Anachokifanya Katambi kinadhihirisha Uwezo finyu wa hiki kinachojiita Serikali

Anachokifanya Katambi kinadhihirisha Uwezo finyu wa hiki kinachojiita Serikali

Ponjoro wa Kinondoni

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2024
Posts
3,771
Reaction score
10,311
Awali ya yote siitambui serikali iliyopo madarakani kwani HAKUKUWA na uchaguzi.

Baada ya October, aina ya kinachoitwa mawaziri wa wizara mbalimbali wamegeuka kituko sijui kama ni planned au ni IQ zao ndogo kama za boss wao.

Ama hakika wahalifu hawa wako mbioni kukata moto.

Mwisho nakukumbusha wewe Katambi kuwa Polepole asipo patikana akiwa hai utaungana na maboss zako kulipa hiyo gharama tone kwa tone.

Wasukuma hatuko hivyo kenge mweusi wewe.
 
Back
Top Bottom