mtz one
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 4,284
- 1,221
Ebana hivi huyu nyoka wako mwenye kichwa cha nyau anaelekea wapi mbona hafiki toka nimeanza kumtazama kaka...??
hahahaha atafika tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ebana hivi huyu nyoka wako mwenye kichwa cha nyau anaelekea wapi mbona hafiki toka nimeanza kumtazama kaka...??
Tuambie na kuhusu kuachana na Penny nan anafuata kuziba pengo na haya uwe unatuambiaa ??!!
Who is Dimond by the way in this City...?
heading inasema achokifanya diamond mida hii..ambayo nayo ni part ya naisha yake..kilichokutuma ufungue uzi ni nini??
CHUKI ZA KIJINGA
nilijua lazima tu utachangia tena kwa stayle hii..
nilijua lazima tu utachangia tena kwa stayle hii..
Ivi nishindwe kuangalia maisha yangu nikaangalie ya huyo jamaaa
hii nchi kwa tulipofikia kuna mtu anahitaji seriously kufuatilia maisha ya diamond???...tena kwenye jukwaa makini kama jf??kweli??
Hiv mleta mada ww wa-kike au wa-kiume?
Tuambie na kuhusu kuachana na Penny nan anafuata kuziba pengo na haya uwe unatuambiaa ??!!
Sasa ndugu yaan unaonekana hujielew kabisa, kinachonisikitisha kuna watu wamekuwa wakiona wenzao ndo wanakosea zaid kuliko wao, kama wewe umeona Diamond hafai kufuatiliwa kwanini umekua ni miongoni mwa watu walioisoma hyo Post na kucomment wakati unajua kabisa kwa kufanya hivyo na wewe utakuwa umefuatilia maisha yake.
si ndio hapo! Cha ajabu na nyimbo zake unasikiliza!!
Au hujui kitendo cha kumsikiliza pia unajua maisha yake?
Sasa jamani ni swali tu we si msemaji wake,ni superstar wetu hapa bongo tunataka kujuaaa kwan kuna ubayaa
Salaam..najua wengi mmenimiss tu..hata wale wanaopretend kunichukia..naiman wamenimiss pia .nilikua kimya kutokana na kipindi hiki kuwa buzy kutokana na
kuongezeka kwa majukumu...
tuendelee na nilichowaletea mida hii...
Baada ya kutoka kutoa misaada kwenye kituo cha
watoto yatima kigogo..kisha ,
kwenda clouds kufanya mahojiano na kipindi cha jahazi
kisha kwenda kukagua utengenezaji
wa jukwaa atakalotumia ..
kesho kwenye tamasha aliloliandaa special kwa watoto..
usiku huu yupo kwa
producer,Man walter akiendelea kurekodi nyimbo yake mpya ya tofuti kabisa na alizowahi fanya.
akimaliza usiku huu huu ataenda tena kwa producer Tudd tomas kurekodi nyimbo nyingine...
UKILALA NA PESA ZALALA.
usisahau tu hapo kesho kuja na mwanao pale leaders kwa kiingilio cha..
3000 kwa mwanao na 7000 wewe..mtu mzima
NB..nimeshindwa kuweka picha coz natumia sim now..
ukitaka pic za matukio haya na picha za maisha ya kila siku ya diamond
follow me on instagram @ kifesi or follow WCB wasafi acount @wcb_wasafi..
WCB _WASAFI Daima.
nimemaliza
coments zako kwangu zoote huwa ni nega tu..sielew una tatizo gan na mm dada...
na hta hatufahamiani