Sware
Member
- Dec 12, 2010
- 88
- 11
- Thread starter
- #41
dah!
Nilijua we ni ile jinsia nyingine.
Kati ya mkaka na mdada ni yupi ambaye wewe ni mtu wako wa karibu. Yupi ambaye ulimjua kupitia kwa mwingine?
Na ni ukaribu wa kirafiki tu au kuna undugu.
Huyo mdada wa Dar namjua coz alisoma na wadogo zangu,huyu BF wake nilimjua kupitia BF wangu,huyu mdada wa huku anajuana na ndugu zangu japo nimekuja kumjulia huku mimi miaka mi5 sasa!ana roho nzuri mpole na sio mrembo wa sura kwa kweli kama bibie wa Dar japo mashallah ana shepu nzuri sana!