Anachotafuta Diamond kwasasa ni nafasi ya kisiasa...lakini awe makini

Hata mkiungana na MangeKimabi,Tawile wawili Mshanajr na @HamisaMobetto.Lazima mshindwe tumeaga sisi.
42832796_2194744594181671_1858834478477010855_n.jpg
 
Ndugu mtanzagiza hilo kwakweli si lakweli hata kidogo diamond hawezi na hana uwezo wa kuwa mwanasiasa, kwa kila anachokifanya ni ile kufikiria ulipotoka.
.
Mfano bora kabisa unaonihusu mimi nikiombwa pesa ya kula na mtu yeyote ninampa kwanini nampa.
nimepitia hayo nimeshinda njaa sana na watu wa kunisaidia nipate kula walikuepo ila hawakutaka kufanya hivyo hivyo ninaijua njaa vilivyo mtu kama manji unampa kura utegemee akusaidie nini shida hazijui.
.
Diamond ni mmoja wa watu ambae anafanya yote hayo kwa kujua na kutambua nini watu wanapitia, anajipendekeza kwa kina makonda ili asije akaanguka hiyo inaitwa kula na kipofu.
.
Tizama ruge alivyoibeba ile kampeni ya makonda ya kufanya ziara kituo chao kilivyozidi kupata viewers sasa kalikoroga wamemnyea
R

Brother nisaidie hela ya kula nitaadhilika leo
 
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji87][emoji87][emoji87][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mtu ambaye hajui matumizi ya maneno ya kiswahili huwa namuona ni mbumbumbu wa kwanza. Wewe ni mmoja wao. Kifunze kwanza kiswahili kisha uje.
One sasa mliosomea kiswahili maprofesa wa kiswahili, Mimi kiswahili ulikuwa siyo mtaalamu.
IMG_20181009_201845_788.jpg
 
Back
Top Bottom