Blue-ish
Member
- Aug 26, 2022
- 63
- 120
Kuna jirani yangu jana aliingia matatizoni na simu kuvunjwa vipande vipande, yaani sisi wanawake sijui tuna matatizo gani?
Yaani unakuta mtu ana mimba halafu anafanya umalaya. Mumewe akiwa kazini yeye anafanya kutoka usiku na kwenda kwenye ushenzi wake. Anafanya kulichomekea tumbo lisionekana sana kisha anatoka.
Jana kajidhalilisha sana, hebu wanawake wenzangu/wasichana tuwe watulivu kwenye mahusiano na kuwa waaminifu. Haipendezi kwa mwanamke kuwa na macho ya nje, hebu tuitambue thamani yetu basi!
Huwa tunasema wanaume ni wabaya ila mengine tunajitakia wenyewe.