Njoo kwangu ntakuwa nakupa milioni 1Mama SSH amekataza mitano ya vyama vya siasa. Naye ni dikteta laini, mwendazake alikuwa dikteta uchwara.
Ametumia katiba gani huyu mama kukataza mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa??
Anavunja katiba waziwazi, wahariri wanaulizwa kuna lolote wako kimyaaaa! Kwann hawakumuuliza "mama unatumia katiba ya wapi?"
Nimeona na tbc1 piaChannel ten
Usitake kunkumbusha kucheka bureHuyu mama yuko vzr, nakumbuka sana usomaji wake wa bajeti bungeni, alieleweka mno
Wewe naona ni mgeni wa wanawake...mipasho ndio kwao..hapo ndio kafika..lazima amsute rival ajione mwamba..insecurities hizoHoja hapa sio bajeti issue inakueje aanze kumkejeli aliyekua bosi wa bosi wake?
Yaani hiki kimama hata ubunge tu hakijawahi kugombea na kuchaguliwa hata udiwani leo kinatukana jiwe lilishinda uchaguzi mara mbili tena kwa kishindo!Wewe naona ni mgeni wa wanawake...mipasho ndio kwao..hapo ndio kafika..lazima amsute rival ajione mwamba..insecurities hizo
Yaani yeye anamsifu jk na anamsifu ssh baaasi, ukiconnect dots aliyemteua huyu atakua jk, ssh kamuapisha tu.
Duh kumbe anatetea tumbo lake? Hapo sawa. Ila asipige kelele wakati wa kule anyamaze..huyu mama ni career foreign service officer.
..Yaani aliajiriwa wizara ya mambo ya nje na akapanda ngazi za utumishi mpaka akawa balozi.
..JK alimpendekeza kuwa Executive Secretary wa Great Lakes Regional Commission.
..alipomaliza akamteua kuwa Balozi Marekani.
..baadae JK akamteua kuwa Katibu Mkuu Mambo ya Nje.
..alipokuja Magufuli akatupwa nje, hakuteuliwa.
..Sasa Mama Samia kamteua kuwa Waziri wa mambo ya nje.