Anachoongea Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania-Mulamula

Anachoongea Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania-Mulamula

mmh

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2010
Posts
2,910
Reaction score
5,084
Huyu Waziri anaongea live now Channel Ten, yaani anachoongea sikutegemea kuongelewa na Waziri anaongea kama BAVICHA purely.
Anaponda sana awamu iliyopita sijui ilikua inakwepa mataifa mengine sijui ilikua na matatizo na EU mpaka Mabunge yao yakawa yanaongeleka.

Yaani full kumponda marehemu, duh hii kali
 
Mama SSH amekataza mitano ya vyama vya siasa. Naye ni dikteta laini, mwendazake alikuwa dikteta uchwara.

Ametumia katiba gani huyu mama kukataza mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa??

Anavunja katiba waziwazi, wahariri wanaulizwa kuna lolote wako kimyaaaa! Kwann hawakumuuliza "mama unatumia katiba ya wapi?"
 
Huyu mama yuko vzr, nakumbuka sana usomaji wake wa bajeti bungeni, alieleweka mno
Hoja hapa sio bajeti issue inakueje aanze kumkejeli aliyekua bosi wa bosi wake?
 
Mama SSH amekataza mitano ya vyama vya siasa. Naye ni dikteta laini, mwendazake alikuwa dikteta uchwara.

Ametumia katiba gani huyu mama kukataza mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa??

Anavunja katiba waziwazi, wahariri wanaulizwa kuna lolote wako kimyaaaa! Kwann hawakumuuliza "mama unatumia katiba ya wapi?"
Njoo kwangu ntakuwa nakupa milioni 1
Screenshot_20210624-223642.jpg
 
Hoja hapa sio bajeti issue inakueje aanze kumkejeli aliyekua bosi wa bosi wake?
Wewe naona ni mgeni wa wanawake...mipasho ndio kwao..hapo ndio kafika..lazima amsute rival ajione mwamba..insecurities hizo
 
Yaani yeye anamsifu jk na anamsifu ssh baaasi, ukiconnect dots aliyemteua huyu atakua jk, ssh kamuapisha tu.

..huyu mama ni career foreign service officer.

..Yaani aliajiriwa wizara ya mambo ya nje na akapanda ngazi za utumishi mpaka akawa balozi.

..JK alimpendekeza kuwa Executive Secretary wa ICGLR / International Conference on the Great Lakes Region.

..alipomaliza akamteua kuwa Balozi Marekani.

..baadae JK akamteua kuwa Katibu Mkuu Mambo ya Nje.

..alipokuja Magufuli akatupwa nje, hakuteuliwa.

..Sasa Mama Samia kamteua kuwa Waziri wa mambo ya nje.
 
..huyu mama ni career foreign service officer.

..Yaani aliajiriwa wizara ya mambo ya nje na akapanda ngazi za utumishi mpaka akawa balozi.

..JK alimpendekeza kuwa Executive Secretary wa Great Lakes Regional Commission.

..alipomaliza akamteua kuwa Balozi Marekani.

..baadae JK akamteua kuwa Katibu Mkuu Mambo ya Nje.

..alipokuja Magufuli akatupwa nje, hakuteuliwa.

..Sasa Mama Samia kamteua kuwa Waziri wa mambo ya nje.
Duh kumbe anatetea tumbo lake? Hapo sawa. Ila asipige kelele wakati wa kule anyamaze
 
Huyu waziri wa mambo ya nje ni mshamba sana, hajiulizi hizo hela za kuweza kuendesha nchi kwa miezi 6 bila makusanyo zimetoka wapi? Tanzania ilifikaje uchumi wa kati?

Mentality ya huyu waziri ni ili Tanzania iendelee lazima tujipendekeze kwa mataifa mengine.
 
Back
Top Bottom