Mtoto wa Nyerere
Senior Member
- May 21, 2021
- 129
- 689
Angalia mpira aisee siasa ya Tanzania utata mtupu.Huyu mama anaongea live now channel ten, yaani anachoongea sikutegemea kuongelewa na waziri anaongea kama bavicha purely.
Anaponda sana awamu iliyopita sijui ilikua inakwepa mataifa mengine sijui ilikua na matatizo na EU mpaka mabunge yao yakawa yanaongeleka! Yaani full kumponda marehemu duh hii kali
Toa tu hiyo stress.[emoji23][emoji23]Usitake kunkumbusha kucheka bure
Kwani hujui Chanel ten na TBC ni kitu kilekile?Nimeona na tbc1 pia
Huyo mama hajitambui! Kwanza ukimkuta amekaa na wazungu anajiona ni mzungu! Completely brain washed! Ni aibu kama taifa lenye watu zaidi ya 60m kuwakilishwa kwenye mambo ga nje na kituko kama hicho!Huyu waziri wa mambo ya nje ni mshamba sana, hajiulizi hizo hela za kuweza kuendesha nchi kwa miezi 6 bila makusanyo zimetoka wapi? Tanzania ilifikaje uchumi wa kati?
Mentality ya huyu waziri ni ili Tanzania iendelee lazima tujipendekeze kwa mataifa mengine.
Pale hapakuwa mahala sahihi pa kuongelea Uhuru wa vyama vya siasa kufanya mikutano. Msitake Ku pre empty mambo, kila jambo na wakati wake.Mama SSH amekataza mitano ya vyama vya siasa. Naye ni dikteta laini, mwendazake alikuwa dikteta uchwara.
Ametumia katiba gani huyu mama kukataza mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa??
Anavunja katiba waziwazi, wahariri wanaulizwa kuna lolote wako kimyaaaa! Kwann hawakumuuliza "mama unatumia katiba ya wapi?"
Kwani kuna shida gani? Mikutano ya vyama vya siasa siyo madawa ya kulevya hadi aogope kuliongelea pale.Pale hapakuwa mahala sahihi pa kuongelea Uhuru wa vyama vya siasa kufanya mikutano. Msitake Ku pre empty mambo, kila jambo na wakati wake.
Ktk vitu jushaa alikua hajui yaani ni zero.com ni mambo ya diplomasia,yaani alikua anajua anachowafanyia wakina Mbowe anaweza kuwafanyia na diplomats bila shida yoyote Ile.Duh kumbe anatetea tumbo lake? Hapo sawa. Ila asipige kelele wakati wa kule anyamaze
Hakuna waandishi wa habari. Huwezi kuwa na waandishi wa habari ambao Ni failures wa form Four. Takataka zimejikusanya na kujiita waandishi wa habariMama SSH amekataza mitano ya vyama vya siasa. Naye ni dikteta laini, mwendazake alikuwa dikteta uchwara.
Ametumia katiba gani huyu mama kukataza mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa??
Anavunja katiba waziwazi, wahariri wanaulizwa kuna lolote wako kimyaaaa! Kwann hawakumuuliza "mama unatumia katiba ya wapi?"