Anachofanya Waziri Mkuu sio sawa, sio haki, sio Good Governance! Ni udhalilishaji na kuaibishana!

Kumdhalilisha na kumuumbua mwizi, mzembe na fisadi mbele ya waandishi kwangu ndiyo good governance...kumbembeleza na kuendelea kumheshimu hiyo ndiyo bad governance.

Wadhalilishwe tu.
Mbona wezi wa kuku na simu wanadhalilishwa daily mitaani, kwani hao wa bandarini wana nini?
 
Uko sawa kaka Pasco waheshimu watu wazima.
 
Last edited by a moderator:
Wanabodi,

Kwanza naomba kukiri, kuwa ninaunga mkono kwa asilimia 100% juhudi za serikali awamu ya 5 kupambana na rushwa, ufisadi, uzembe na ukwepaji kodi, ili mtindo unaotumiwa na Waziri Mkuu, wetu, Mhe. Majaliwa, Kassim Majaliwa, sio!.

Baada ya kukisikia kisanga cha TRA kilichomng'oa Kamishna Mkuu na maofisa kadhaa kufuatia sakata la makontena, leo amerudi tena bandarini na nimekishuhudia kitu anachokifanya, japo anashangiliwa na umati wa watu, lakini anachokifanya ni kuviziana, kutishana, kudhalilishana na kunakwenda kinyume cha utawala bora, yaani good governance!.

Waziri Mkuu anafanya ziara za kushtukiza mahali, huku akiwa na karatasi lenye tuhuma specific, lakini amelificha!, anakwenda kumuuliza mhusika wa pale kuhusu utendaji wa mfumo fulani, anaelezwa kuwa mfumo uko perfect, kisha analiibua hilo karatasi lenye tuhuma na kuanza kumsomea mhusika mbele ya kadamnasi ya watu, abcd!, mhusika anashindwa kujibu, atasimamishwa kazi, na kama yuko juu ya mamlaka yake, atamchongea kwa Rais!.

Hata TRA siku hiyo alikwenda na nondo za makontena, alipomuuliza Bade, akamjibu details ziko kwa maofisa wangu, ndipo akaibua nondo lake na kumsomea kwenye kadamnasi ili aonekane mjinga!, huku ni kuaibishana, kudhalilishana na kinyume cha good governance!.

Baada ya kutoka bandaini, akaenda TRL na kumuuliza mkurugenzi mkuu, mlikopa bilioni 3 TIB za kufanyia nini?!, kwa nini hamkufanya kile mlichokopea?, akaambiwa tumelipia mishahara, nani aliwapa idhini ya kukopa?!, Mkurugenzi hana jibu na naamini kesho atatangazwa hana kazi!.

Top management angekaa nao ofisini na kuulizana kistaarabu ndio good governance!. Mimi hata home, wife alikuwa na tabia ya kuwafokea ma tx home, mbele ya watoto, nikamkataza!, nikamsisitiza if things are not right, muite pembeni ndipo umseme, sio kumdhalilisha mbele ya watoto!.

Anachofanya Waziri Mkuu, wetu, Mhe. Majaliwa, Kasim Majaliwa ni kuviziana, kudhalilishana na kuabishana bila sababu za msingi!, hili la kuitana na kuanza kuhojiana mbele ya waandishi ili watu wamuone alivyo mkali, ni tabia za ma populist leaders!, Leo nimemuona Magufuli akiongea na wafanyabiashara yuko very humble even cracking some jokes!.

Kama kuna watu wako karibu na Waziri Mkuu, wetu, Mhe. Majaliwa, Kasim Majaliwa, wamwambie anavyofanya sio vizuri, Sio Sawa, Sio Haki, Sio Good Governance!, Ni Udhalilishaji na Kuaibishana tuu!. Akumbushwe kuna kitu kinatwa 'karma' kisije kumshukia!.
Au wewe unaonaje?!, toa maoni yako ni sawa au sio sawa!.

Pasco

Mdau Pasco, usifananishe masuala hayo na mambo ya nyumabani kwako, utakavyo fanya wewe na mkeo ni ya kwenu huko hayahusiani kaisa na maisha ya watanzania kwa ujumla.
Anachofanya waziri mkuu na rais wake NI SAWA TU.nani hajui tanzania ilishapotea na kulikuwa hakuna utawala wa sheria? nani hajui kuwa rushwa ilikuwa imetawala kila mahali? watanzania wa hali ya chini, ambao ndiyo wengi, ndiyo waliokuwa wanaumia, walikuwa wananyimwa hata haki. Ananvyofanya ni sawa tu, tena kama mimi ningekuwa mshauri wa Rais basi ningemuomba arudishe seheria ya kifo kwa wale walio na wanaohujumu uchumi wa nchi na wale viongozi wabadhirifu na wasiofuata maadili ya kazi zao,na anayeogopa kifo, basi aondokw madarakani, kuna watanzania kibao waliosoma na wenye uwezo wa kufanya kazi kwa maadili na sasa hivi hawana kazi.Nawapongeza wachina bwana, huwa hawacheleli!!!
 
....shikamoo mwalimu Majaliwa

namuunga mkono mwalimu wa zamu (T. O. D) mimi kwa mtazamo wangu naona huyu CEO alistahili kuchapwa viboko hadharani kwanza kwa kufilisi taifa nakuunda njama ya kusema uongo mbele ya mwalimu wa zamu.....anastahili sunspension fasteeeeer
 
Wanabodi,

Kwanza naomba kukiri, kuwa ninaunga mkono kwa asilimia 100% juhudi za serikali awamu ya 5 kupambana na rushwa, ufisadi, uzembe na ukwepaji kodi, ili mtindo unaotumiwa na Waziri Mkuu, wetu, Mhe. Majaliwa, Kassim Majaliwa, sio!.

Baada ya kukisikia kisanga cha TRA kilichomng'oa Kamishna Mkuu na maofisa kadhaa kufuatia sakata la makontena, leo amerudi tena bandarini na nimekishuhudia kitu anachokifanya, japo anashangiliwa na umati wa watu, lakini anachokifanya ni kuviziana, kutishana, kudhalilishana na kunakwenda kinyume cha utawala bora, yaani good governance!.

Hata TRA siku hiyo alikwenda na nondo za makontena, alipomuuliza Bade, akamjibu details ziko kwa maofisa wangu, ndipo akaibua nondo lake na kumsomea kwenye kadamnasi ili aonekane mjinga!, huku ni kuaibishana, kudhalilishana na kinyume cha good governance!.

Pasco

Umeona hapo nyekundu!. Pamoja na ushauri mzuri kwa sasa na hali ya Nchi ilikofikia/kukubuhu kwa rushwa na Ufisadi staili hii ni jibu sahihi kinyume na hapo hata Waziri Mkuu mwisho wa siku atahesabiwa mchafu kama ataamua kuyafanya nyuma ya Pazia.

Goo governance kwa sasa ikae pembeni hasa kwenye suala la Uwazi na eti heshima! Kama unajiheshimu huo uchafu ulifikaje kiasi cha makontena 300 na ushe?.

Muhimu kwa Pm na mwengineo wahakikishe na kujiridhisha tatizo ni la kweli na kuwa hajamwonea mtu-heshima hujengwa na mhusika mwenye na walahaiji bure! Ukiishi na mwizi kesho utakuwa mwizi tu! Maisha ya Binadamu kwa karibu 50 % inakuwa influenced na mazingira.
 
Ngabu iko very clear hawana 'blue print' ya nini wafanye
kubadili hii nchi iondokane na kero
so wanashiriki ku expose kero na kukaripia on tv
lakini 'what to do to change things permanently' ndio hawajui...
'the blue print' ya ku replace hii failed system hawana

Siyo lazima watumie "blue print"...wao wamekuja na yao inaitwa "red print"!
 
Sun tzu kwene art of war anasema..
"In war, the general receives his commands from the sovereign"
anachofanya PM ndicho alicho agizwa afanye. There are a lot of methods towards that, na yy katumia inayomfaa. As long as zinayield better results basi tuzipokee hizo njia zake. Wacha kulalamika mkuu Pasco
 
Last edited by a moderator:
wanabodi,

kwanza naomba kukiri, kuwa ninaunga mkono kwa asilimia 100% juhudi za serikali awamu ya 5 kupambana na rushwa, ufisadi, uzembe na ukwepaji kodi, ili mtindo unaotumiwa na waziri mkuu, wetu, mhe. Majaliwa, kassim majaliwa, sio!.

Baada ya kukisikia kisanga cha tra kilichomng'oa kamishna mkuu na maofisa kadhaa kufuatia sakata la makontena, leo amerudi tena bandarini na nimekishuhudia kitu anachokifanya, japo anashangiliwa na umati wa watu, lakini anachokifanya ni kuviziana, kutishana, kudhalilishana na kunakwenda kinyume cha utawala bora, yaani good governance!.

Waziri mkuu anafanya ziara za kushtukiza mahali, huku akiwa na karatasi lenye tuhuma specific, lakini amelificha!, anakwenda kumuuliza mhusika wa pale kuhusu utendaji wa mfumo fulani, anaelezwa kuwa mfumo uko perfect, kisha analiibua hilo karatasi lenye tuhuma na kuanza kumsomea mhusika mbele ya kadamnasi ya watu, abcd!, mhusika anashindwa kujibu, atasimamishwa kazi, na kama yuko juu ya mamlaka yake, atamchongea kwa rais!.

Hata tra siku hiyo alikwenda na nondo za makontena, alipomuuliza bade, akamjibu details ziko kwa maofisa wangu, ndipo akaibua nondo lake na kumsomea kwenye kadamnasi ili aonekane mjinga!, huku ni kuaibishana, kudhalilishana na kinyume cha good governance!.

Baada ya kutoka bandaini, akaenda trl na kumuuliza mkurugenzi mkuu, mlikopa bilioni 3 tib za kufanyia nini?!, kwa nini hamkufanya kile mlichokopea?, akaambiwa tumelipia mishahara, nani aliwapa idhini ya kukopa?!, mkurugenzi hana jibu na naamini kesho atatangazwa hana kazi!.

Top management angekaa nao ofisini na kuulizana kistaarabu ndio good governance!. Mimi hata home, wife alikuwa na tabia ya kuwafokea ma tx home, mbele ya watoto, nikamkataza!, nikamsisitiza if things are not right, muite pembeni ndipo umseme, sio kumdhalilisha mbele ya watoto!.

Anachofanya waziri mkuu, wetu, mhe. Majaliwa, kasim majaliwa ni kuviziana, kudhalilishana na kuabishana bila sababu za msingi!, hili la kuitana na kuanza kuhojiana mbele ya waandishi ili watu wamuone alivyo mkali, ni tabia za ma populist leaders!, leo nimemuona magufuli akiongea na wafanyabiashara yuko very humble even cracking some jokes!.

Kama kuna watu wako karibu na waziri mkuu, wetu, mhe. Majaliwa, kasim majaliwa, wamwambie anavyofanya sio vizuri, sio sawa, sio haki, sio good governance!, ni udhalilishaji na kuaibishana tuu!. Akumbushwe kuna kitu kinatwa 'karma' kisije kumshukia!.
Au wewe unaonaje?!, toa maoni yako ni sawa au sio sawa!.

Pasco

hiyo kubembelezana na kustiriana ndo kumetufikisha hapa...we need autocratic leadership now...hiyo good governance tukishakaa kwenye mstari tutaendelea na hizo principles!!!!!!
 
Wanabodi,

Kwanza naomba kukiri, kuwa ninaunga mkono kwa asilimia 100% juhudi za serikali awamu ya 5 kupambana na rushwa, ufisadi, uzembe na ukwepaji kodi, ili mtindo unaotumiwa na Waziri Mkuu, wetu, Mhe. Majaliwa, Kassim Majaliwa, sio!.

Baada ya kukisikia kisanga cha TRA kilichomng'oa Kamishna Mkuu na maofisa kadhaa kufuatia sakata la makontena, leo amerudi tena bandarini na nimekishuhudia kitu anachokifanya, japo anashangiliwa na umati wa watu, lakini anachokifanya ni kuviziana, kutishana, kudhalilishana na kunakwenda kinyume cha utawala bora, yaani good governance!.

Waziri Mkuu anafanya ziara za kushtukiza mahali, huku akiwa na karatasi lenye tuhuma specific, lakini amelificha!, anakwenda kumuuliza mhusika wa pale kuhusu utendaji wa mfumo fulani, anaelezwa kuwa mfumo uko perfect, kisha analiibua hilo karatasi lenye tuhuma na kuanza kumsomea mhusika mbele ya kadamnasi ya watu, abcd!, mhusika anashindwa kujibu, atasimamishwa kazi, na kama yuko juu ya mamlaka yake, atamchongea kwa Rais!.

Hata TRA siku hiyo alikwenda na nondo za makontena, alipomuuliza Bade, akamjibu details ziko kwa maofisa wangu, ndipo akaibua nondo lake na kumsomea kwenye kadamnasi ili aonekane mjinga!, huku ni kuaibishana, kudhalilishana na kinyume cha good governance!.

Baada ya kutoka bandaini, akaenda TRL na kumuuliza mkurugenzi mkuu, mlikopa bilioni 3 TIB za kufanyia nini?!, kwa nini hamkufanya kile mlichokopea?, akaambiwa tumelipia mishahara, nani aliwapa idhini ya kukopa?!, Mkurugenzi hana jibu na naamini kesho atatangazwa hana kazi!.

Top management angekaa nao ofisini na kuulizana kistaarabu ndio good governance!. Mimi hata home, wife alikuwa na tabia ya kuwafokea ma tx home, mbele ya watoto, nikamkataza!, nikamsisitiza if things are not right, muite pembeni ndipo umseme, sio kumdhalilisha mbele ya watoto!.

Anachofanya Waziri Mkuu, wetu, Mhe. Majaliwa, Kasim Majaliwa ni kuviziana, kudhalilishana na kuabishana bila sababu za msingi!, hili la kuitana na kuanza kuhojiana mbele ya waandishi ili watu wamuone alivyo mkali, ni tabia za ma populist leaders!, Leo nimemuona Magufuli akiongea na wafanyabiashara yuko very humble even cracking some jokes!.

Kama kuna watu wako karibu na Waziri Mkuu, wetu, Mhe. Majaliwa, Kasim Majaliwa, wamwambie anavyofanya sio vizuri, Sio Sawa, Sio Haki, Sio Good Governance!, Ni Udhalilishaji na Kuaibishana tuu!. Akumbushwe kuna kitu kinatwa 'karma' kisije kumshukia!.
Au wewe unaonaje?!, toa maoni yako ni sawa au sio sawa!.

Pasco

Kwa hili Pasco siko pamoja na wewe.
Ikiwa tuhuma anazo wahoji ni za kweli, yuko sawa kuhoji popote pale maana uwajibilaji wa pamoja haupo ndiyo maana watu wanageuza Ofisi kama biashara yake.
Aendelee kukandamiza tu maana tumechoka na wizi huu.
 
Pasco usihofu, hiyo inaitwa "UKIJIFANYA BISHOO MIE NAKUWA BISHOO ZAIDI YAKO", hao watendaji ni wahuni hivyo dawa yao ni kwenda nao kihuni hivyo hivyo kutokana na kula mpaka ukoko

Good...!

Majaliwa aongeze kasi zaidi.
 
Last edited by a moderator:
Wanabodi,

Kwanza naomba kukiri, kuwa ninaunga mkono kwa asilimia 100% juhudi za serikali awamu ya 5 kupambana na rushwa, ufisadi, uzembe na ukwepaji kodi, ili mtindo unaotumiwa na Waziri Mkuu, wetu, Mhe. Majaliwa, Kassim Majaliwa, sio!.

Baada ya kukisikia kisanga cha TRA kilichomng'oa Kamishna Mkuu na maofisa kadhaa kufuatia sakata la makontena, leo amerudi tena bandarini na nimekishuhudia kitu anachokifanya, japo anashangiliwa na umati wa watu, lakini anachokifanya ni kuviziana, kutishana, kudhalilishana na kunakwenda kinyume cha utawala bora, yaani good governance!.

Waziri Mkuu anafanya ziara za kushtukiza mahali, huku akiwa na karatasi lenye tuhuma specific, lakini amelificha!, anakwenda kumuuliza mhusika wa pale kuhusu utendaji wa mfumo fulani, anaelezwa kuwa mfumo uko perfect, kisha analiibua hilo karatasi lenye tuhuma na kuanza kumsomea mhusika mbele ya kadamnasi ya watu, abcd!, mhusika anashindwa kujibu, atasimamishwa kazi, na kama yuko juu ya mamlaka yake, atamchongea kwa Rais!.

Hata TRA siku hiyo alikwenda na nondo za makontena, alipomuuliza Bade, akamjibu details ziko kwa maofisa wangu, ndipo akaibua nondo lake na kumsomea kwenye kadamnasi ili aonekane mjinga!, huku ni kuaibishana, kudhalilishana na kinyume cha good governance!.

Baada ya kutoka bandaini, akaenda TRL na kumuuliza mkurugenzi mkuu, mlikopa bilioni 3 TIB za kufanyia nini?!, kwa nini hamkufanya kile mlichokopea?, akaambiwa tumelipia mishahara, nani aliwapa idhini ya kukopa?!, Mkurugenzi hana jibu na naamini kesho atatangazwa hana kazi!.

Top management angekaa nao ofisini na kuulizana kistaarabu ndio good governance!. Mimi hata home, wife alikuwa na tabia ya kuwafokea ma tx home, mbele ya watoto, nikamkataza!, nikamsisitiza if things are not right, muite pembeni ndipo umseme, sio kumdhalilisha mbele ya watoto!.

Anachofanya Waziri Mkuu, wetu, Mhe. Majaliwa, Kasim Majaliwa ni kuviziana, kudhalilishana na kuabishana bila sababu za msingi!, hili la kuitana na kuanza kuhojiana mbele ya waandishi ili watu wamuone alivyo mkali, ni tabia za ma populist leaders!, Leo nimemuona Magufuli akiongea na wafanyabiashara yuko very humble even cracking some jokes!.

Kama kuna watu wako karibu na Waziri Mkuu, wetu, Mhe. Majaliwa, Kasim Majaliwa, wamwambie anavyofanya sio vizuri, Sio Sawa, Sio Haki, Sio Good Governance!, Ni Udhalilishaji na Kuaibishana tuu!. Akumbushwe kuna kitu kinatwa 'karma' kisije kumshukia!.
Au wewe unaonaje?!, toa maoni yako ni sawa au sio sawa!.

Pasco[/SIZkuzitekelezaPasco umeniangusha kishenzi nilikuwa nakukubali xana ila hapa umepiga nje! Zile taarifa za ukaguzi huwa management wanazo tena km inshu ya jana ni taarifa za mwaka jana! Wanazo kwenye madroo Inatakiwa wawe wameanza kuzitekeleza! Inamaana manager lazima anakuwa na majibu! Sasa we ulitakaje kwambe awambie anaenda ili waanze kijipanga uongo! Good governance ni pamoja kuwa ready na kazi yako all the time! Sasa manager unashindwa jibu hoja za mwaka jana ?? Hata yesu haijulikani atakuja lini ili watu wote watende mema muda wote! Yani kuojiwa mbele ya waandishi kwa manager ni kudhalilishana!? Unajua sifa za manager? Principle zipi amevunja? Sio una ruka ruka tu
 
Mara ya kwanza nilipokua napekuliwa airport kuingia kwenye ndege niliona nikweli nadhalilishwa ila baadae nikegundua ni kitu universal hakuna ubaguzi si mweupe si mweusi na mambo yanaenda. people are crazy watu wanavaa mabomu kwenye chupi kuua wasio nahatia! Ndio hili sasa kama huvunji sheria na tarastibu, au kutumia madaraka vibaya, ubadhidhirifu na ufujaji wa mali za uma, au kama kweli unaijua kazi yako uoga wa nini?

Mwenyewe umeshuhudia jana maswali hayakujibiwa straight....asa unataka nini kusema udhalilishaji.
 
ni kweli wana dhalilishwa ila acha iwe hivyo tu maana wao wametu dhalilisha vya kutosha tutaheshimiana inakuaje unaenda office ya sirikali unanyenyekea kma upo ukweni
 
Barbarosa Pasco hajalazimisha maoni yake ndiyo yawe ya watanzania wote, kama wewe unaona maoni yako hayafanani na ya kwake siyo mbaya ukayapinga kwani ndiyo demokrasia. Kwa bahati mbaya sana Afrika kuna fikra mufulisi kwamba mtu akiwa madarakani apingwi kwani busara za kuongoza huzitoa kwa mungu!!

Maoni ya Pasco yanaungwa mkono na watanzania wenzako ambao wanaona Majaaliwa kama waziri Mkuu wetu anadhalilisha utu wa wale anaowahoji kwa lengo la kuujua ukweli wa ukwepwaji kodi. Hakuna anayepinga wanaokwepa kodi kufuatiliwa, lakini kama njia zinazotumika zinadhalilisha utu wa wengine ni lazima zipingwe!
 
Last edited by a moderator:
Mmeanza kuguswa ee mbona hao wanaoiba hela zetu huwasemi au hiyo ndo good gavernance mnayoitaka?mwaka huu mnalo mtaisoma namba
 
hapa hakuna kucheka na kima bana, majaliwa endelea kuwavua nguo mpaka waache uzembe, muda wa kuchekeana na pusi haupo tena
 
Waache waisome namba, we kama babako amedhalilika mwambie aache uzembe. Sisi watoto wa wakulima tunaona fresh tu na kama vipi aongeze gia.
 
Back
Top Bottom