila sababu za msingi!, hili la kuitana na kuanza kuhojiana mbele ya waandishi ili watu wamuone alivyo mkali, ni tabia za ma populist leaders!, Leo nimemuona Magufuli akiongea na wafanyabiashara yuko very humble even cracking some jokes!.

Kama kuna watu wako karibu na Waziri Mkuu, wetu, Mhe. Majaliwa, Kasim Majaliwa, wamwambie anavyofanya sio vizuri, Sio Sawa, Sio Haki, Sio Good Governance!, Ni Udhalilishaji na Kuaibishana tuu!. Akumbushwe kuna kitu kinatwa 'karma' kisije kumshukia!.
Au wewe unaonaje?!, toa maoni yako ni sawa au sio sawa!.
Pasco
hakuna kuendesha serikali kimazoea amajaliwa kamua baba.
 
Nimesoma maoni ya watu kadhaa juu ya post hii. Naona wanaopinga kinachofanywa na serikali wana akili mgando. Nchi ilipokuwa imefikia ni pabaya sana, namna tu ya kuondoa ufisadi huu ni Kufanya maamuzi magumu tena watanzania na dunia yote wawajue waliotufikisha hapa kama ilivyo sasa. Faida zake ni hizi;

1. Hutoa taarifa kwa wezi, wazembe kazini, wakwepa kodi wote,kuwa wasipotimiza wajibu wao watadhalilishwa. Hivyo waliokuwa na mpango wa kufanya utumbo, wanajituni na kurudi njia kuu. Kama wangekuwa wanaambiwa kisiri meseji isingefika kwa majizi mengine haraka.

2. Kazi ya kutumbua majipu inakuwa nyepesi kwani wengine wanajitumbua wenyewe hawamsubiri PM na Rais

3. Watz tunaposikia na kuona haya, madonda katika mioyo yetu yaliyoletwa na uongozi uliopita yanaponywa.Yaani hata nami TZ nilikuwa nimeichoka kabisa, nilifikiri hata kubadirisha uraia wangu, kwani hapakuwa na tumaini, but now tumaini limekuja

TUNATAKA UONGOZI KAMA HUU UNAOTHUBUTU KUFANYA MAAMUZI MAGUMU BILA KUPEPESA MACHO. UKIMBEMBELEZA MTU MWENYE MAJIPU ETI ANAUMIA ATAKUFA. MAJIPU HUWA YANATUMBULIWA MPAKA DAMU ITOKE,MGONJWA AKIPIGA KELELE KWA MAUMIVU, NIKUTUMBUA TU. HUU WANAOFANYA NI UPENDO KWA WATANZANIA NA NCHI YAO
 
Hajakosea kua muadilifu tenda kazi ipasavyo majibu lazima utakua nayo Kama shule ukijisomea mtihani utakua rahic tofauti nahapo chabooooo.
 
acha muisome namba mlidhani UKAWA wataisoma kumbe ni ninyi wenyewe....mi naona yupo right sometimes dictatorship is a good government....nimemaliza sio kama mkwere anachekacheka tuuu

Wewe kilaza wakati wa kampeni umeisha. Hapa kazi tu#
 
Back
Top Bottom