Anachotafuta Diamond kwasasa ni nafasi ya kisiasa...lakini awe makini

Anachotafuta Diamond kwasasa ni nafasi ya kisiasa...lakini awe makini

Akinunua nyumba mnasema ya kupanga
Akianzisha media mnasema siyo yake
Akianzisha diamond Karanga mnasema siyo zake
Akijitolea misaada mnasema anataka kugombea!! [emoji41]
Sasa tuwaelewe kwa lipi???
Hebu kafieni mbele
 
Naamini kwa dhati kabisa umesoma lakini hukuelewa
 
Back
Top Bottom