Uchaguzi 2020 Anachotakiwa Lissu ni atumie muda kidogo alionao kuwaambia wananchi ataifanyia Nini Tanzania akifika Ikulu

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Bila shaka yoyote hata Lissu mwenye hana Raha kwa Sasa maana haamini ni kwanini hajakamatwa na kuwekwa ndani mpaka Sasa hata baada ya kusema Yale aliyokuwa akiyasema kuhusu serikali wakati ikiwa nje ya nchi.

Hakuna ubishi kuwa aliposema anarudi na siku ya kurudi Tanzania alisindikizwa na vyombo vingi vya habari vya nje ili kuandika na kuripoti kile kitakachompata Lissu atakapotua Airport Tanzania.

Rais JPM amedhihirisha kuwa amedhamiria kuijenga upya Tanzania na hana sababu nyingine moyoni mwake. Ameonyesha kuwa hana nia mbaya zaidi ya kupambana na ubadhilifu, rushwa na njama za wawekezaji wabaya.

Mpaka Sasa kalamu za vyombo vingi vya habari vilivyotaka kuandika habari za lissu kurejea zimekauka wimo kwa kukosa Cha maana cha kuandika. Bahati mbaya mheshimiwa Lissu mpaka Sasa sijamsikia bado akisema kile atakachowafanyia watanzania punde atakapofika ikulu Kama atashinda uchaguzi, badala yake mpaka sasa muda mwingi anautumia kueleza alivyopigwa Dodoma.

Anasahau kuwa habari ya kupigwa kwake ziliandikwa Sana na kutangazwa Sana wakati yeye yuko nje ya nchi kwa matibabu, hivyo watu wanazifahamu sana hivyo hakuna haja ya kuwapotezea watu muda kuizungumzia Tena kirefu majukwaani zaidi ya kushukuru kwa dk moja tu Kisha atueleze namna atakavyofanya kwenye madini, utalii, kilimo, ufugaji, uvuvi, utawala bora, usalama, makazi..kwa kifupi wakati tukisubiri kampeni zianze rasmi.

Uzuri na ubaya wa Rais wao wanaufahamu Sana hata wao, hivyo asipoteze muda kuwasimulia watu ambao walikuwepo Tanzania kwa miaka yote 5 ya awamu ya tano, maana wao wanafahamu Sana kuliko yeye ambae hakuwepo nchini kwa miaka 3.

Anachotakiwa Lissu Ni atumie muda kidogo alionao kuwaambia wananchi ataifanyia Nini Tanzania akifika Ikulu.

Ukomavu huu wa serikali ya JPM umeishangaza dunia kusema ukweli, hasa wale waliotarajia mshikemshike pale Airport.
 
Bila shaka yoyote hata Lissu mwenye hana Raha kwa Sasa maana haamini ni kwanini hajakamatwa na kuwekwa ndani mpaka Sasa hata baada ya kusema Yale aliyokuwa akiyasema kuhusu serikali wakati ikiwa nje ya nchi...

Ataachwa atapiga kelele, atatukana, atatamba, uchaguzi utaisha ambao hawezi kushinda hata iweje

Sasa aje kurogwa kuongea pumba baada ya uchaguzi,hiiiiiiiiiiii
 
Bila shaka yoyote hata Lissu mwenye hana Raha kwa Sasa maana haamini ni kwanini hajakamatwa na kuwekwa ndani mpaka Sasa hata baada ya kusema Yale aliyokuwa akiyasema kuhusu serikali wakati ikiwa nje ya nchi...
Yaani ulitaka aanze kumwaga sera ili mpate pakumkamatia kwamba kaanza kampeni mapema? It has eaten your side (tafsri ya moja kwa moja).
 
Kwani kampaini zimeanza? Mpuuzi mmoja wewe.
Wengi wanakuja kumuona baada ya kunusurika kufa hivyo taarifa ya kupigwa kwake wanayo. Hapohapo wanapokuja kumshangaa ndio atumie fursa kuwaeleza Cha maana, maana wanaweza wasirudi Tena Kama vile, maana kushangaa Ni Mara moja.

Nadhani hata yeye alikuja akiwa amevaa ma bullet proof mengi mwilini akidhani anakwenda kufa, hadi Sasa anashangaa nchi imejengwa kila Kona na hakuna anayehangaika naye sana
 
Ataachwa atapiga kelele, atatukana, atatamba, uchaguzi utaisha ambao hawezi kushinda hata iweje

Sasa aje kurogwa kuongea pumba baada ya uchaguzi,hiiiiiiiiiiii
Hiyo inafahamika kuwa muda wao wa siasa ni huu Kama watautumia vibaya Basi Tena. Kama vyama vina akili nzuri wautumie muda huu kufungua matawi vijijini nchi nzima kwakuwa siasa zimedunguliwa ili wajiandae kwa uchaguzi wa 2025 badala ya kupoteza rasilimali zao kidogo kwenye uchaguzi wa 2020 ambao kushinda Ni 1.7%. maana baada ya Uchaguzi huu kumalizika hakutakuwa na siasa Tena mpaka 2025.
 
Yaani ulitaka aanze kumwaga sera ili mpate pakumkamatia kwamba kaanza kampeni mapema? It has eaten your side (tafsri ya moja kwa moja).
Hata preamble Basi!!! ili watu wa salvate
 
Mpo wapuuzi wengi nchi hii. Lissu alikuwa anatafuta wadhamini wewe unadai sera !!. Huyu unayemuabudu ana sera gani inayoenda ki mpango ?! Zaidi kuwa akiamka anajiamulia !!.

Mambo ya kunyamazisha watu sera gani hiyo ?!
 
KUNYWA MTORI MZEE, NYAMA ZIPO CHINI , kwani kampeni zimeanza? Mlisema akiwa hayupo karudi mwenyewe watu wanasikiliza kutoka kwake mwenyewe Sasa wewe roho inakuuma.? Muacheni afanye yake uwanja uwe fair play wakushinda washinde wa kushindwa washindwe.
 
Kipambana na ubadhirifu UPI hebu waulize wale wagombea wa ccm uchwara walioshindwa na gambo walikuwa wanalalamikia nin kuhusu gambo na nan àmepita kura za maon huko jitoeni ufaham mwaka huu mataga mtataga na joka lenu hilo
 
Ataachwa atapiga kelele, atatukana, atatamba, uchaguzi utaisha ambao hawezi kushinda hata iweje

Sasa aje kurogwa kuongea pumba baada ya uchaguzi,hiiiiiiiiiiii
Mmeshakata tamaa umebaki kuwa waganga wa kienyeji kubashili ujinga Mara akija atakamatwa mara akija ataenda segera saiv mara hatashinda unafikir kura zinapigwa na familia yako tu subirin muone simlizoea kuhadaa watu kupitia Tbc kuwa mnapendwa ndo mtajua kuwa hamjui
 
Neno moja tu... Pumbaf
 
Ataachwa atapiga kelele, atatukana, atatamba, uchaguzi utaisha ambao hawezi kushinda hata iweje

Sasa aje kurogwa kuongea pumba baada ya uchaguzi,hiiiiiiiiiiii
Wapumbav mmekosa cha kusema mnabadilika kama vinyonga!Lissu hajawahi kuwa muoga kusema kile anachoamini hadharani!
Swali ni je,mna mpango wa kumtanga tena risasi baada ya uchaguzi kama ataendelea kuongea?Kama ni kwa utaratibu wa kisheria,ni kosa gani ambalo kwenye uchaguzi linakuwa sio kosa na uchaguzi ukiisha linakuwa kosa?
Mataga mmepagawa kuona Lissu hatetereki,shwain!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…