Lowasa alikuwa akifukuza watu bila kuwapa hata haki ya kujitetea, lakini at the end of the day PASCO alikuwa timu yake,Leo hii Prime Minister Majaliwa anawatia jambajamba wazembe wote waliotufikisha hapa,PASCO analia faulo.
Hivi bado tunataka habari za tume?, hivi bado tunataka vikao vya kujadili agizo la waziri mkuu halafu mlipane perdiem ya vikao hivyo?.
ANACHOFANYA PM ni sahihi sana,na tunafurahi kuwa sasa nchi imepata wasimamizi makini, na naomba afike sehemu zote zenye uwozo!.
Haka kanchi kamebakwa sana,sasa ni wakati wa kukapa heshima,ili na sisi tuheshimike!
Haka ka nchi mafisadi walikageuza kama mwanamke malaya, kila anayejisikia anajishikia kalio, chuchu halafu hakuna kinachofanyika!
Mwalimu alisema, Poor countries are like indicent dressed woman it attracts evil minds, Sasa sisi tutauondoaje umasikini kama Wazembe wachache wanaachiwa kutamalaki serikalini?
Sisi tunataka kazi, na sisi Wananchi tunataka hiyo kazi tuione, na Kazi kusema Kweli inafanyika, namuomba tu PM na Prezidaa wasilegeze uzi,wakomae tu mpaka kieleweke!
kupambana na Ufisadi ni vita, na vita siyo lelemama. kuchekacheka na wahalifu ni kuitia nchi kitanzi, serikali ni lazima itishe wahalifu!