dah!
Nilijua we ni ile jinsia nyingine.
Kati ya mkaka na mdada ni yupi ambaye wewe ni mtu wako wa karibu. Yupi ambaye ulimjua kupitia kwa mwingine?
Na ni ukaribu wa kirafiki tu au kuna undugu.
Good idea Lizzy,thanks a lot hayupo hapa JF ila ntampa hii link na hivyo hili jina natumia ni la nyumbani kabisa halijui ntampa,asante sana na usiku mwema.Kama yuko hapa JF atakua ameshajua.....kama hayupo fanya kumpa link ya hii post as if umekutana nayo tu ukashangaa kwamba inaendana na status yake ili ajisomee mwenyewe!!
Huyo mdada wa Dar namjua coz alisoma na wadogo zangu,huyu BF wake nilimjua kupitia BF wangu,huyu mdada wa huku anajuana na ndugu zangu japo nimekuja kumjulia huku mimi miaka mi5 sasa!ana roho nzuri mpole na sio mrembo wa sura kwa kweli kama bibie wa Dar japo mashallah ana shepu nzuri sana!
kuna mdada ambae ana boy friend nje ya nchi kikazi na anatoka na mdada mwingine huku ambae nae ni girl friend wake wamekua katika relationship na huyu mdada wa huku kwa miaka mi4 sasa yaani tokea wakiwa huko Tz,tatizo linakuja huyo mdada wa Dar anajishebedua sana kuhusu bwanake sasa mm namwonea huruma mana kaweka status hii facebook leo
"kuna mawili hapa; either ulimtongoza, au na yeye he want 2 try wanawake wabaya wakoje coz ama beautiful to a greater extent....." Nimsaidiaje?mana huyu bwana kafa kaoza kwa huyu mdada wa huku,je nimwambie ukweli??mana wote ni marafiki zangu na namwonea huruma mana anajichoresha!!Nawakilisha!
dah! cjui kusoma ndio cjui au vp!! mana cjaelewa kabisa .....any wayz we ungeomba ushauri huko huko fb.
duh!
Kumbe ndio imefikia hapo.
Kwahyo huyo jamaa yako na huyo mdada wa fb hawajagombana wala nini?
Tatizo unatoa stori roborobo.
kuna mdada ambae ana boy friend nje ya nchi kikazi na anatoka na mdada mwingine huku ambae nae ni girl friend wake wamekua katika relationship na huyu mdada wa huku kwa miaka mi4 sasa yaani tokea wakiwa huko Tz,tatizo linakuja huyo mdada wa Dar anajishebedua sana kuhusu bwanake sasa mm namwonea huruma mana kaweka status hii facebook leo
"kuna mawili hapa; either ulimtongoza, au na yeye he want 2 try wanawake wabaya wakoje coz ama beautiful to a greater extent....." Nimsaidiaje?mana huyu bwana kafa kaoza kwa huyu mdada wa huku,je nimwambie ukweli??mana wote ni marafiki zangu na namwonea huruma mana anajichoresha!!Nawakilisha!
Acha umbea.....status za watu FB zinakuhusu nini??Kama hajakuomba ushauri achana na mambo ya watu!