Anadai yu mrembo sana!

Anadai yu mrembo sana!

dah!
Nilijua we ni ile jinsia nyingine.
Kati ya mkaka na mdada ni yupi ambaye wewe ni mtu wako wa karibu. Yupi ambaye ulimjua kupitia kwa mwingine?
Na ni ukaribu wa kirafiki tu au kuna undugu.

Huyo mdada wa Dar namjua coz alisoma na wadogo zangu,huyu BF wake nilimjua kupitia BF wangu,huyu mdada wa huku anajuana na ndugu zangu japo nimekuja kumjulia huku mimi miaka mi5 sasa!ana roho nzuri mpole na sio mrembo wa sura kwa kweli kama bibie wa Dar japo mashallah ana shepu nzuri sana!
 
Kama yuko hapa JF atakua ameshajua.....kama hayupo fanya kumpa link ya hii post as if umekutana nayo tu ukashangaa kwamba inaendana na status yake ili ajisomee mwenyewe!!
Good idea Lizzy,thanks a lot hayupo hapa JF ila ntampa hii link na hivyo hili jina natumia ni la nyumbani kabisa halijui ntampa,asante sana na usiku mwema.
 
Huyo mdada wa Dar namjua coz alisoma na wadogo zangu,huyu BF wake nilimjua kupitia BF wangu,huyu mdada wa huku anajuana na ndugu zangu japo nimekuja kumjulia huku mimi miaka mi5 sasa!ana roho nzuri mpole na sio mrembo wa sura kwa kweli kama bibie wa Dar japo mashallah ana shepu nzuri sana!

mmh! Haya mapenzi bimkubwa, yanabadilika muda wowote kama upepo.
Unaweza ukasema mara kule jamaa akashindwana na yule akaamua kurudisha majeshi kwa mdada wa dar. Utaonekana mbaya bure. Ukimwambia lazima mdada atampigia simu jamaa yake amuulize. Jamaa akikataa tu utaonekana mmbea labda hadi hapo dada atapogundua ukweli.
Ujiulizi kwanini ndugu wa jamaa wenyewe hawajamwambia mdada mashauzi, ijekuwa kuwa wewe rafiki tu wa mbali!!
Na sisi wanawake tuwe na vifua. Mbona mambo yetu tunakaa nayo miaka kwa miaka ya wenzetu ndio tuyashadadie!!
Najua unamuonea huruma huyo dada, ila wewe mbembeleze jamaa amwambie mwenyewe mapema badala ya wewe kunyanyua mdomo. Kama jamaa hawezi mwambie akuruhusu umwambie hapo utamsikia atasemaje. Akikuruhusu endelea.
Ila angalia huruma yako isije ikakuweka katika wakati mgumu.
Si unajua wanawake wengine walivyo. Unaweza ukawa na nia ya kumsaidia akaona kama unamuonea wivu.
Kila la heri.
 
Mwache, akishajikata atakuja kuomba plasta kwako. Andaa ya kutosha ili uje umfunge jeraha damu isvuje sana asijeondoka wakati bado anahitajika.
 
kuna mdada ambae ana boy friend nje ya nchi kikazi na anatoka na mdada mwingine huku ambae nae ni girl friend wake wamekua katika relationship na huyu mdada wa huku kwa miaka mi4 sasa yaani tokea wakiwa huko Tz,tatizo linakuja huyo mdada wa Dar anajishebedua sana kuhusu bwanake sasa mm namwonea huruma mana kaweka status hii facebook leo
"kuna mawili hapa; either ulimtongoza, au na yeye he want 2 try wanawake wabaya wakoje coz ama beautiful to a greater extent....." Nimsaidiaje?mana huyu bwana kafa kaoza kwa huyu mdada wa huku,je nimwambie ukweli??mana wote ni marafiki zangu na namwonea huruma mana anajichoresha!!Nawakilisha!

Huna haja ya kumwambia,kama wote ni marafiki zako,mshauri huyo anaekwenda na bwana wa mwenzie aache.halafu wote ni wezi tu,maana hakuna alieolewa hapo,wanatenda dhambi tu.
 
kuna mdada ambae ana boy friend nje ya nchi kikazi na anatoka na mdada mwingine huku ambae nae ni girl friend wake wamekua katika relationship na huyu mdada wa huku kwa miaka mi4 sasa yaani tokea wakiwa huko Tz,tatizo linakuja huyo mdada wa Dar anajishebedua sana kuhusu bwanake sasa mm namwonea huruma mana kaweka status hii facebook leo
"kuna mawili hapa; either ulimtongoza, au na yeye he want 2 try wanawake wabaya wakoje coz ama beautiful to a greater extent....." Nimsaidiaje?mana huyu bwana kafa kaoza kwa huyu mdada wa huku,je nimwambie ukweli??mana wote ni marafiki zangu na namwonea huruma mana anajichoresha!!Nawakilisha!

Lugha gongana sijaelewa kitu hapa nisaidieni mwenzenu naona uzee unaniingia bila kujua
 
kuna mdada ambae ana boy friend nje ya nchi kikazi na anatoka na mdada mwingine huku ambae nae ni girl friend wake wamekua katika relationship na huyu mdada wa huku kwa miaka mi4 sasa yaani tokea wakiwa huko Tz,tatizo linakuja huyo mdada wa Dar anajishebedua sana kuhusu bwanake sasa mm namwonea huruma mana kaweka status hii facebook leo
"kuna mawili hapa; either ulimtongoza, au na yeye he want 2 try wanawake wabaya wakoje coz ama beautiful to a greater extent....." Nimsaidiaje?mana huyu bwana kafa kaoza kwa huyu mdada wa huku,je nimwambie ukweli??mana wote ni marafiki zangu na namwonea huruma mana anajichoresha!!Nawakilisha!

Hehehehe hii ilinipitia wapi..

Nimependa hiyo bold hapo..
dada comfo 101% safi sana

ingawa bwana kachakachua na amejua lakini anajiamini
safi sana..hapo kuna mawili either na yeye ana mtu wake dar so haimuumizi kichwa
au anatapatapa hajui la kufanya so anajifariji..hahahahhaaha patamu hapo
huyo mkaka nae tabia mbaaaaya si ammwambie mwenzake ukweli achape lapa haa!!
 
Wacha unaa, achana na mambo ya rafiki zako fata yako. Huo ndio waswahili huuita "ufataani".
 
kuna mdada ambae ana boy friend nje ya nchi kikazi na anatoka na mdada mwingine huku ambae nae ni girl friend wake wamekua katika relationship na huyu mdada wa huku kwa miaka mi4 sasa yaani tokea wakiwa huko Tz,tatizo linakuja huyo mdada wa Dar anajishebedua sana kuhusu bwanake sasa mm namwonea huruma mana kaweka status hii facebook leo
"kuna mawili hapa; either ulimtongoza, au na yeye he want 2 try wanawake wabaya wakoje coz ama beautiful to a greater extent....." Nimsaidiaje?mana huyu bwana kafa kaoza kwa huyu mdada wa huku,je nimwambie ukweli??mana wote ni marafiki zangu na namwonea huruma mana anajichoresha!!Nawakilisha!

usimwamshe mbwa asiye wako maana atakung'ata alafu hiyo misindano 60 yakitovuni itakuwa juu yako. Au akikubwekee uonekane mwizi bure.
Mapressure yanini wakati anayekata tawi alilokalia mwingine!
 
Back
Top Bottom