Mtoto wa Nyerere
Senior Member
- May 21, 2021
- 129
- 689
Angalia mpira aisee siasa ya Tanzania utata mtupu.Huyu mama anaongea live now channel ten, yaani anachoongea sikutegemea kuongelewa na waziri anaongea kama bavicha purely.
Anaponda sana awamu iliyopita sijui ilikua inakwepa mataifa mengine sijui ilikua na matatizo na EU mpaka mabunge yao yakawa yanaongeleka! Yaani full kumponda marehemu duh hii kali