Anachokifanya diamond mida hii

Anachokifanya diamond mida hii

Status
Not open for further replies.
Tuambie na kuhusu kuachana na Penny nan anafuata kuziba pengo na haya uwe unatuambiaa ??!!
 
niwepesi sana kufatilia maisha ya masuper star wa europe na kuiga mpaka wanavyoishi.mfano mavazi,swaga, na mengineyo.jamani mbona wenzentu europe hawako hivyo Dimond is our super star and we need to be proud of him.go to nigeria u wil learn something the way they like their home artist.
 
hii nchi kwa tulipofikia kuna mtu anahitaji seriously kufuatilia maisha ya diamond???...tena kwenye jukwaa makini kama jf??kweli??

Sasa ndugu yaan unaonekana hujielew kabisa, kinachonisikitisha kuna watu wamekuwa wakiona wenzao ndo wanakosea zaid kuliko wao, kama wewe umeona Diamond hafai kufuatiliwa kwanini umekua ni miongoni mwa watu walioisoma hyo Post na kucomment wakati unajua kabisa kwa kufanya hivyo na wewe utakuwa umefuatilia maisha yake.
 
"upumbavu ni kipaji,kuna watu wanazaliwa nao".. MWALIMU NYERERE..
 
Tuambie na kuhusu kuachana na Penny nan anafuata kuziba pengo na haya uwe unatuambiaa ??!!

Haahaaa kwa hbr za kuacha na anaefuata veve tafuta mama Halima Kimwana iko fundi bomba ya Almasi hii toto napiga picha 2 habana jua ni km fanyakazi ya ndani.
 
Sasa ndugu yaan unaonekana hujielew kabisa, kinachonisikitisha kuna watu wamekuwa wakiona wenzao ndo wanakosea zaid kuliko wao, kama wewe umeona Diamond hafai kufuatiliwa kwanini umekua ni miongoni mwa watu walioisoma hyo Post na kucomment wakati unajua kabisa kwa kufanya hivyo na wewe utakuwa umefuatilia maisha yake.

yaambie wewe aisee
afu mijituu hii hii.ndio inanjazia pm kuomba namb na conection za diamond
watanzania bhana
 
Salaam..najua wengi mmenimiss tu..hata wale wanaopretend kunichukia..naiman wamenimiss pia .nilikua kimya kutokana na kipindi hiki kuwa buzy kutokana na
kuongezeka kwa majukumu...
tuendelee na nilichowaletea mida hii...
Baada ya kutoka kutoa misaada kwenye kituo cha
watoto yatima kigogo..kisha ,
kwenda clouds kufanya mahojiano na kipindi cha jahazi
kisha kwenda kukagua utengenezaji
wa jukwaa atakalotumia ..
kesho kwenye tamasha aliloliandaa special kwa watoto..
usiku huu yupo kwa
producer,Man walter akiendelea kurekodi nyimbo yake mpya ya tofuti kabisa na alizowahi fanya.
akimaliza usiku huu huu ataenda tena kwa producer Tudd tomas kurekodi nyimbo nyingine...
UKILALA NA PESA ZALALA.
usisahau tu hapo kesho kuja na mwanao pale leaders kwa kiingilio cha..
3000 kwa mwanao na 7000 wewe..mtu mzima
NB..nimeshindwa kuweka picha coz natumia sim now..
ukitaka pic za matukio haya na picha za maisha ya kila siku ya diamond
follow me on instagram @ kifesi or follow WCB wasafi acount @wcb_wasafi..
WCB _WASAFI Daima.
nimemaliza

unalipwaaaa??
 
coments zako kwangu zoote huwa ni nega tu..sielew una tatizo gan na mm dada...
na hta hatufahamiani

Mi mbona Diamond namkubali sana tu nahitaj kujua kama mshabiki wakee ,leo yupo Mwanzaa ee,hebu niambiee nifanye nin ili nisiww negaa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom