Wonderful
JF-Expert Member
- Apr 8, 2015
- 7,347
- 5,986
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watanzania ni watu wa hovyo kabisa good governance ndiyo imetufikisha nchi kufirisika , hakuna utawala bora kwa wezi na mafisadi,njia ya kwenda ofisini na kuuliza ndio mwanzo wa rushwa , Nani hajui hawa wakuu wa hayo mtaasisi ni wezi. Njia ya kutumbua jipu haina ustaharabu , ni kutumbua tuHata mi sipendi. Sidhan ka vyombo vya habari visingekuwepo angefanya vile. Ndo mana kuna siku bunge lilitaka liwe recorded.
Good governance aliitumia kikwete na matokeo yake umeyaona. Staili hii mpya ya utawala ndo stahiki ya tanzania tuliyonayo. Bila kujali nani anaumia au kukerwa lakini wengi tunafurahi, basi ujue hilo ni jema kutendwa. Soma UTILITALIANISM THEORY ya uongozi utajua usahii wa kile kinachofanyika. By the way yupo mwanasheria msomi wa serikali kuliko wewe uliyesoma IT, kila jambo analiangalia kisheria kabla halijatendwa.
Mparaganyiko mkubwa
kaenda kwanza kagundua makontena 300
karudi tena kagundua mengine zaidi ya 2000
so inawezekana yakafika hata elfu 10 hajagundua bado
na hakuna namna ya kugundua hadi waziri mkuu aende mwenyewe..
ni kama system ime fail kabisa....waziri mkuu anafanya ukaguzi wa kontena
sio kujenga system mpya yasitokee haya tena
Namna ilikuwepo: kujiuzulu.
Tatizo hatuna huo utamaduni.
Ndo maana wengine tunaona hizi ni bongo movies tu
manake mtu kama unajua ABC hadi Z ya ku fix tatizo huhitaji media...
watu watajikuta tu bandari inafanya kazi vizuri....
kuna nchi unakuta airport inafanya kazi vizuri,bandari pia,barabara zinsafishwa
na hujawahi kuona hata siku moja kuna waziri 'kaja kutingisha'....
Wanabodi,
Kwanza naomba kukiri, kuwa ninaunga mkono kwa asilimia 100% juhudi za serikali awamu ya 5 kupambana na rushwa, ufisadi, uzembe na ukwepaji kodi, ili mtindo unaotumiwa na Waziri Mkuu, wetu, Mhe. Majaliwa, Kasim Majaliwa, sio!.
Baada ya kukisikia kisanga cha TRA kilichomngoa Kamishna Mkuu na maofisa kadhaa kufuatia sakata la makontena, leo amerudi tena bandarini, na nimekishuhudia kitu anachokifanya, japo anashangiliwa na umati wa watu, lakini anachokifanya ni kuviziana, kutishana, kudhalilishana na kunakwenda kinyume cha utawala bora, yaani good governance!.
Waziri Mkuu anafanya ziara za kushtukiza mahali, huki akiwa na karatasi lenye tuhuma specific, lakini amelificha!, anakwenda kumuuliza mhusika wa pale kuhusu utendaji wa mfumo fulani, anaelezwa kuwa mfumo uko perfect, kisha analiibua hilo kaatasi lenye tuhuma na kuanza kumsomea mhusika mbele ya kadamnasi ya watu, abcd!, mhusika anashindwa kujibu, atasimamishwa kazi, na kama yuko juu ya mamlaka yake, atamchongea kwa rais!.
Hata TRA siku hiyo alikwenda na nondo za makomtena, alipomuuliza Bade, akamjibu details ziko kwa maofisa wangu, ndipo akaibua nondo lake na kumsomea kwenye kadamnasi ili aonekane mjinga!, huku ni kuaibishana, kudhalilishana na kinyume cha good governance!.
Baada ya kutoka bandaini, akaenda TRL na kumuuliza mkurugenzi mkuu, mlikopa bilioni 3 TIB za kufanyia nini?!, kwa nini hamkufanya kile mlichokopea?, akaambiwa tumelipia mishahara, nani aliwapa idhini ya kukopa?!, Mkuugenzi hana jibu na naamini kesho atatangazwa hana kazi!.
Top management angekaa nao ofisini na kuulizana kistaarabu ndio good governance!. Mimi hata home, wife alikuwa na tabia ya kuwafokea ma tx home, mbele ya watoto, nikamkataza!, nikamsisitiza if things are not right, muite pembeni ndipo umseme, sio kumdhalilisha mbele ya watoto!.
Anachofanya Waziri Mkuu, wetu, Mhe. Majaliwa, Kasim Majaliwa ni kuviziana, kudhalilishana na kuabishana bila sababu za msingi!, hili la kuitana na kuanza kuhojiana mbele ya waandishi ili watu wamuone alivyo mkali, ni tabia za ma populist leaders!, Leo nimemuona Magufuli akiongea na wafanyabiashara yuko very humble even cracking some jokes!.
Kama kuna watu wako karibu na Waziri Mkuu, wetu, Mhe. Majaliwa, Kasim Majaliwa, wamwambie anavyofanya sio vizuri, Sio Sawa, Sio Haki, Sio Good Governance!, Ni Udhalilishaji na Kuaibishana tuu!. Akumbushwe kuna kitu kinatwa 'karma' kisije kumshukia!.
Au wewe unaonaje?!, toa maoni yako ni sawa au sio sawa!.
Pasco
Waziri Mkuu Majaliwa aendelee hivyo hivyo na hao wafanya kazi wachapww hata viboko.Wanabodi,

Hata mi sipendi. Sidhan ka vyombo vya habari visingekuwepo angefanya vile. Ndo mana kuna siku bunge lilitaka liwe recorded.